Israel wanapiga hadi Marekani wameanza kuwaomba waache sasa

Asingekuja huyo muarabu na kubaka wazee wetu na kupandikiza dini ya kuwafanya muwe mazombi ya kujipua mabomu, ukanda wote huo ungekua mbele sana hata kimaendeleo...
Uislam ndio dini sahihi
 
Allah ni wa viumbe vyote nipe rejea kama sio Mungu wa Mussa

Sio Mungu wa Musa kwa Sababu sheria alizotoa au Torati haina uhusiano wowote na Allah
Embu nipe Rejea yoyote ya amri za Mungu alizopewa Musa zilizopo kwenye Quran au uislamu
 
Ndio maana nikakwambia usome uislam kabla ya kuja kuukosoa hapa mitandaoni
Quran ndio imeamrisha tufunge siku hizo ila wao hawakua wakitumia quran ndio maana wakafunga walivyofunga
 
Sio Mungu wa Musa kwa Sababu sheria alizotoa au Torati haina uhusiano wowote na Allah
Embu nipe Rejea yoyote ya amri za Mungu alizopewa Musa zilizopo kwenye Quran au uislamu
Amri za mussa zipo kwenye kitabu chake alichopewa na allah
Sababu mussa hakupewa qur an alipewa taurat
 
Ndio maana nikakwambia usome uislam kabla ya kuja kuukosoa hapa mitandaoni
Quran ndio imeamrisha tufunge siku hizo ila wao hawakua wakitumia quran ndio maana wakafunga walivyofunga

Kwa hiyo hawakufuata uislamu?

Ndio maana nikakuambia hawakuwa waislamu. Alafu unabisha.

Kwa hiyo nani muislamu wa kweli kati ya Issa na Muhammad?,
Issa ambaye ni Myahudi na Mungu wake ni Yahweh kafunga Siku 40. Muhammed amabye ni muislamu na Mungu wake ni Allah akaamrisha kufunga siku 30?
Nani muislamu hapo aliyefuata amri za Mungu mmoja?
 
Muislam akifa au akimua mkiristo au yahudi wakati anapigania ardhi au Mali yake huyo mtu wa peponi tena ktk pepo ya juu kabisa. Lkn mkiristo akifa na ukiristo wake huyo motoni kabisa
hapo ndo unaona muhamadi alikuwa chizi na wanaomfuata.
 
Sio Mungu wa Musa kwa Sababu sheria alizotoa au Torati haina uhusiano wowote na Allah
Embu nipe Rejea yoyote ya amri za Mungu alizopewa Musa zilizopo kwenye Quran au uislamu
Mussa alipewa suhfi hata kwenye Quran wamelitaja hili na sheria zake pia zipo humo 87:19 Quran
 
Walikua waislamu
Nandio maana ni kakwambia huko juu nikakwambia kama uislamu ulikua ukibadilika kila zama kabla ya kuja kukomea kwa Muhammad s.a.w kwahio huko nyuma kuna watu wali sali rakaa mbili kwa siku kuna watu wali sali rakaa arobaini kwa siku
Nk
 
Embu toa reference Kutoka kweny Quran kuwa Uislamu unabadilika.
Isijekuwa kama nawe ndio walewale wakitoa vitu pasiporejea.
 
Mussa alipewa suhfi hata kwenye Quran wamelitaja hili na sheria zake pia zipo humo 87:19 Quran

Mungu aliyempa Musa Torati sio Allah. Nandio maana nikakuambia kuwa Manabii wa nyuma hawakuwa waislamu. Kwa sababu Mungu wa waislamu ni Allah. Ilhali Mungu wa manabii wengi kabla ya Muhammed alikuwa Yahweh. Hapo ndipo tunapopishana
 
Muislam akifa au akimua mkiristo au yahudi wakati anapigania ardhi au Mali yake huyo mtu wa peponi tena ktk pepo ya juu kabisa. Lkn mkiristo akifa na ukiristo wake huyo motoni kabisa
Tunaomba maandiko ya Biblia yanayosema hivyo
 
6.ibrahimu na musa wote hawakuwa waarabu na hawakuwshi jua hata kusema neno moja .wslizungumza lugha ya aramaic.pia nabii issa alikuwa hajui kiarabu aliongea kiaramaic maisha yote
 
Mungu aliyempa Musa Torati sio Allah. Nandio maana nikakuambia kuwa Manabii wa nyuma hawakuwa waislamu. Kwa sababu Mungu wa waislamu ni Allah. Ilhali Mungu wa manabii wengi kabla ya Muhammed alikuwa Yahweh. Hapo ndipo tunapopishana
Acha kujimilikisha Mungu wa wayahudi, hao wayahudi wenyewe hawatambui biblia. Wakristo hutambua Yesu ni Mungu ilihali wayahudi wanakataa meaning Mungu wa waisrael na Mungu wa wakristo ni watu wawili tofauti sawa tu na alivyo Mungu wa kiislam.

Sielewi Kwanini wakristo mnaforce wayahudi wana share Mungu na nyie!!
 
6.ibrahimu na musa wote hawakuwa waarabu na hawakuwshi jua hata kusema neno moja .wslizungumza lugha ya aramaic.pia nabii issa alikuwa hajui kiarabu aliongea kiaramaic maisha yote
Abraham alitokea Ilipo Iraq/Syria ya sasa.... so he was a semitic as all arabs and israelites are. Wayahudi wote wametokana na wasyria so utaamua kama ni waarabu au sio!!
 
6.ibrahimu na musa wote hawakuwa waarabu na hawakuwshi jua hata kusema neno moja .wslizungumza lugha ya aramaic.pia nabii issa alikuwa hajui kiarabu aliongea kiaramaic maisha yote

Ni kweli.
Tatizo waafrika hatuwezi kuchambua kambi kwa uhuru kisa ushabiki wa kipuuzi.
Sio kwenye dini sio kwenye siasa.

Mtu akiwa ccm anavutia kwenye ccm hata kwa jambo la uongo. Halikadhalika akiwa Chadema.
Hiyo pia ipo kwenye ukristo vs uislamu.
 
Wapi nimefosi au kuandika Mungu wa wayahudi ni Mungu wa Wakristo?

Manabii wote waliotangulia wengi wao ni mayahudi na Mungu wao ni Yahweh na katiba yao kuu ni Torati

Alafu Wakristo huwajui vizuri.
Elewa kuwa sio kila mkristo anaamini Kuwa yesu ni Mungu.
 
Muarabu asingekuja kubaka waafrika pale Pwani ungeujua huo uislamu? Kabaka mababu zetu kisha kasimika dini yake na kufanya muwe mazombi zaidi....
Dini zote zimefanya violence Afrika.... hao wakatoliki tu walifund mauaji ya kimbari na walikiri hilo. Same to Wakristo kama King Leopold aliyepewa kibali na kanisa kufanya ethnic cleansing ya Wacongo 16 Millioni. In fact bible pia inakubaliana na ukoloni na biashara ya utumwa!!

Tuache kuingiza mada za udini kwenye mgogoro wa ardhi maana tukienda kihistoria wazungu wameleta damage kubwa sana Afrika kwa mgongo wa dini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…