baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
Hakuna Mtu asiewajua Iran mkuu, historia yao ipo kila sehemu ni watu smart ambao miaka na Miaka wamekuwa mstari wa mbele kutengeneza Dunia yetu kama tunavyiijua leo.View attachment 3123982
View attachment 3123983
Iran ina population kubwa ya watu, reserve kubwa ya mafuta, shaba, eneo kubwa lakini wamezidiwa Uchumi na Israel
Israel ni nchi ndogo Sana ki eneo na resources ndogo Sana lakini wamefanikiwa pakubwa kwenye kilimo, high tech, kijeshi.
Uchumi wao ni GDP 550 billion usd. Uchumi wa Iran ni GDP 450 usd.
Population ya Iran ni almost 90 million wakati Israel ni million 9.
Soma Pia: Rais wa Iran amuomba Ayatollah Khamenei kutokuishambulia Israel, ahofia anguko kubwa la uchumi litalopelekea kuanguka Dola hilo
Kwa takwimu hizo, Iran wana kazi kubwa. Budget Yao kubwa lazima wapeleke kuwahudumia wananchi
Israel Hana mzigo mkubwa kuwahudumia wananchi
Dunia ya leo kuna Nchi kibao zimewekewa Vikwazo na Hazitoboi angalia Zimbabwe, Venezuela, North Korea etc. Ila. Kwa Iran ni tofauti pamoja na kuwekewa Vikwazo jamaa ndio kwanza wanasonga mbele tu.
Iran ya Leo Malls kubwa kabisa Duniani zipo kwao, Wanatengeneza magari yao, wana Silaha zao karibia kila kitu wanajitegemea na wala hutoona wanaenda nchi za watu kutembeza Bakuli.
Bottom line hawa jamaa ni wasafi pengine level kama za wa Japan, ukiona unaenda sehemu mifereji ya maji machafu ni misafi to the point unaweza hata kuhesabu Michanga ujue hio ni peak of civilization na kila mwanadamu ambaye yupo civilized akifika Tehran lazima a dream kuishi sehemu kama hio.
So unaweza ukalinganisha GDP ukaona kama Israel yupo juu, ila Uchumi wa Israel ni feki na mostly unategemea misaada na mashirika ya nje. Proof kubwa Vita vidogo tu na Hamas immediately mwezi ule ule Uchumi ukashuka kwa asilimia 20, nchi yoyote kubwa yenye uchumi imara hili jambo haliwezi tokea, refer Urusi kuelewa.
Gaza war extends toll on Israel’s economy
Combat operations are straining Israel’s economy, leading to shrinking of the GDP and downgrading of sovereign rating.
Pia jambo jengine ambalo wengi hawaangalii wanapocompare nchi za wazungu/west na nchi zetu ni cost of living
Sehemu kama Iran Cost of living ni Around $300 kama laki 7 ama 8 hivi za kitanzania ukiwa nayo unaishi maisha mazuri, utakula vizuri na bata,
Ila Israel kupata same service utahitaji maelfu ya Dola, rent tu sehemu kama tel aviv inaweza fika $1600 kwa studio apartment.