mangichogo
JF-Expert Member
- Oct 30, 2023
- 837
- 1,482
Kuna uhakika gani hilo shimo lipo nchini ya hiyo hospital? Kwasababu mimi naona picha ya shimo tu, linawezekana limepigwa picha masaki Tz maana siku hizi kwenye mitandao kuna udanganyifu mwingiJifunze kufungua links sio unaletewa kila kitu
A tunnel shaft found by IDF forces underneath Gaza City’s Rantisi Hospital, in a photo released by the military on November 13, 2023. (Israel Defense Forces)
View: https://twitter.com/i/status/1724150219028176957
Piers morgan🤣🤣🤣
Ngoja kuna clip niliiona asubuhi nahisi nilibookmark ngoja nikaichek fasta
Mi nimwananchi huru mzee, sina ndugu yeyote ama rafiki huko israel wala palestina.
Nachokwambia mimi hiyo video watu kwenye comments wametoa analysis zao zenye mantiki hiyo video haijaprove chochote, hata raia wa kimagharibi wameitilia shaka.
Kuna uhakika gani hilo shimo lipo nchini ya hiyo hospital? Kwasababu mimi naona picha ya shimo tu, linawezekana limepigwa picha masaki Tz maana siku hizi kwenye mitandao kuna udanganyifu mwingi
🤔🤔font red
Vita kapigane na IDF uwasaidie magaidi wenzako!vita na mimi karibu sana.