Israel wagundua handaki la silaha chini ya hospitali ya watoto Gaza

Israel wagundua handaki la silaha chini ya hospitali ya watoto Gaza

Waandike kinachoeleweka
JF ya Baba yako mbona unajipa mamlaka ambayo siyo yako mimi na miaka zaidi 15 JF na watu wanasoma mabandiko yangu kama upendi ninachoandika unaweza kupotezea tu kama navyopotezea unachoandika JF ni jukwaa huru.
 
Andika kwa lugha inayoeleweka. Hiyo miama yako 15 ya kuwa hapa subiri upewe medali ya kuitimiza.
 
Uache kuabudu huyu
MTUME MUHAMMAD ALINYONYA ULIMI WA AL HASSAN Hadith Idadi 16,245:

Muhammad aliikamilisha ndoa yao kwa tendo la unyumba wakati 'Aisha alipokuwa na umri wa miaka tisa."Bukhari juzuu ya 5 kitabu cha 58 sura ya 43 na.236, uk.153.
Kudadadek😄😄😄
 
Wameshindwa kulipiga picha hilo handaki? Toka nimeanza kusikka stori za mahandaki ktk hosipitali, bado sijaona ushaidi wa picha za kawaida au za satellite za hayo mahandaki ktk hizo hosipitali
Hamna lolote dunia nzima imeisha wadharau wengine wanasema hizo video na picture ndio sasa wamewanyesha dunia Israel waongo, na kama kweli siwangeisha ita wandisho wa dunia nzima wathibitisha wanacho sema ni kweli hasa channels za Europe na America, kondoo atabaki kuwa kondoa tu
 
Jifunze kufungua links sio unaletewa kila kitu

A tunnel shaft found by IDF forces underneath Gaza City’s Rantisi Hospital, in a photo released by the military on November 13, 2023. (Israel Defense Forces)

View: https://twitter.com/i/status/1724150219028176957

WhatsApp_Image_2023-11-13_at_21.21.42_3.jpeg

Sawa ila wameshindwa prove kama hapo twitter umepita leo kwenye comments nadhani utakua umeshafahamu dosari za hiyo video
 
Sawa ila wameshindwa prove kama hapo twitter umepita leo kwenye comments nadhani utakua umeshafahamu dosari za hiyo video

Huwa sihangaiki kwenda kwenye comments, kimsingi hayo mazombi yenu yanapigwa kwenye mahandaki yaliyotengeneza chini ya shule.
 
Jeshi la Israel limeshindwa kupata vichuguu au silaha zilizorundikwa katika hospitali ya Rantisi. Badala yake, imefungua pakiti ya diapers na kalenda inayoorodhesha siku za wiki. Uwasilishaji umekuwa kicheko, isipokuwa kati ya msingi wa imani na finyu wa uungaji mkono kwa operesheni ya maangamizi ya Israeli. Lakini imetimiza lengo kubwa zaidi, kuisaidia Israel kuficha nia yake halisi ya kushambulia na kukalia kwa mabavu hospitali tatu kuu kaskazini mwa Gaza.

Hospitali hizi zimetoa maeneo kwa makumi ya maelfu ya raia waliokimbia makazi yao ambao nyumba zao ziliharibiwa. Israel imeazimia kuwalazimisha kuelekea kusini, na kuwasukuma kuelekea Rafah ili kutoa shinikizo kwa Misri kuwachukua. Kuondoa hospitali hizi pia kunairuhusu Israel kutengeneza janga la kibinadamu na kuongeza shinikizo kwa Misri kukubali raia wengi wa wagonjwa na waliojeruhiwa katika hospitali. yake mwenyewe.

Israel inapeleka usanii wa kukata tamaa kupaka rangi hospitali za Al-Shifa, Al-Rantisi na Quds kama vituo vya amri vya siri vya kijeshi, wakati kwa hakika, inaziona kama vikwazo kwa Nakba ijayo.
To sum up! Is Hamas a terrorist group or not?
 
Andika kwa lugha inayoeleweka. Hiyo miama yako 15 ya kuwa hapa subiri upewe medali ya kuitimiza.
Mbona hiyo lugh kama ananielewa Bi mkubwa wako inatosha. Au na wewe una hamu?
 
Huwa sihangaiki kwenda kwenye comments, kimsingi hayo mazombi yenu yanapigwa kwenye mahandaki yaliyotengeneza chini ya shule.
Mi nimwananchi huru mzee, sina ndugu yeyote ama rafiki huko israel wala palestina.

Nachokwambia mimi hiyo video watu kwenye comments wametoa analysis zao zenye mantiki hiyo video haijaprove chochote, hata raia wa kimagharibi wameitilia shaka.
 
Are Hamas a terror group?”, and Corbyn refuses to answer, all 17 times!
👇🏽
Piers morgan🤣🤣🤣

Ngoja kuna clip niliiona asubuhi nahisi nilibookmark ngoja nikaichek fasta
 
Back
Top Bottom