Iyerdoi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2012
- 2,717
- 3,895
Eti wanataka Israeli afanye kama wanavyotaka wao. Hiyo sasa itakuwa ni vita au ni igzo?Uzuri Israel , anapiga anavyojiskia, hawakawii kusema oooh anachofanya siyo sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti wanataka Israeli afanye kama wanavyotaka wao. Hiyo sasa itakuwa ni vita au ni igzo?Uzuri Israel , anapiga anavyojiskia, hawakawii kusema oooh anachofanya siyo sawa
Yaan IDF awaogope vikaragosi hao panya hezbullah embu acheni utani basiHahaha Israel hawezi kuingia vita na Hezbullah anakijua kitakacho mkuta.
Hio kupiga kwa ndege kushambulia target moja au mbili na yeye kapokea kipigo kingine leo sa ajabu iko wapi.
Hivi hujaona leo Hezbullah alivyo jibu hilo pigo au bado.
Ulitaka wanachama wa Hamas wote wauliwe (wafe) ndio useme Israeli imeshinda vita?We kenge kweli dunia ina andamana sababu anapiga watoto, wanawake wasio na hatia, yani civilian Hamasi hajawagusa anamtafuta Yahya Senyar mbona hajui yuko wapi haha hawaoni wanajeshi wa Hamasi.
Kuandamana ni bada ya kuona anawambia wanawake na watoto ondokeni sehemu hizi kwa usalama wenu, nendeni kule afu anaenda wauwa hi ndio vita au genocide?
We hivi akili yako hayo majumba angekuwa kweli anawapiga Hamasi basi asinge weza kumuona Yahya Senyar na wenzake?
Kama hayo majumba.ba walio vunja Gaza ndio wapo Hamas basi angekuwa kisha wamaliza Hamasi zamani.
Israel kashindwa vita na badala ya kuwapiga Hamasi anapeleka chuki kwa wananchi wa Gaza wasio na hatia, hayo majumba hatujawahi ona bunduki wacha missiles tunacho ona ni vitoto vichanga, wanawake, vijana wakawaida hawana silaha, vizee ndio anaouwa na kukamata raia eti kikosi cha Hamasi 😄
Walipo chekwa na watu kwamba ulio wakamata wengine ni vinyozi, wauza maduka, wapishi na wengine ni wandishi wa habari na watangazaji habari wa TV zinazo Julikana wakaona waseme uwongo eti wengine mapy wa Hamasi dalili ziko wapi hawana.
Netanyahu ameumiaLeo Israel imeshambulia kusini mwa Lebanon kwa ndege vita zake kama kitendo cha kulipiza tukio la Hezbollah kushambulia kaskazini mwa Israel kwa drone kuua mtu mmoja na kujeruhi wengine 10 leo mapema.
Hezbollah walifanya shambulizi hilo kujibu kauli ya Netanyahu hapa juzi baada ya Netanyahu kusema kwamba Israel iimejiandaa na jibu la "nguvu mno" kwa mashambulizi kutoka kwa Hezbollah nchini Lebanon.
Ndege za Israel zimeshambulia kusini mwa Lebanon Jabal Rezlane katika sehemu ambayo inasadikika jeshi la Hezbollah limepiga kambi, Bado haijafahamika kama kuna majeruhi, vifo ama uharibifu wa miundombinu na vifaa.
Inavyoelekea vita inanukia.
Tutaendelea kupata taarifa zaidi.
Hamasi Hezbollah ni Irani mwenyeweIla iran anamuogopa
🤣🤣🤣
Zoezi la kwanza kuokoa mateka kijiji cha gaza wameshindwa halafu unawatuma wakapigane na wanajeshi kamili wataanzia wapi?Yaan IDF awaogope vikaragosi hao panya hezbullah embu acheni utani basi
Iran hapigwi kizembe hivyoHamasi Hezbollah ni Irani mwenyewe
Iran hapig
Iran hapigwi kizembe hivyo
USA inapigana na Iran kupitia Israel na iran Ina pigana na USA kupitia hamasi Hezbollah kwa Siri lakiniIran hapigwi kizembe hivyo
Ndo uoga wenyeweUSA inapigana na Iran kupitia Israel na iran Ina pigana na USA kupitia hamasi Hezbollah kwa Siri lakini
UnaotaNaona mpaa America analia anataka vita vusimame sasa kaona kila kukicha israel anazidiwa na Hamasi tu, iwe Hezbullah nadhani akijadai kuingia ile full war na Hezbullah ujuwe mwisho wake umefika
We dogo basi kumbe hujui Waislam huwa tunakatazwa kuwauwa raia wasio na hatia ndio sababu unakuta Hamasi hapigi civilian isipokuwa iwe by mistake lakini Israel yeye ndio mvunja majumba, mahospital, shule,masajid na mpa vyakula anaiba na vingine kuvichoma moto.Israel inapoteza muda kuchagua sehemu za kupiga magaidi, wkt wao hawachagui makazi ya raia wala ya wanajeshi au hospitali wala shule wala sinagogi, dawa yao wakipiga maeneo ya raia kombora moja na wao warudishe makombora 50 kwa raia wao ndiyo wataacha ujinga wa kuona waumini wa dini nyingine hawafai kuwepo duniani.
Sio uoga ni mbinu za kuzikwepa Sheria za kimataifa zinazo husu amani na usaramaNdo uoga wenyewe