Israel wametuma ujumbe EU kwa Hezbollah kuomba kusitishwa kwa mapigano' Hezbollah wamekataa

Waachie uzi wao wajifariji. Hata Hamas walisifiwa hivi mwanzoni kabla Gaza hawajaanza kuokoteleza matofali.

Hezbollah ishambulie tena ili uwepo ushahidi, Israel ikijibu tusisikie kelele na visingizio.
Kwamba ushahidi wa kushambuliwa kwa israhell haupo ama???
 
Kwa kweli siamini kuwa kuna nchi mbaya zaidi kuliko Israeli.

Israel imemuua mtoto mkubwa wa mwanahabari, Wael Dahdouh.

Israeli sasa wameua:

- 2 kati ya wanawe

- Mke wake

- Binti yake

- Mjukuu wake

Mungu ampunguzie maumivu na kuwaadhibu waliohusika.
 
Mziki huo sasa Hezbollah mnapigaa wanaomba suluhu hamna mkwala kama ule mnaonea Gaza tunakata maji tunakata chakula, tunakata umeme marufuku kuingia chochote waambieni basi Hezbollah.
 
unajua inashangaza sana pindi wanauwawa wapelestina miaka nenda miaka rudi walikuwa kimya huku wakisema wanauwawa lakini hawaishi hawa viongozi wa LGBTQ kupigwa kidogo tu lawama ooo wapalestina ooo hawa magaidi bado mutawapa majina mengi zaidi maana inavyoonyesha wapalestina wamechoka wapo tayari liwalo na liwe hawatarudi nyuma
 
Miaka ya 80 nilikuwa Middle East na nimekaa sana katika nchi hizo, kuanzia KSA, mpaka vita ya Iraq/ Iran na hata Saddam alipovamia Q8 nilikuwa huko
Watoto wa ki Palestine walikuwa wanapigana kwa mawe
Na waisrael wakapitisha sheria atakae tupa mawe jela miaka 20
Ila leo eti wameijua Hamas kuuwa wayahudi
Huwa wanasoma nini mashuleni siku hizi wabongo
Namna ya kuwa wana siasa na serikalini kuiba tu
 
Waachie uzi wao wajifariji. Hata Hamas walisifiwa hivi mwanzoni kabla Gaza hawajaanza kuokoteleza matofali.

Hezbollah ishambulie tena ili uwepo ushahidi, Israel ikijibu tusisikie kelele na visingizio.
Ww huwezi kuijua hamas kwasababu umekaa hapo ulipo umeshika simu na unaanza kuandika mambo kwa matamanio yako, wanao ijua Hamas ni Israel yenyewe ambao wametangaza kuwa wanahitaji mwaka mzima wa 2024 ili iweze kuishinda , kufunga baadhi ya shughuli za kiserikali ili wapate pesa za kuendesha vita dhidi ya hao Hamas unao wadharau hata ,Netanyau mwenyewe alisha kili kuwa wanalipa gharama kubwa na chungu kwenye vita hii.
Watu wa gaza kuokota matofari sidhani kama hiyo ni mojawapo ya jambo la kushanga kwa sehemu isiyo na ID kama gaza hata JWTZ wana uwezo kulidondosha jiji la Dar ndani ya wiki moja iwapo hakutakuwa na ID za kuwazuia, japo ni jeshi la kizamani.

Israel ukiingia vitani na Hizbulla hayo matofari yataokotwa gaza hayataokotwa Lebanon tu bali pia yataanza kuokotwa Telaviv na Haifa kwa sababu uharibifu utakao fanywa na Israel kwa kutumia jeshi lake la anga pia Hizbulah ina uwezo wa kuufanya kwa kutumia makombora yake yanayo ongozwa kwa usahihi.

Ni jana tu Hizbulah walikishambulia kituo kikubwa cha rada cha kuongezea mashambulizi ya anga na Israel haijajibu zaidi ya viongozi wa Israel kutangaza kuwa hawataki vita na Hizbulla.
Hata wahuthi kipindi wanaanza operation zake dhidi ya meli za Israel mlikuja na kejeli hizi hizi lakini leo hii ni wahuthi hao hao wameshababisha uchumi wa Israel unapumulia mashine na bandari kufungwa.
 
BREAKING:

⚡ 🇮🇱 wameanza kulenga bandari za Haifa, katika pwani ya Mediterania ya Israel.

Kombora ambalo halijatambuliwa lilitua katika eneo la bandari la Haifa.

Je, Hezbollah pia itafunga njia ya bahari ya Mediterania kuelekea Israel, na hivyo kusababisha mkwamo wa jumla wa kiuchumi?

t.me/megatron_ron
 
🇱🇧🇮🇱HEZBOLLAH ILIKWEPA JUMBA LA CHUMA KATIKA MGOMO WA MIRON BASE

Wataalamu wanaamini kuwa shambulio la msingi la Hezbollah la Mount Miron lilihusisha makombora ya masafa marefu ya Kornet, njia ambayo inakwepa kupenya kwa Iron Dome.

Shambulio hili lilifichua pengo kubwa katika ulinzi wa anga wa Israel, na hivyo kupelekea IDF kufikiria upya mikakati ya kambi zilizo karibu na mpaka zilizo hatarini ndani ya kilomita 10 kutoka Lebanoni.

Chanzo: Channel 13
 
Lebanon is not #Gaza. We couldn’t join #Hamas in Gaza because of the siege but we could easily join our brothers in Lebanon from everywhere!
 
Hezbollah waendelee kukataa kwa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…