100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 4,766
- 16,191
Leo Israel imeshambulia kusini mwa Lebanon kwa ndege vita zake kama kitendo cha kulipiza tukio la Hezbollah kushambulia kaskazini mwa Israel kwa drone kuua mtu mmoja na kujeruhi wengine 10 leo mapema.
Hezbollah walifanya shambulizi hilo kujibu kauli ya Netanyahu hapa juzi baada ya Netanyahu kusema kwamba Israel iimejiandaa na jibu la "nguvu mno" kwa mashambulizi kutoka kwa Hezbollah nchini Lebanon.
Ndege za Israel zimeshambulia kusini mwa Lebanon Jabal Rezlane katika sehemu ambayo inasadikika jeshi la Hezbollah limepiga kambi, Bado haijafahamika kama kuna majeruhi, vifo ama uharibifu wa miundombinu na vifaa.
Inavyoelekea vita inanukia.
Tutaendelea kupata taarifa zaidi.