AnyWayZ
JF-Expert Member
- May 30, 2022
- 4,880
- 8,424
Wewe ungekubali utawanywe kwa warabu?Solution ni mbili either waungane wawe nchi moja au wapalestina watawanywe kwenye nchi mbalimbali za kiarabu wakaanze upya maisha.
Yaani nchi ya Palestine isiwepo.