Malaika wa Misukosuko
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 2,470
- 7,376
Mmeanza ujinga wenu wa kwenye DiniNi maandiko tuu yakitimia
Maana biblia ilisema Armageddon itapiganwa kanaani(gaza)
Mfalme wa kaskazini na babeli mpya mama wa machafuko ya dunia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmeanza ujinga wenu wa kwenye DiniNi maandiko tuu yakitimia
Maana biblia ilisema Armageddon itapiganwa kanaani(gaza)
Mfalme wa kaskazini na babeli mpya mama wa machafuko ya dunia
Kwani Marekani ipo Europe?Sawa nimemaanisha magaidi. Kuna nchi yoyote duniani yenye itikadi ile inayompenda na kumpokea mtu mweusi. Toa nchi za europe.
Putin keshajimegea li nchi mnasema katulizwa.......sahivi anangoja wamagharibi wageuze shingo pembeni anamalizia kwa kuweka kibaraka wake kiev baaasInakadiriwa Israel kuwa tactila nuclear warhead 80, huku kwa Iran ikiwa ni 0.
Ni ngumu nchi za kiarabu kumgusa Israel, kitu kinaitwa Nuclear ni kipengele kingine unless uwe na guts kama za magharibi walivyomtuliza Putin na nuclear zake.
Na marekan iondoe marekan hakuna magaidi. Kairudie uilewe nimesema wasituletee ugaidi. Sasa wenye mambo ya kigaidi ni kina nani..?Kwani Marekani ipo Europe?
Basi itanibidi nichimbe hilo jambo maana bado nipo juu juu, 👍Bunge la Marekani halina spika mpaka sasa, ndio wanataka kugombea
Wazee wa conspiracy🤣Inawezekana Rusia alipigigishwa vita Ukreni ili kumpunguza nguvu, Watu wanaendesha dunia kwa akili kubwa.
Sikiliza DW Mzee unakwama wapi?Basi itanibidi nichimbe hilo jambo maana bado nipo juu juu, 👍
Sawa mkuu, pilika pilika tu ndo hua zinazinguaSikiliza DW Mzee unakwama wapi?
Sawa mkuu,Sawa mkuu, pilika pilika tu ndo hua zinazingua
Wewe ni mwehu.Ndio nakwambia kapigwa Chini, husikilizi hata redio mbao mkuu upo Nchi gani?
Hapo Iran ndio target na anasubiliwa avuke mstari mwembamba uliochorwa apotezwe mazima.Baada ya Marekani kupeleka meli zake za kivita zenye thamani ya matrillioni. China na yeye anapeleka karibu na Gaza meli zake za kisasa z kivita nne.
Baada ya israel kuharibu uwanja wa ndege wa Damascus na Allepo. Leo dege kubwa la Iran limetua Syria likiwa na shehena za silaha kutumia uwanja wa kambi ya jeshi la urusi. Ikitokea Israel ikashambulia huo uwanja vita haitakuwa ndogo.
Shehena za silaha zinazoshushwa israel, makumi ya madege ya kivita ya US hayakauki Tel aviv airport ni ushahidi kuwa mlengwa sio Hamas. Ni kitu kikubwa zaidi ya hicho.
Kuzidiwa mapema kwa Jeshi la israel siku ya kushambuliwa na Hamas maana baadhi ya vyanzo vinasema sio kweli jeshi lilichelewa lakini lilifika kwa wakati ila hamas waliwazidi nguvu hadi ilipofika mchana. Ukizingatia kauli ya Rais wa Israel leo kuwa Hamas wamejipanga kutumia silaha za kemikali, Ukilinganisha na biti alilotoa Netanyahu ikiwa Hesbullah wataingilia kati, kunauwezekano ili kufupisha vita israel kutumia silaha kubwa kubwa za hatari ikiwemo Nuclear kwa mahasimu wake Iran.
Mvuto mkubwa unaoongezeka kuihusisha Russia, China na US katika vita hivi kama busara isipotumika dunia iko kwenye hatari ya WW3.
Ni hayo tu.
I said this early before,Baada ya Marekani kupeleka meli zake za kivita zenye thamani ya matrillioni. China na yeye anapeleka karibu na Gaza meli zake za kisasa z kivita nne.
Baada ya israel kuharibu uwanja wa ndege wa Damascus na Allepo. Leo dege kubwa la Iran limetua Syria likiwa na shehena za silaha kutumia uwanja wa kambi ya jeshi la urusi. Ikitokea Israel ikashambulia huo uwanja vita haitakuwa ndogo.
Shehena za silaha zinazoshushwa israel, makumi ya madege ya kivita ya US hayakauki Tel aviv airport ni ushahidi kuwa mlengwa sio Hamas. Ni kitu kikubwa zaidi ya hicho.
Kuzidiwa mapema kwa Jeshi la israel siku ya kushambuliwa na Hamas maana baadhi ya vyanzo vinasema sio kweli jeshi lilichelewa lakini lilifika kwa wakati ila hamas waliwazidi nguvu hadi ilipofika mchana. Ukizingatia kauli ya Rais wa Israel leo kuwa Hamas wamejipanga kutumia silaha za kemikali, Ukilinganisha na biti alilotoa Netanyahu ikiwa Hesbullah wataingilia kati, kunauwezekano ili kufupisha vita israel kutumia silaha kubwa kubwa za hatari ikiwemo Nuclear kwa mahasimu wake Iran.
Mvuto mkubwa unaoongezeka kuihusisha Russia, China na US katika vita hivi kama busara isipotumika dunia iko kwenye hatari ya WW3.
Ni hayo tu.
Jamaa kichwani sijui ana tank la maji taka!!???We jamaa una kichwa kizito sana (sijakutukana).
Meli za China zimepeleka msaada wa pampas na toilet paper middle East.Mkuu sidhani kama China na Iran kupeleka hizo silaha basi kutajumuisha mvutano mkubwa baina ya nchi hizo mbili.
CHINA
Miezi michache ya nyuma, China ilipiga mkwara mzito wa kuivamia kijeshi Taiwan endapo aliyekuwa Spika wa Bungu sijui ni makamu wa Rais, anaitwa Peros akiingia ndani ya Taiwan basi China haitasita kuchukua maamuzi magumu.
Mwisho tukaona US ikapeleka kiongozi wake hapo Taiwan na mpaka sasa China hakuna ilichokifanya.
Sio rahisi China kufanya muujiza wowote ktk huu mzozo na hata hizo meli sidhani kama zitakuwa na impact kubwa sababu China kuitetea tu Taiwan ameshindwa, ndo akawe mkombozi Palestina?
IRAN
Hakuna unyama ambao Israel hajaufanya mpaka sasa ndani ya Palestine, kama angekuwa na la kufanya basi angeshafanya muda mrefu.
Wazir wa mambo ya nje sijui wa ulinzi yule, alipotaka atue Syria dakika tu Israel akalipua ule uwanja na Iran akaufyata, akakaa kimya.
- Binafsi sioni nchi ya Kiislamu ambayo ina ubavu wa kuingia 100% ktk huu mgogoro kama tunavyoona mataifa ya magharibi yanavyoingia Israel.
Peros mda wa kustahafu ulifikaPeros sio tena spika wa bunge la Marekani alivyojipeleka Taiwan aliporudi wabunge wa bunge la Marekani wakamchomoa kwa issue za Ukraine na masuala ya Biden
Sikubaliani na Ufafanuzi wako.Mgogoro upo eneo la Palestina linaloitwa Gaza. Km zaidi ya 40 ndio unakutana na wapalestina wengine huko Westbank.
Mada imewaita wagaza kwa msingi huo sio kuwabagua, ila kuielekeza kwenye eneo husika lenye mgogoro.
Unataka upewe link hata Google hauijui?Wewe ni mwehu.
Kustaafu wapi wakati kajichanganya kapigwa Chini,Peros mda wa kustahafu ulifika
Bishana tuKustaafu wapi wakati kajichanganya kapigwa Chini,