Israel vs Iran: Inaenda kutokea "Holly War" ambayo itasababisha "WW III" ambayo italeta "New World Order"

Kingsmann

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
4,805
Reaction score
17,850
Haya mambo hayatokei hivihivi tu, kuna injinia wako nyuma yake wanasuka mipango yao waijuayo wao.

Sisi huku duniani tupotupo tu tunashangilia na ku take sides bila kufanya uchambuzi yakinifu wa "Reason Behind" ya yanayoendelea.

Mwaka 2025 huenda ukawa mgumu sana kwa dunia nzima, tujipange kwa ukame unaokuja hivi karibuni.

"The Israel-Iran conflict is an “inside job” to ensure the conflict will light the fuse to ignite a “holy war” that will spiral out of control into World War Three and lay the groundwork for the elite to usher in the New World Order."
 
View attachment 3112714
Noted
 
Wipe out katika ramani ya dunia hao mbwa ,hawa ndio matatizo ya kila kitu duniani, nashangaa kuna dini moja inawashobekea sana wakati wao hata hawawatumbui pamoja na kitabu chao.Fungueni machooo .Ura Uraaaaaaaaaaa.
 
Vita ya3 yadunia kwasasa unazungumzia maangamizi ya dunia hii👈
Kwakua sasa binadamu wanamiliki siraha kubwa za maangamizi makubwa sana.
Kwaamaana hiyo kwakua nature is real haiwezi kutokea kitu kama hicho Asili ndio inayo linda,kusimamia,na kuongoza ulimwengu navitu vyote hivo ulinzi ni dhidi yake tupo salama kabisa ubaya utafute wewe.
 
Haya sasa toeni watoto wenu kwenye shule za EM warudisheni Kayumba haraka sana
 
Haya mambo hayatokei hivihivi tu, kuna injinia wako nyuma yake wanasuka mipango yao waijuayo wao.

Sisi huku duniani tupotupo tu tunashangilia na ku take sides bila kufanya uchambuzi yakinifu wa "Reason Behind" ya yanayoendelea.

Mwaka 2025 huenda ukawa mgumu sana kwa dunia nzima, tujipange kwa ukame unaokuja hivi karibuni.

"The Israel-Iran conflict is an “inside job” to ensure the conflict will light the fuse to ignite a “holy war” that will spiral out of control into World War Three and lay the groundwork for the elite to usher in the New World Order."
View attachment 3112714
PHD!!! kwa wenye akili ya mjusi hawataelewa
 
Mm natak Hawa jamaa waachwe wenyewe wadundane Iran Vs Israel

Hakuna washirika kuingia katiii
 
Ndivyo unavyoweza kusema Hali inayoenda kutokea kwa kainchi kenye ukichaa wa ukibwengo ka nchi la Iran muda si mrefu katabatuliwa.

Tuache muda utaamua

Wadiz
 
Kama ilishindikana nchi kama Syria 🇸🇾 kuvuruga au kuundoa utawala wa asad the same thing inaweza kushindikana kwa Iran.Kushambuliwa kwa mabomu nchi yeyote duniani inaweza kushambuliwa hata USA 🇺🇸 yenyewe inaweza kushambuliwa.SWALI LA MSINGI LA KUJIULIZA KAMA WALISHINDWA KUUNGUSHA NGUSHA UTAWALA WA NCHI DHAIFU KAMA SYRIA,JE WATAWEZA KUUNGUSHA UTAWALA WA AYATOLLAH AMBAO UNA NGUVU ZAIDI YA WA ASAD?
Halafu point ya msingi USA na Israel 🇮🇱 lsrael wanachotaka si tu kushambulia ila kuundoa utawala wa AYATOLLAH
 
Kama ilishindikana nchi kama Syria 🇸🇾 kuvuruga au kuundoa utawala wa asad the same thing inaweza kushindikana kwa Iran.Kushambuliwa kwa mabomu nchi yeyote duniani inaweza kushambuliwa hata USA 🇺🇸 yenyewe inaweza kushambuliwa.SWALI LA MSINGI LA KUJIULIZA KAMA WALISHINDWA KUUNGUSHA UTAWALA WA NCHI DHAIFU KAMA SYRIA,JE WATAWEZA KUUNGUSHA UTAWALA WA AYATOLLAH AMBAO UNA NGUVU ZAIDI YA WA ASAD?
Halafu point ya msingi USA na Israel 🇮🇱 lsrael wanachotaka si tu kushambulia ila kuundoa utawala wa AYATOLLAH
Wali karibia Damascus. Ila Russia alivyo ingia wakapoteana wote
 
Kiukweli hawa USA na Israel na mawakala wa shetani wao wanachotaka ni kuona damu za watu wasio na hatia zikimwagika.Iran ina nguvu kubwa za kijeshi kuliko Syria 🇸🇾 na mpaka sasa Asad bado rais,sasa hapa tujiulize wameshindwa kwa nchi DHAIFU baada ya nchi DHAIFU kupewa msaada.JE WATAWEZA KWA NCHI IMARA AMBAYO ITASAIDIWA NA KUPATA MSAADA WA KIJESHI KUTOKA KWA NCHI IMARA?
#WAZUNGU NI WAPUMBAVU KAMA WAPUMBAVU WENGINE
 
Haya mambo hayatokei hivihivi tu, kuna injinia wako nyuma yake wanasuka mipango yao waijuayo wao.

Sisi huku duniani tupotupo tu tunashangilia na ku take sides bila kufanya uchambuzi yakinifu wa "Reason Behind" ya yanayoendelea.

Mwaka 2025 huenda ukawa mgumu sana kwa dunia nzima, tujipange kwa ukame unaokuja hivi karibuni.

"The Israel-Iran conflict is an “inside job” to ensure the conflict will light the fuse to ignite a “holy war” that will spiral out of control into World War Three and lay the groundwork for the elite to usher in the New World Order."
View attachment 3112714
umeandika kifala sana huu uzi
 
Msijidanganye.
“Holy war” inamaanisha vita ambavyo vinachochewa hasia na nia za kidini, ambapo washiriki wanaamini wanatekeleza mapenzi ya Mungu au wanapigania imani yao. Vita vya kidini kwa kawaida huhalalishwa kwa imani kwamba vita hivyo ni wajibu wa maadili au kiroho, mara nyingi vikilenga kulinda au kueneza imani za kidini, kulinda maeneo matakatifu, au kujibu vitisho vinavyodhaniwa viopo dhidi ya imani yao.

Katika historia, mifano ya vita vya kidini ni pamoja na:

1. Vita vya Msalaba (Karne ya 11-13): Mfululizo wa vita vilivyoanzishwa na madola ya Kikristo ya Ulaya kwa lengo la kutwaa tena Nchi Takatifu kutoka kwa udhibiti wa Waislam.
 
umeandika kifala sana huu uzi
Ww ndo umekurupuka na umejibu kifala sana...
Kasome barua ya Albert Pike kwenda kwa Giuseppe Mazzini 1871, kila kitu kipo wazi mno na hapa mpango ni new world order hapo 2030 ukubali ama ukatae...
 
Haya mambo hayatokei hivihivi tu, kuna injinia wako nyuma yake wanasuka mipango yao waijuayo wao.

Sisi huku duniani tupotupo tu tunashangilia na ku take sides bila kufanya uchambuzi yakinifu wa "Reason Behind" ya yanayoendelea.

Mwaka 2025 huenda ukawa mgumu sana kwa dunia nzima, tujipange kwa ukame unaokuja hivi karibuni.

"The Israel-Iran conflict is an “inside job” to ensure the conflict will light the fuse to ignite a “holy war” that will spiral out of control into World War Three and lay the groundwork for the elite to usher in the New World Order."
View attachment 3112714
WW III Haitakuja kutokea.
 
Back
Top Bottom