Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Ila ni mjinga au mbarikiwa wa papa anaeipingana nayoNI MPUMBAVU ALIYEYASEMA HAYA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila ni mjinga au mbarikiwa wa papa anaeipingana nayoNI MPUMBAVU ALIYEYASEMA HAYA
Afate maamrisho na makatazo yalioamriwa na Allah s.w na Mtume wake Muhammad S.a.wIli mtu aitwe muislamu anatakiwa aweje na afanye nini?
Swali hili ndio litatoa uelekeo wa kile usemavyo ni kweli iau sio kweli
Amina, hivi uko nchi gani?Nilikuwa huko nikatoka.Nampenda Yesu.Bwana Yesu asifiwe sana,mkuu!🙏🙏🙏🙏
1445 HijriaHivi,mko mwaka wa ngapi hii leo mkuu?
Afate maamrisho na makatazo yalioamriwa na Allah s.w na Mtume wake Muhammad S.a.w
Wanaonea raia tu Hamas iko makini wanaendelea kuua mazayni ya kiyahudi na huu ndio mwisho wa taifa la mchongo IsraelKwa kweli kiaina hata mimi nimeanza kupata kaukakasi fulani, jameni mpaka sasa sidhani kama kuna yeyote hajapata adabu yake pale Gaza, hata hao HAMAS kama kuna siku nyingine wataichokoza Israel nitawakubali kweli ni ving'ang'anizi.
Watu wa Gaza wameteseka vya kutosha, wamepigika na kubamizwa mpaka basi tu. Itoshe sasa, Israel wakubali kuingia kwenye mazungumzo.
============
Israel’s military response in the Gaza Strip to the shock October 7 attack by Hamas has been “over the top,” US President Joe Biden says.
“I’m of the view, as you know, that the conduct of the response in Gaza, in the Gaza Strip, has been over the top,” he tells reporters at the White House during an evening address that was announced only about two hours earlier.
The president adds that he’s “pushing very hard now” to get a sustained pause in fighting that could also free the remaining hostages in Gaza abducted from Israel on October 7.
Source: Times of Israel
Afate maamrisho na makatazo yalioamriwa na Allah s.w na Mtume wake Muhammad S.a.w
Sio uwe tu muislam uwe Muumin yaani unakua salama kabisa duniani na kesho akheraKwa hiyo ili niwe salama ni lazima niwe muislam?
Unangojea nini 😀Kwa namna magaidi yalivomtoa uhai Joshua ilitosha kunifanya nivae gwanda nikaunge mkono juhudi za Israel
Kumbe we ni dog square?Uislam sio muarabu sio mzungu sio muafrika. Uislam ni dini ya kila mtu. Ukiristo ni dini ilietwa kuwapoteza watu
Haya wape watu na historia ya mji wapwani wa daaaru ssalaaamHamna, waarabu miungu wako ndio walikuja na kuchukua mababu zetu mateka na kuwapitisha Pwani, waulize watu wakuelimishe nini maana ya Bagamoyo au Bwagamoyo, halafu wakatia na dini yao hapo Pwani ambayo umezaliwa karne kadhaa baadye unatupigia makele kuihusu.
Hiyo dini muarabu muhammad alikua dini zingine naye kaona aanzishe yake huko jangwani.
Huwezi kumtenganisha Allah s.w na Mtume wake Muhammad S.a.wKwa hiyo akifuata ya Allan lakini asipofuata ya Muhammad anakuwa sio muislamu?
Uliza suala jengine kama ntakua na jibu nalo ntakujibu hilo niliishakujibu tayari au hujaliona?Au akaamua kufuata ya Muhammed na asifuate ya Allah anakuwa sio muislamu?
Uliza suala jengine kama ntakua na jibu nalo ntakujibu hilo niliishakujibu tayari au hujaliona?
Sssa hata wewe unatakiwa upigwe mssss ili ujue haya majambo kiundani kabisaaaaKama umejinibu basi jibu lako ndio limueleweshe Malaria 2 kuwa Manabii kabal ya Muhammad hawakuwa waislamu kwa sababu hawakuwa wanamfuata Muhammed kwani hakuwepo.
Umejibu sahihi
Huwezi kumtenganisha Allah s.w na Mtume wake Muhammad S.a.w
Sababu maamrisho ya Allah yamefikishwa na Muhammad sasa unamfataje Allah bila kumfata Muhammad na kinyume chake
Sssa hata wewe unatakiwa upigwe mssss ili ujue haya majambo kiundani kabisaaaa
Nilikujibu kwamba Allah kamleta Muhammad kuelekeza alo ya amrisha na kuyakatazaUnaweza kuwatenganisha kwa sababu ni wahusika wawili tofauti.
Mmoja ni mwanadamu ndiye Muhammad, alafu wa pili ni mungu wa wakurdi aitwaye Allah.
Mueleweshe mwenzako asitie aibu hapa.
Yeye anayesema Adamu alikuwa muislamu kama mtu asiyejua uislamu ni nini
Wewe unaesema manabii wa kabla ya Muhammad hawakua waislam kwa kigezo gani?Hayo mambo ninayajua kuliko wengi wenu humu mnavyorukia rukia mambo kishabiki.
Kitendo cha mtu kusema Manabii wa kabla ya Muhammad walikuwa waislamu kinadhihirisha msemaji bado anaelimu ndogo kuhusu dini na miungu
Kwa akili hizi mtaendelea kupiga mazoezi ya kivita Maporini Mtwara na mtauwawa sanaMuislam akifa au akimua mkiristo au yahudi wakati anapigania ardhi au Mali yake huyo mtu wa peponi tena ktk pepo ya juu kabisa. Lkn mkiristo akifa na ukiristo wake huyo motoni kabisa