inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Unaelewa msemo 'kuchuna uso' kwa kiingereza 'face saving'!?Israel mbona ishasema waziiii vita itaendelea......toka mwanzoni Nyahu alishasema ni vita ya muda mrefu na ngumu.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaelewa msemo 'kuchuna uso' kwa kiingereza 'face saving'!?Israel mbona ishasema waziiii vita itaendelea......toka mwanzoni Nyahu alishasema ni vita ya muda mrefu na ngumu.....
Kwamba ushahidi wa kushambuliwa kwa israhell haupo ama???Waachie uzi wao wajifariji. Hata Hamas walisifiwa hivi mwanzoni kabla Gaza hawajaanza kuokoteleza matofali.
Hezbollah ishambulie tena ili uwepo ushahidi, Israel ikijibu tusisikie kelele na visingizio.
unajua inashangaza sana pindi wanauwawa wapelestina miaka nenda miaka rudi walikuwa kimya huku wakisema wanauwawa lakini hawaishi hawa viongozi wa LGBTQ kupigwa kidogo tu lawama ooo wapalestina ooo hawa magaidi bado mutawapa majina mengi zaidi maana inavyoonyesha wapalestina wamechoka wapo tayari liwalo na liwe hawatarudi nyumaTena bado sana, mpaka Golan Heights irudi
Syria nao waliamshe tu
Yaani safari hii myahudi hawamtaki kila mahali ni cancer inayotapakaa kila mahali
🇺🇸 hawawataki wameambiwa kwao ndio hapo na Israel ikawaita kuja kuwadhulumu ardhi wakazi wa hapo
Sasa wanaikimbia tena ardhi waliyoichukua kibabe mpaka kukata na miti ya Olives yote
Wameuwa miaka na miaka ila leo pamekuwa pachungu
Kuna vijana humu wamedandia ya juzi tu Hamas, ila Israel ameuwa miaka
Miaka ya 80 nilikuwa Middle East na nimekaa sana katika nchi hizo, kuanzia KSA, mpaka vita ya Iraq/ Iran na hata Saddam alipovamia Q8 nilikuwa hukounajua inashangaza sana pindi wanauwawa wapelestina miaka nenda miaka rudi walikuwa kimya huku wakisema wanauwawa lakini hawaishi hawa viongozi wa LGBTQ kupigwa kidogo tu lawama ooo wapalestina ooo hawa magaidi bado mutawapa majina mengi zaidi maana inavyoonyesha wapalestina wamechoka wapo tayari liwalo na liwe hawatarudi nyuma
Ww huwezi kuijua hamas kwasababu umekaa hapo ulipo umeshika simu na unaanza kuandika mambo kwa matamanio yako, wanao ijua Hamas ni Israel yenyewe ambao wametangaza kuwa wanahitaji mwaka mzima wa 2024 ili iweze kuishinda , kufunga baadhi ya shughuli za kiserikali ili wapate pesa za kuendesha vita dhidi ya hao Hamas unao wadharau hata ,Netanyau mwenyewe alisha kili kuwa wanalipa gharama kubwa na chungu kwenye vita hii.Waachie uzi wao wajifariji. Hata Hamas walisifiwa hivi mwanzoni kabla Gaza hawajaanza kuokoteleza matofali.
Hezbollah ishambulie tena ili uwepo ushahidi, Israel ikijibu tusisikie kelele na visingizio.
Wanaukumbi.
BREAKING:
⚡ 🇪🇺 🇮🇱 Israeli inadai 'kusitishwa kwa mapigano' kupitia EU
Josep Borell alikutana na ujumbe wa Hezbollah
Mwakilishi wa Umoja wa Ulaya katika mambo ya nje Josep Borell, amekutana na ujumbe kutoka Hezbollah, katika jitihada za mwisho za kudhibiti mvutano kwenye mpaka wa Israel na Lebanon na kuzuia vita kamili.
Hezbollah ilimfahamisha Borell kwamba hakutakuwa na mijadala kuhusiana na eneo la Lebanon hadi vita dhidi ya Gaza vikomeshwe, na ikasisitiza kwamba hawatarudi nyuma hata inchi moja kutoka eneo la Lebanon.
*Wanajaribu kwa nguvu zao zote kuilinda Israel inapofanya mauaji ya halaiki huko Gaza
t.me/megatron_ron
View: https://x.com/megatron_ron/status/1743692631773688158?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw