Israel VS Gaza. Kosa dogo tu likifanyika kama halijapangwa nyumba ya pazia, tunaingia WWIII (Nuclear War)

Nb:
Meli hizo za kichina zinaripotiwa kua zilikuepo middle east kama miezi 4 hivi sasa
Among the 6 ships sent to the Middle East by the Chinese navy are 2 052D destroyers.Equipped with YJ-21 hypersonic anti-ship ballistic missiles, capable of sinking aircraft carriers

Inawezekana pia yuko analinda maslahi yake.
 
China analinda maslahi yake( biashara zake ) hapo middle east na raia wake incase kikinuka.

Pia wana mazoezi na Oman
 
Tupe source ya habari,sijaiona popote iwe Aljazeera,cnn,bbc na kwingine!
Mimi huwa sifuatilii habari za mainstream media. Nasoma mijadala kwenye forums na tweets za wadau mbalimbali. Ndio maana sijaweka specific source kwa sababu msingi sio hizo habari bali likelihood ya kichocheo kutokea kupelekea vita vikubwa kabisa katika eneo kubwa la dunia kwa kuangalia trend.
 
Gaza sio Nchi! Sambamba, hakuna watu wa Gaza
au Kabila linaloitwa "Wagaza'

Wapeni haki wenyeji wa Gaza wajameni, the least you can do.

Waiteni wanavyoitwa pamoja na kutambua taifa lao la Wapalestina.
 
Peros sio tena spika wa bunge la Marekani alivyojipeleka Taiwan aliporudi wabunge wa bunge la Marekani wakamchomoa kwa issue za Ukraine na masuala ya Biden
Nancy Pelosi si Spika kwa kuwa chama chake cha Democrats kimepoteza Wabunge wengi kwenye Uchaguzi Mdogo uliofanyika mwishoni mwa mwaka jana. Republicans ndiyo wengi, hivyo wametoa Spika.

Marekani hufanya Uchaguzi Mkuu wa Raisi, Maseneta na Wabunge kila baada ya miaka minne (mara ya mwisho walifanya November 2020); na Uchaguzi Mdogo wa Wabunge kila baada ya miaka miwili (Mara ya mwisho walifanya November 2022).

Jielimishe, achana na stori za vijiweni.
 
Among the 6 ships sent to the Middle East by the Chinese navy are 2 052D destroyers.Equipped with YJ-21 hypersonic anti-ship ballistic missiles, capable of sinking aircraft carriers

Inawezekana pia yuko analinda maslahi yake.
Yes ni mzigo wa maana upo pale
 
Peros sio tena spika wa bunge la Marekani alivyojipeleka Taiwan aliporudi wabunge wa bunge la Marekani wakamchomoa kwa issue za Ukraine na masuala ya Biden
Source? Maana niliona intaviu yake hardtalk maelezo hayakua kama haya umetoa
 
Gaza sio Nchi! Sambamba, hakuna watu wa Gaza
au Kabila linaloitwa "Wagaza'

Wapeni haki wenyeji wa Gaza wajameni, the least you can do.

Waiteni wanavyoitwa pamoja na kutambua taifa lao la Wapalestina.
Mgogoro upo eneo la Palestina linaloitwa Gaza. Km zaidi ya 40 ndio unakutana na wapalestina wengine huko Westbank.

Mada imewaita wagaza kwa msingi huo sio kuwabagua, ila kuielekeza kwenye eneo husika lenye mgogoro.
 
China hawez ingilia hii vita ila kuongea tu ataongea sanaaaa
 
Emu fafanua hivyo vitu ulivyoviandika anza na Reptilian family ni akina nani?
Hizi ni cursed bloodline family zinatokana na asili ya binadamu wa sio wa kawaida kabisa, watu hawa hawaitaji madaraka na fedha tu Bali wanataka nguvu yote, hata nguvu inayokufanya Mimi na wew tupumue.
Na hili ndilo giza neno linaloifunika dunia yetu, tunadhani wote tuko sawa lakini si kweli.

Kuhusu blue beam,project cern,haarp na chemstrail nenda nawew, Tenga mda wako na wew ukafatilie maana Kuna mambo mengi ambayo ni vigumu kuyaelezea yote hapa. Na hii nisababu watu hatupendi kujisomea na kujifunza mambo yaliyo ya muhimu kuhusu dunia yetu.
 
Uzi wako unaonekana umeuandika ukiwa umelewa.
 
Spika wa bunge la Marekani wa sasa anaitwa nani?
Kwa sasa Marekani hawana Spika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…