AnyWayZ JF-Expert Member Joined May 30, 2022 Posts 4,880 Reaction score 8,424 Oct 11, 2023 #21 bongo dili said: Solution ni mbili either waungane wawe nchi moja au wapalestina watawanywe kwenye nchi mbalimbali za kiarabu wakaanze upya maisha. Yaani nchi ya Palestine isiwepo. Click to expand... Wewe ungekubali utawanywe kwa warabu?
bongo dili said: Solution ni mbili either waungane wawe nchi moja au wapalestina watawanywe kwenye nchi mbalimbali za kiarabu wakaanze upya maisha. Yaani nchi ya Palestine isiwepo. Click to expand... Wewe ungekubali utawanywe kwa warabu?
Zeus1 JF-Expert Member Joined Aug 24, 2017 Posts 7,152 Reaction score 9,206 Oct 11, 2023 #22 P L A U S I B L E said: Wewe ungekubali utawanywe kwa warabu? Click to expand... Ni ndugu zao katika iman
P L A U S I B L E said: Wewe ungekubali utawanywe kwa warabu? Click to expand... Ni ndugu zao katika iman
JUHUDI M Member Joined Oct 10, 2023 Posts 6 Reaction score 4 Oct 11, 2023 #23 Mbona mapema huenda ni wazima wa afya
R rodrick alexander JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 16,784 Reaction score 23,312 Oct 11, 2023 #24 Kuna watu walikimbilia kuwalaani waisrael kumbe watanzania wenzao wamepotea kutokana na shambulio la Hamas I
Kuna watu walikimbilia kuwalaani waisrael kumbe watanzania wenzao wamepotea kutokana na shambulio la Hamas I
KJ07 JF-Expert Member Joined Dec 17, 2021 Posts 2,370 Reaction score 5,381 Oct 11, 2023 #25 Wenye ukweli wa mambo hawana wasiwasi ila msojua uhalisia ndo mna vimuhemuhe