Israel: Tupo tayari kwa vita kamili na Hezbollah/ Israel yashambulia kusini mwa Hezbollah

Israel: Tupo tayari kwa vita kamili na Hezbollah/ Israel yashambulia kusini mwa Hezbollah

Hao magaidi wa Hezbollah sio muda mrefu wataanza kutafuta walipo wanawake na watoto wakajifiche miongoni mwao kama ilivyo ada kwa hao magaidi wanapozidiwa.
 
Hamas amemshindwa wapi wakati dunia nzima inalia watu wana andamana wapalestina wanamalizwa
We kenge kweli dunia ina andamana sababu anapiga watoto, wanawake wasio na hatia, yani civilian Hamasi hajawagusa anamtafuta Yahya Senyar mbona hajui yuko wapi haha hawaoni wanajeshi wa Hamasi.

Kuandamana ni bada ya kuona anawambia wanawake na watoto ondokeni sehemu hizi kwa usalama wenu, nendeni kule afu anaenda wauwa hi ndio vita au genocide?

We hivi akili yako hayo majumba angekuwa kweli anawapiga Hamasi basi asinge weza kumuona Yahya Senyar na wenzake?

Kama hayo majumba.ba walio vunja Gaza ndio wapo Hamas basi angekuwa kisha wamaliza Hamasi zamani.

Israel kashindwa vita na badala ya kuwapiga Hamasi anapeleka chuki kwa wananchi wa Gaza wasio na hatia, hayo majumba hatujawahi ona bunduki wacha missiles tunacho ona ni vitoto vichanga, wanawake, vijana wakawaida hawana silaha, vizee ndio anaouwa na kukamata raia eti kikosi cha Hamasi 😄

Walipo chekwa na watu kwamba ulio wakamata wengine ni vinyozi, wauza maduka, wapishi na wengine ni wandishi wa habari na watangazaji habari wa TV zinazo Julikana wakaona waseme uwongo eti wengine mapy wa Hamasi dalili ziko wapi hawana.
 
Kitamkuta nini? Hata kabla hajavamia gaza si mlikuwa mnaongea hivi sasahivi wafia dini mnalia kuwaombea wapalestina
We hivi unajua vita kweli Israel yeye ni mpiga majumba, hospital, shule, masajidi muwaji watoto wachanga wadogo, wanawake, na wanaume raia wa kawaida kwani dunia hawaoni wanaona ndio wanalalamika anacho fanya ni genocide hio si vita.

Vita ni wauwe Hamasi, vunja silaha zao, kakomboe matekwa wako.

Vita gani unawafungia watu maji, umeme, chakula hio ndio vita?

Vita gani kuvunja majumba hakuna hata silaha kaweza onyesha kwenye hayo majumba mbona wandishi wa habari wanaonyesha kwenye hayo majumba silaha za Israel made in USA, UK. INDIA. FRANCE, GERMANY kwanini hatuoni silaha za Hamasi alizo vunja 😄
 
Israel keshavamiwa na Nchi za Waarabu mara kadhaa za zote katoa Dozi za kutosha ndio iwe Magaidi ya Hezbola na Hamas?!

Mazayuni waliwaingiza mkenge, na mlivyo wepesi wa kuamini taarifa zao bila kufanya utafiti, duh! Six days war ni uongo na upotoshaji, and still mnaendelea kupotosha watu.
 
Mazayuni waliwaingiza mkenge, na mlivyo wepesi wa kuamini taarifa zao bila kufanya utafiti, duh! Six days war ni uongo na upotoshaji, and still mnaendelea kupotosha watu.
Hebu wewe weka ukweli basi tuuone.
 
Mazayuni waliwaingiza mkenge, na mlivyo wepesi wa kuamini taarifa zao bila kufanya utafiti, duh! Six days war ni uongo na upotoshaji, and still mnaendelea kupotosha watu.
Broo; Tuendelee tu na Ushabiki lakini mwisho wa siku itakopokuwa ni KIMYA KIKUU; Huku Simanzi,Vilio na Huzuni kuu vikitamalaki pande zote;
Mwamuzi (nasi tukiwa mashahidi wa kilichotokea) ataita majina ya miamba hiyo miwili iliyoingia ulingoni hv:
1. Hezbollah, Hezbollaaah , Hezbollaaaaaah ? Jibu/mwitiko ikiwa.....KIMYAAAA...
Hapo Tutajua hayupo. Tukisikia NAAM! Taqbiir! Allahu' Akbar Tutajua yupo.
2. Aidiefu, Aidiefuuu, Aidiefuuuuuu? Tukisikia AFANDE' Yehova yire! Tutajua Yupo.
lakini ikawa ni KIMYAAAA Tutajua hayupo.
Hapo mwamuzi atakuwa amemaliza kazi yake nasi tutakuwa mashahidi kwa mujibu wa Neno/Mstari huu:
" nanyi mtakuwa mashahidi wangu katika Yerusalemu, Uyahudi kote na Samaria, hadi miisho ya dunia ..." au Neno litasomeka hivi:
"nanyi mtakuwa mashahidi wangu katika Beirut, Lebanon kote, Tyre, Sidon, Damascus hadi miisho ya dunia" ...,??????
Yupo jamaa yetu humu Jamvini huandikaga "wa mwisho ndio atakayekuwa mshindi". Cjui aliwaza nini huyu Jamaa.
 
Hahaha Israel hawezi kuingia vita na Hezbullah anakijua kitakacho mkuta.

Hio kupiga kwa ndege kushambulia target moja au mbili na yeye kapokea kipigo kingine leo sa ajabu iko wapi.

Hivi hujaona leo Hezbullah alivyo jibu hilo pigo au bado.
Ni hivi hivi tuliambiwa Israeli hawezi kuvamia Gaza, leo kelele ni kuwa Israeli anataka kufagia Gaza nzima.
 
Ni hivi hivi tuliambiwa Israeli hawezi kuvamia Gaza, leo kelele ni kuwa Israeli anataka kufagia Gaza nzima.
Kwani Gaza kashinda? Bado sana si mpaka watoke kule salama na wamekomboa matekwa zao, na wameivunja Hamasi ndio watakuwa wamefagia Gaza,.

Wao kila kukicha wanafagiwa jana umeona askari wa Israel wangapi wamekufa? Na Missiles ngapi zimelekea Israel kutokea Gaza.

We kama unafikiria vita nikuwauwa raia wasio na silaha mfano watoto, wanawake na vizee au vijana hawahusiki na Hamasi ndio mmefagia na kuvunja majumbo ndio ushindi basi mnapoteza silaha zenu za mamillion bure zaidi ya genocide Hamasi yuko very powerful tena bado sana mpa Israel aje kushinda vita.

Hamasi atawashinda tu watatoka Gaza watake wasitake
 
Kwani Gaza kashinda? Bado sana si mpaka watoke kule salama na wamekomboa matekwa zao, na wameivunja Hamasi ndio watakuwa wamefagia Gaza,.

Wao kila kukicha wanafagiwa jana umeona askari wa Israel wangapi wamekufa? Na Missiles ngapi zimelekea Israel kutokea Gaza.

We kama unafikiria vita nikuwauwa raia wasio na silaha mfano watoto, wanawake na vizee au vijana hawahusiki na Hamasi ndio mmefagia na kuvunja majumbo ndio ushindi basi mnapoteza silaha zenu za mamillion bure zaidi ya genocide Hamasi yuko very power tena bado sana mpa Israel aje kushinda vita.

Hamasi atawashinda tu watatoka Gaza watake wasitake
Kama ndo hivo kweli, sasa kelele ni za nini? Si tutulie halafu tuuone mwisho?
 
Kama ndo hivo kweli, sasa kelele ni za nini? Si tutulie halafu tuuone mwisho?
Nani kapiga kelele

View: https://x.com/adham922/status/1801519889875931284?t=DwYdZyEo84g-ELT3tiS8fA&s=19

Mnakumbuka mlipiga kelele oh Hamasi kachukua matekwa kawakuta kwenye Musical Festival toka lini Hamasi wakafata ngoma, walienda kwenye camp ya jeshi wakaburuta huyu msichana ambaye mlilalamika dunia nzima ni civilian yeye na wenzake wamebebwa kwenye musical Festival 😄

Vitoto mnavyo uwa vya kipalestine na wanawake, hao ndio Hamasi mnachekesha sana hahaha, kweli tukiwambia nyie jeshi la Israel ni mashoga mnavaa Pampers mnabisha.

Wanaume wanapigana na wanaume, nyie mnawacha Wanaume ambao ni [Hamasi] mnaenda pigana na vitoto vingine hata siku 40 havijafika, au havifiki hata miaka 12 au 15 na wanawake, vizee ndio mmajiona ma Simba haha 😄
 
Nyie hapo: Hakuna siku iendayo na kupita bila nyie kusema IDF inaua watoto, wanawake na wazee.IDF inabomoa hiki na kile.....
Wimbo wenu siku zote ni huo wa jeshi la Israel(IDF) ni mashoga wanavaa pampers n.k n.k.
Je, hiyo sio kelele? Kama ni kusema, basi mmeshasema na tumewasikia. Sasa si tutulieni basi tuuone mwisho?. Kila siku ng'aa, ng'aa; ng'aa, ng'aa. Mlifikiri nini au mlidhani vita ni kucheza mdundiko huku watoto wenu wakiwa wameketishwa pembeni. Hamkujua kwamba vita haina macho?
 
Vita Ina sheria zake we ndiye na Israel mnasema haina macho, huweni US kukitokea Genocide anawahi kuruka hakuhusika wakati kahusika anafahamu siku za mbele lazima damu ichukue haki yake.
 
Vita Ina sheria zake we ndiye na Israel mnasema haina macho, huweni US kukitokea Genocide anawahi kuruka hakuhusika wakati kahusika anafahamu siku za mbele lazima damu ichukue haki yake.
Ni kweli kabisa vita ina sheria zake tena zinazotambulika kimataifa. Lakini hebu nipe walau ni katika vita ipi ambapo hakuna raia hata mmoja (wanawake, watoto na wazee na hata mifugo) waliouawa. Ni vita ipi ambapo majumba, nyumba za ibada (Makanisa, Misikiti n.k.) madaraja na miundombinu mingine haikuharibiwa? Huo ndo ukweli na Uhalisia wa vita.
Sijakuelewa unamaanisha nini unapotaja genocide ilhali hiyo vita (IDF vs HAMAS) ni vita baina ya nchi mbili au Mataifa mawili tofauti. Labda mm ndo sijui au sielewi maana ya Genocide (Mauaji ya kimbari)
 
Back
Top Bottom