Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Nikwambie tu ndugu Robert hujui na bado hujaweza kujenga hoja juu ya uislamKwa uelewa wako Issa, Yakobo, Ibrahim, Muda, Yunus walimuamini Allah na Mohamed?
Hao manabii hawamjui sio huyo Allah wala sio huyo Mohamed. Iweje useme walimuamini?
Nabii adam kabla ya kuhamishiwa duniani kutoka peponi alipokua anakaa huko aliona jina la Muhammad s.a.w limeandikwa kama sijakosea kwenye mlango wa pepo akajua kitu mpaka kikiandikwa kule ujue hiko kinakua kitukufu na akapewa story kwa ufupi kuhusiana na Muhammad s.a.w
Na nabii mussa kama nitakua sijakosea jina la nabii aliomba dua kwakutaja jina la nabii Muhammad s.a.w
Hakuna nabii alokua hamjui nabii Muhammad s.a.w