Mwenzako anakuchakaza asubuh,mchana,jioni na usiku wewe unasubiri kurusha mapipa matano usiku then unatulia ndio unategemea utamshinda kweliTunasubiri usiku leo
Wanachukua data kwanza kabla ya kuwaonyesha,,alafu wakati mwingine si lazima waonyeshe, maana adui anajua watu wake wamechukuliwa au wameuawa!!!Mnavyopenda propaganda mpaka leo mshindwe kuwaonyesha hao Pilots? Mbona hao majasusi fake wa Mossad mnawaonyesha
Israel apigwe tu ili hiki kichaka cha walokole kifekwe rasmi.
Mwenzako anakuchakaza asubuh,mchana,jioni na usiku wewe unasubiri kurusha mapipa matano usiku then unatulia ndio unategemea utamshinda kweli
Sasa kama wanazisakata bikra hapo hakuna tatizo kabisa bwashee , wewe kaa tulia angalia tu luninga yakoNani anayempiga? Wale magenerali sasa hivi wako busy na wale 72. Mpaka wawamalize ni leo kweli?ππππ
Sawa tulia wameonyesha F35 mkasema oh hizi video hazifahamiki walitaka kuwaonyesha mapilot kwenye tv ya Iran mkakimbilia kuipiga station hahahaMnavyopenda propaganda mpaka leo mshindwe kuwaonyesha hao Pilots? Mbona hao majasusi fake wa Mossad mnawaonyesha
Wewe ukiniletea Qur'an inasema kuna bikra 72 mimi naingia ukristo leo hii hii, lakini najua wewe akili zako zipo kama dengu huna ulijualo. Netanyahu alijisifia ka control anga la Iran sababu kuna vichaa kama wewe hawajui lolote wanamuamini.Nani anayempiga? Wale magenerali sasa hivi wako busy na wale 72. Mpaka wawamalize ni leo kweli?ππππ
Sasa kama wanazisakata bikra hapo hakuna tatizo kabisa bwashee , wewe kaa tulia angalia tu luninga yako
Tangawizi mda sio punde utageuka pilipili manga huko tel avivπAmebakia mzee anapiga mikwala...more than 12 generals wanatusua tu kama hawana akili nzuri.
Kazi nzito sana hiyoππππ
Wewe ukiniletea Qur'an inasema kuna bikra 72 mimi naingia ukristo leo hii hii, lakini najua wewe akili zako zipo kama dengu huna ulijualo. Netanyahu alijisifia ka control anga la Iran sababu kuna vichaa kama wewe hawajui lolote wanamuamini.
πππππTangawizi mda sio punde utageuka pilipili manga huko tel avivπ
Na bareti lako kama mtu vileππππππ
Ntageuka pilipili kichaaa
Na bareti lako kama mtu vileπ
Ndege yeyote ikishaonekana kwa macho inaweza kupigwa wakati wowote. Rejea kule Somalia miaka hiyo.
View: https://youtu.be/oYB-modPCzQ?si=vhtpshbSI2WiHLBG
F35 si tuliwaonyesha hapa jana hio hapo Hermes 909 na wanajisifu ina technology ya ajabu hahaha
Zinadunguliwa nyingi TU, usifikiri mtu ataweka bayana madhaifu/aibu yakeWalikuwa wanakataa sa wameanza kukubali leo wamekiri kuna ndege yao imeangushwa
View: https://youtu.be/4R3XpS3og1c?si=MFyCN2dqy7l9qucJ
Unatukosea sana walokoleIsrael apigwe tu ili hiki kichaka cha walokole kifekwe rasmi.