Israel VS Gaza. Kosa dogo tu likifanyika kama halijapangwa nyumba ya pazia, tunaingia WWIII (Nuclear War)

Inakadiriwa Israel kuwa tactila nuclear warhead 80, huku kwa Iran ikiwa ni 0.

Ni ngumu nchi za kiarabu kumgusa Israel, kitu kinaitwa Nuclear ni kipengele kingine unless uwe na guts kama za magharibi walivyomtuliza Putin na nuclear zake.
Putin keshajimegea li nchi mnasema katulizwa.......sahivi anangoja wamagharibi wageuze shingo pembeni anamalizia kwa kuweka kibaraka wake kiev baaas
 
Hapo Iran ndio target na anasubiliwa avuke mstari mwembamba uliochorwa apotezwe mazima.
 
I said this early before,
I even questioned is www3 war commenced yet?

Unfortunately it has buddy, it's just matter of time before things escalate to full scale war🥶 , but we don't pray for that.
 
Meli za China zimepeleka msaada wa pampas na toilet paper middle East.
 
Mgogoro upo eneo la Palestina linaloitwa Gaza. Km zaidi ya 40 ndio unakutana na wapalestina wengine huko Westbank.

Mada imewaita wagaza kwa msingi huo sio kuwabagua, ila kuielekeza kwenye eneo husika lenye mgogoro.
Sikubaliani na Ufafanuzi wako.

Ninachokielewa ni kwamba wanatumia neno Gaza au Wagaza kupoteza Uzito wa Watu gani haswa wenye ugomvi nao. Wapalestina.

Yaani huwezi niambia kesho watoke wapigania haki Watanzania wakitokea Magomeni, walianzishe Uganda halafu waje Waganda waseme wao wanakuja kupigana na "Wamagomeni" yaani waishushe Nchi(sovereign state) waliokubalina ni Nchi inaitwa Tanzania halafu wakati wakuchapana waseme Uganda VS Migomigo! ahhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…