Paschal qamara
JF-Expert Member
- Aug 17, 2022
- 2,218
- 3,958
Hamas amemshindwa wapi wakati dunia nzima inalia watu wana andamana wapalestina wanamalizwaHamasi kamshindwa atamuweza Hezbullah [emoji1]
Ikiwa anaye mpa silaha analia oh naomba Hamasi asimamishe vita, si yeye ndio aikuwa hataki vita visimame au sio yeye
We wacha maneno jana alpo chokoza Lebanon tazama anavyo pokea kipigoKwa taarifa tu 2006 magaidi za hizbollah zaidi ya 300 yalifowadiwa kuzimu na upuuzi wao kutaka kupimana ubavu na Israel ukaishia hapo.
We kenge kweli dunia ina andamana sababu anapiga watoto, wanawake wasio na hatia, yani civilian Hamasi hajawagusa anamtafuta Yahya Senyar mbona hajui yuko wapi haha hawaoni wanajeshi wa Hamasi.Hamas amemshindwa wapi wakati dunia nzima inalia watu wana andamana wapalestina wanamalizwa
We hivi unajua vita kweli Israel yeye ni mpiga majumba, hospital, shule, masajidi muwaji watoto wachanga wadogo, wanawake, na wanaume raia wa kawaida kwani dunia hawaoni wanaona ndio wanalalamika anacho fanya ni genocide hio si vita.Kitamkuta nini? Hata kabla hajavamia gaza si mlikuwa mnaongea hivi sasahivi wafia dini mnalia kuwaombea wapalestina
HahahUmri wangu sawa sawa na Baba yako kama simzidi umri pia.
Israel keshavamiwa na Nchi za Waarabu mara kadhaa za zote katoa Dozi za kutosha ndio iwe Magaidi ya Hezbola na Hamas?!
Hebu wewe weka ukweli basi tuuone.Mazayuni waliwaingiza mkenge, na mlivyo wepesi wa kuamini taarifa zao bila kufanya utafiti, duh! Six days war ni uongo na upotoshaji, and still mnaendelea kupotosha watu.
Unapoteza muda kujadiliana na mtu asiyekuwa na kichwa sasa ww unahisi atakuwa anafikiria kwa kutumia nini kama sio makalio.Sijui una umri gani
Broo; Tuendelee tu na Ushabiki lakini mwisho wa siku itakopokuwa ni KIMYA KIKUU; Huku Simanzi,Vilio na Huzuni kuu vikitamalaki pande zote;Mazayuni waliwaingiza mkenge, na mlivyo wepesi wa kuamini taarifa zao bila kufanya utafiti, duh! Six days war ni uongo na upotoshaji, and still mnaendelea kupotosha watu.
Ni hivi hivi tuliambiwa Israeli hawezi kuvamia Gaza, leo kelele ni kuwa Israeli anataka kufagia Gaza nzima.Hahaha Israel hawezi kuingia vita na Hezbullah anakijua kitakacho mkuta.
Hio kupiga kwa ndege kushambulia target moja au mbili na yeye kapokea kipigo kingine leo sa ajabu iko wapi.
Hivi hujaona leo Hezbullah alivyo jibu hilo pigo au bado.
Kwani Gaza kashinda? Bado sana si mpaka watoke kule salama na wamekomboa matekwa zao, na wameivunja Hamasi ndio watakuwa wamefagia Gaza,.Ni hivi hivi tuliambiwa Israeli hawezi kuvamia Gaza, leo kelele ni kuwa Israeli anataka kufagia Gaza nzima.
Kama ndo hivo kweli, sasa kelele ni za nini? Si tutulie halafu tuuone mwisho?Kwani Gaza kashinda? Bado sana si mpaka watoke kule salama na wamekomboa matekwa zao, na wameivunja Hamasi ndio watakuwa wamefagia Gaza,.
Wao kila kukicha wanafagiwa jana umeona askari wa Israel wangapi wamekufa? Na Missiles ngapi zimelekea Israel kutokea Gaza.
We kama unafikiria vita nikuwauwa raia wasio na silaha mfano watoto, wanawake na vizee au vijana hawahusiki na Hamasi ndio mmefagia na kuvunja majumbo ndio ushindi basi mnapoteza silaha zenu za mamillion bure zaidi ya genocide Hamasi yuko very power tena bado sana mpa Israel aje kushinda vita.
Hamasi atawashinda tu watatoka Gaza watake wasitake
Nani kapiga keleleKama ndo hivo kweli, sasa kelele ni za nini? Si tutulie halafu tuuone mwisho?
Nyie hapo: Hakuna siku iendayo na kupita bila nyie kusema IDF inaua watoto, wanawake na wazee.IDF inabomoa hiki na kile.....Nani kapiga kelele
View: https://x.com/adham922/status/1801519889875931284?t=DwYdZyEo84g-ELT3tiS8fA&s=19
Mnakumbuka mlipiga kelele oh Hamasi kachukua matekwa kawakuta kwenye Musical Festival toka lini Hamasi wakafata ngoma, walienda kwenye camp ya jeshi wakaburuta huyu msichana ambaye mlilalamika dunia nzima ni civilian yeye na wenzake wamebebwa kwenye musical Festival π
Vitoto mnavyo uwa vya kipalestine na wanawake, hao ndio Hamasi mnachekesha sana hahaha, kweli tukiwambia nyie jeshi la Israel ni mashoga mnavaa Pampers mnabisha.
Wanaume wanapigana na wanaume, nyie mnawacha Wanaume ambao ni [Hamasi] mnaenda pigana na vitoto vingine hata siku 40 havijafika, au havifiki hata miaka 12 au 15 na wanawake, vizee ndio mmajiona ma Simba haha π
Vita Ina sheria zake we ndiye na Israel mnasema haina macho, huweni US kukitokea Genocide anawahi kuruka hakuhusika wakati kahusika anafahamu siku za mbele lazima damu ichukue haki yake.Nyie hapo: Hakuna siku iendayo na kupita bila nyie kusema IDF inaua watoto, wanawake na wazee.IDF inabomoa hiki na kile.....
Wimbo wenu siku zote ni huo wa jeshi la Israel(IDF) ni mashoga wanavaa pampers n.k n.k.
Je, hiyo sio kelele? Kama ni kusema, basi mmeshasema na tumewasikia. Sasa si tutulieni basi tuuone mwisho?. Kila siku ng'aa, ng'aa; ng'aa, ng'aa. Mlifikiri nini au mlidhani vita ni kucheza mdundiko huku watoto wenu wakiwa wameketishwa pembeni. Hamkujua kwamba vita haina macho?
Ni kweli kabisa vita ina sheria zake tena zinazotambulika kimataifa. Lakini hebu nipe walau ni katika vita ipi ambapo hakuna raia hata mmoja (wanawake, watoto na wazee na hata mifugo) waliouawa. Ni vita ipi ambapo majumba, nyumba za ibada (Makanisa, Misikiti n.k.) madaraja na miundombinu mingine haikuharibiwa? Huo ndo ukweli na Uhalisia wa vita.Vita Ina sheria zake we ndiye na Israel mnasema haina macho, huweni US kukitokea Genocide anawahi kuruka hakuhusika wakati kahusika anafahamu siku za mbele lazima damu ichukue haki yake.