Israel: Tupo tayari kwa vita kamili na Hezbollah/ Israel yashambulia kusini mwa Hezbollah

Uzuri Israel , anapiga anavyojiskia, hawakawii kusema oooh anachofanya siyo sawa
Eti wanataka Israeli afanye kama wanavyotaka wao. Hiyo sasa itakuwa ni vita au ni igzo?
 
Hahaha Israel hawezi kuingia vita na Hezbullah anakijua kitakacho mkuta.

Hio kupiga kwa ndege kushambulia target moja au mbili na yeye kapokea kipigo kingine leo sa ajabu iko wapi.

Hivi hujaona leo Hezbullah alivyo jibu hilo pigo au bado.
Yaan IDF awaogope vikaragosi hao panya hezbullah embu acheni utani basi
 
Ulitaka wanachama wa Hamas wote wauliwe (wafe) ndio useme Israeli imeshinda vita?
Sijui unamaanisha nini kusema Israeli imefeli Gaza.
 
Netanyahu ameumia
 
Israel inapoteza muda kuchagua sehemu za kupiga magaidi, wkt wao hawachagui makazi ya raia wala ya wanajeshi au hospitali wala shule wala sinagogi, dawa yao wakipiga maeneo ya raia kombora moja na wao warudishe makombora 50 kwa raia wao ndiyo wataacha ujinga wa kuona waumini wa dini nyingine hawafai kuwepo duniani.
 
We dogo basi kumbe hujui Waislam huwa tunakatazwa kuwauwa raia wasio na hatia ndio sababu unakuta Hamasi hapigi civilian isipokuwa iwe by mistake lakini Israel yeye ndio mvunja majumba, mahospital, shule,masajid na mpa vyakula anaiba na vingine kuvichoma moto.

Lakini hicho unacho ongea ndio Nasurlah kasema safari hi msahau mkipiga majumba tunapiga majumba, lakini mpa mda huo Hezbullah yeye target zake zote ni camp za jeshi au strategy area wanasubiri Israel anze ule ushoga wake wa kupiga majumba, au mashule na Hospital ndio wataipata habari kutoka kwa Hezbullah

Chukua chuma hicho Israel alikanusha kuwa Hezbullah hakupiga camp ya jeshi sa wanajeshi wameanza kuliabisha taifa lao sababu wamechoka kuficha siri wanavyo malizwa 😄



View: https://youtu.be/kVkeTL--Los?si=QZE7oW1gRt-cbQow
 
israhell kwa muda wa miezii tisa wamekomboa mateka wanne tuuu yaani
halaf anakuja muisrahell wa jf anasema israhell jeshi bora
angalizo kigamboni kubwa kuliko ukanda wa ghaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…