Israel wamepoteza vifaru 32 ndani ya siku 25

Yaani jiji k
kama majiji ya Doha na Dubai yametumia miaka 35 tu kujengwa gaza ndo ije ichukue miaka yote hiyo ?
Labda wakatae kutoa hela za ujenzi.
Doha kuna wese uchumi wa gaza unategemea mosaada ambayo vikundi vya kigaid vinaishi nayo
Unajua net worth ya mjane arafat aliorith kutoka kwa hayati mumewe ,au huyu gaid mwingine aliedunguliwa juzi amekutwa na vibunda ghetto
 
Sikushangai.

Kuna kondoo mwenye kuona na kusikia vizuri?


View: https://www.youtube.com/live/8TI_6oCEtMM?si=QhzG0_GjxQvhQq-S
Hii ni video ya Propaganda za Hezbollah
Mpaka sasa Israel unakaribia mwezi imeshindwa kupenya kwenye ngome za Hizbullah kila jaribio la kisonga mbele linakabiliwa na vifo na majeruhi.
Najua unajifurahisha tu!! Hii ni vita silni ajabu ya askari kumi kufa ingawaje ni namba kubwa sana kutokana na Jeshi la Israel lilivyo na umesahau kutuelezea Majeshi ya Israel yamepata mafanikio gani huko kusini mwa Lebanon kama hutaeleza basi mimi nitakueleza mafanikio waliyoyapata.
 
We msikilize Israel tu eti Hezbullah wanakimbia sa we baki na ubwege wako Hezbullah anawapiga mpaa ndani ya Israel wacha Lebanon.


View: https://youtu.be/5keuPWe4GLo?si=CST9olgxPhK6aKaJ
Hicho kipigo ndani ya Israel tarehe 19 WE baki oh Israel wapo Lebanon labbda kupiga selfie 😄


View: https://youtu.be/DAOJ6JMwTCA?si=zieCaqwyKuIGTK2s
Katika masaa 24 ya nyuma wameuliwa askari 10 wa Israel na walio na majeraha ni kama utitiri we baki na ngojera zako.
 
Kabla ya kututajia mafanikio ebu tutajie malengo ya Israel kwenye uvamizi waje huko Lebanon.
Kumbuka piae mpaka sasa malengo ya vita ya gaza hajatimiza hata moja.
 
Hakuna ushindi katika vita usiokuwa na hasara! Si kitu cha ajabu Israel ikipoteza vifaa na askari wake.
Lakini tukubali Hezibollar na Hamas wanapata hasara kubwa kulingana na hasara inayopata Israel.
Bado Israel inajiamini ina determine kushinda hii vita!
 
Hizbullah wanagawa kichapo huko usipime,Kuna taarifa Kama ikiwa confirmed inadaiwa itabadili kabisa mwenendo wa vita, askari 130 wa Israel wameandika barua kwa netanyahu kuwa hawataki kuhudumu mpaka mazungumzo yafanyike na mateka warudi home
Netanyahu anajifanya kichwa kichwa ngumu ila mambo yatamzidi
 
Kabla ya kututajia mafanikio ebu tutajie malengo ya Israel kwenye uvamizi waje huko Lebanon.
Kumbuka piae mpaka sasa malengo ya vita ya gaza hajatimiza hata moja.
Kiboko wa Magaidi huko Mashariki ya Kati na Uajemi waziri Mkuu wa Israel Mheshimiwa Benjamin Netanyahu alishataja malengo matatu ya vita hivyo: kwanza kuiondoa Hamas, Pili kuachiliwa huru kwa mateka wa Israel huko Gaza, na Tatu kuhakikisha kuwa eneo la Palestina halitakuwa tishio kwa usalama wa Israel. Hivi majuzi tena aliongeza la Nne wakazi wote wa huko Kaskazini warudi makwao.
 
Kumbuka tuu kuikalia gaza inamaanisha hakutakuwa na maisha North Israeli kama hizbo alivyochora mstari kama ni hivyo sawa maisha yaendelee
 
Hatarudisha watu wake kaskazini amini nakwambia bila makaratasi kuhusika
 
Wakristo na mayahudi wa kwamtogole wamekuja juu kwelikweli,

Mwenzenu kaweka na ushahidi nyie mnabakia kutetea kibugusa na kuweka katuni ili kujifrahisha? Wenzenu wanapigika huko, mbona hawajaigusa tena iran? Kazi kuonea sungu sungu wa hamas na Lebanon ?
Watachinjwa mdogomdogo mpaka wataomba poo
 
Hatarudisha watu wake kaskazini amini nakwambia bila makaratasi kuhusika
Nayawekea pin maneno yako hili la watu kurudi kaskazini ndilo jepesi sana kwa sababu kufikia mwezi ujao mwisho i Hezbollah watakuja wamesukumwa kwa nyuma mpaka Litan river kitu ambacho kitawezesha waliokuwa wakiishi huko kaskazini warudi makwao nakushangaa wewe unikata!! Hata Sayyed Nasrallah naye alikuwa anakataa hivyo hivyo lakini sasa hatuko naye yuko kuzimu!!
 
Kumbuka tuu kuikalia gaza inamaanisha hakutakuwa na maisha North Israeli kama hizbo alivyochora mstari kama ni hivyo sawa maisha yaendelee
Magaidi wa Hezbollah si lolote Gaza itakaliwa na Hezbollah atasukumwa kwa nyuma mpaka mto litan atake asitake atalazimishwa tu!!
 
Hizbollah ana missiles za kurusha hata akiwa Beirut na zikapiga target nani raia anajipenda aende kaskazini? Bila kusaini makaratasi Netanyahu anawauwa bure vijana wadogo lakini acha wafe wengi mashoga hawana faida wala hasara dunian hapa
 
Ushahidi gani huo wa michongo??
 
Hizbollah ana missiles za kurusha hata akiwa Beirut na zikapiga target nani raia anajipenda aende kaskazini? Bila kusaini makaratasi Netanyahu anawauwa bure vijana wadogo lakini acha wafe wengi mashoga hawana faida wala hasara dunian hapa
Ukiwa wewe Shoga haina maana wote ni mashoga!!
 
Sasa kati ya yote hayo uliyo yataja ni lipi lililo fanikiwa?
 
Sasa kati ya yote hayo uliyo yataja ni lipi lililo fanikiwa?
Hivi wewe mtu akikuambia Hamas inatawala Gaza utakubali? Je sasa hivi kuna tishio la makombola kutoka Gaza?? Oct 07,2023 Magaidi wa Hamas waliteka watu 251 mpaka leo hii waliobaki mikono i mwa magaidi hao ni 101 tu zaidi ya nusu walishakombolewa hayo kwako si mafanikio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…