Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Unafahamu kuhusu Korean war, Sino-Vietnam war ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafahamu kuhusu Korean war, Sino-Vietnam war ?
Among the 6 ships sent to the Middle East by the Chinese navy are 2 052D destroyers.Equipped with YJ-21 hypersonic anti-ship ballistic missiles, capable of sinking aircraft carriersNb:
Meli hizo za kichina zinaripotiwa kua zilikuepo middle east kama miezi 4 hivi sasa
Mimi huwa sifuatilii habari za mainstream media. Nasoma mijadala kwenye forums na tweets za wadau mbalimbali. Ndio maana sijaweka specific source kwa sababu msingi sio hizo habari bali likelihood ya kichocheo kutokea kupelekea vita vikubwa kabisa katika eneo kubwa la dunia kwa kuangalia trend.Tupe source ya habari,sijaiona popote iwe Aljazeera,cnn,bbc na kwingine!
Nancy Pelosi si Spika kwa kuwa chama chake cha Democrats kimepoteza Wabunge wengi kwenye Uchaguzi Mdogo uliofanyika mwishoni mwa mwaka jana. Republicans ndiyo wengi, hivyo wametoa Spika.Peros sio tena spika wa bunge la Marekani alivyojipeleka Taiwan aliporudi wabunge wa bunge la Marekani wakamchomoa kwa issue za Ukraine na masuala ya Biden
Yes ni mzigo wa maana upo paleAmong the 6 ships sent to the Middle East by the Chinese navy are 2 052D destroyers.Equipped with YJ-21 hypersonic anti-ship ballistic missiles, capable of sinking aircraft carriers
Inawezekana pia yuko analinda maslahi yake.
Source? Maana niliona intaviu yake hardtalk maelezo hayakua kama haya umetoaPeros sio tena spika wa bunge la Marekani alivyojipeleka Taiwan aliporudi wabunge wa bunge la Marekani wakamchomoa kwa issue za Ukraine na masuala ya Biden
Mgogoro upo eneo la Palestina linaloitwa Gaza. Km zaidi ya 40 ndio unakutana na wapalestina wengine huko Westbank.Gaza sio Nchi! Sambamba, hakuna watu wa Gaza
au Kabila linaloitwa "Wagaza'
Wapeni haki wenyeji wa Gaza wajameni, the least you can do.
Waiteni wanavyoitwa pamoja na kutambua taifa lao la Wapalestina.
Kijiwe nongwaHizi stori ulipewa kijiwe gani?
Spika wa bunge la Marekani wa sasa anaitwa nani?Source? Maana niliona intaviu yake hardtalk maelezo hayakua kama haya umetoa
China hawez ingilia hii vita ila kuongea tu ataongea sanaaaaBaada ya Marekani kupeleka meli zake za kivita zenye thamani ya matrillioni. China na yeye anapeleka karibu na Gaza meli zake za kisasa z kivita nne.
Baada ya israel kuharibu uwanja wa ndege wa Damascus na Allepo. Leo dege kubwa la Iran limetua Syria likiwa na shehena za silaha kutumia uwanja wa kambi ya jeshi la urusi. Ikitokea Israel ikashambulia huo uwanja vita haitakuwa ndogo.
Shehena za silaha zinazoshushwa israel, makumi ya madege ya kivita ya US hayakauki Tel aviv airport ni ushahidi kuwa mlengwa sio Hamas. Ni kitu kikubwa zaidi ya hicho.
Kuzidiwa mapema kwa Jeshi la israel siku ya kushambuliwa na Hamas maana baadhi ya vyanzo vinasema sio kweli jeshi lilichelewa lakini lilifika kwa wakati ila hamas waliwazidi nguvu hadi ilipofika mchana. Ukizingatia kauli ya Rais wa Israel leo kuwa Hamas wamejipanga kutumia silaha za kemikali, Ukilinganisha na biti alilotoa Netanyahu ikiwa Hesbullah wataingilia kati, kunauwezekano ili kufupisha vita israel kutumia silaha kubwa kubwa za hatari ikiwemo Nuclear kwa mahasimu wake Iran.
Mvuto mkubwa unaoongezeka kuihusisha Russia, China na US katika vita hivi kama busara isipotumika dunia iko kwenye hatari ya WW3.
Ni hayo tu.
Hizi ni cursed bloodline family zinatokana na asili ya binadamu wa sio wa kawaida kabisa, watu hawa hawaitaji madaraka na fedha tu Bali wanataka nguvu yote, hata nguvu inayokufanya Mimi na wew tupumue.Emu fafanua hivyo vitu ulivyoviandika anza na Reptilian family ni akina nani?
Uzi wako unaonekana umeuandika ukiwa umelewa.Baada ya Marekani kupeleka meli zake za kivita zenye thamani ya matrillioni. China na yeye anapeleka karibu na Gaza meli zake za kisasa z kivita nne.
Baada ya israel kuharibu uwanja wa ndege wa Damascus na Allepo. Leo dege kubwa la Iran limetua Syria likiwa na shehena za silaha kutumia uwanja wa kambi ya jeshi la urusi. Ikitokea Israel ikashambulia huo uwanja vita haitakuwa ndogo.
Shehena za silaha zinazoshushwa israel, makumi ya madege ya kivita ya US hayakauki Tel aviv airport ni ushahidi kuwa mlengwa sio Hamas. Ni kitu kikubwa zaidi ya hicho.
Kuzidiwa mapema kwa Jeshi la israel siku ya kushambuliwa na Hamas maana baadhi ya vyanzo vinasema sio kweli jeshi lilichelewa lakini lilifika kwa wakati ila hamas waliwazidi nguvu hadi ilipofika mchana. Ukizingatia kauli ya Rais wa Israel leo kuwa Hamas wamejipanga kutumia silaha za kemikali, Ukilinganisha na biti alilotoa Netanyahu ikiwa Hesbullah wataingilia kati, kunauwezekano ili kufupisha vita israel kutumia silaha kubwa kubwa za hatari ikiwemo Nuclear kwa mahasimu wake Iran.
Mvuto mkubwa unaoongezeka kuihusisha Russia, China na US katika vita hivi kama busara isipotumika dunia iko kwenye hatari ya WW3.
Ni hayo tu.
Spika wa bunge la Marekani wa sasa anaitwa nani?
Kwa sasa Marekani hawana Spika.Nancy Pelosi si Spika kwa kuwa chama chake cha Democrats kimepoteza Wabunge wengi kwenye Uchaguzi Mdogo uliofanyika mwishoni mwa mwaka jana. Republicans ndiyo wengi, hivyo wametoa Spika.
Marekani hufanya Uchaguzi Mkuu wa Raisi, Maseneta na Wabunge kila baada ya miaka minne (mara ya mwisho walifanya November 2020); na Uchaguzi Mdogo wa Wabunge kila baada ya miaka miwili (Mara ya mwisho walifanya November 2022).
Jielimishe, achana na stori za vijiweni.
SawaUzi wako unaonekana umeuandika ukiwa umelewa.
Ndio nakwambia kapigwa Chini, husikilizi hata redio mbao mkuu upo Nchi gani?Kwa sasa Marekani hawana Spika.
We jamaa una kichwa kizito sana (sijakutukana).Ndio nakwambia kapigwa Chini, husikilizi hata redio mbao mkuu upo Nchi gani?
Asante Ila na wewe ubongo wako umejaa kinyesi (sijakutukana)We jamaa una kichwa kizito sana (sijakutukana).