Israel wanapiga hadi Marekani wameanza kuwaomba waache sasa

Nilihofia sana kauli ya Nenmtanyahu ili Oktoba 7 kuwa Gaza itaenda kupata kitu kitakachoishangaza dunia....

Tuombe amani itamalaki. Kuua haijawahi kuwa suluhisho
Allah ndio hakimu wa mahakimu. Alikuwepo farau ktk dunia hii hivi sasa yuko wapi?
 
Hujui? Soma biblia agano la kale sio hili lililokarabatiwa

Nipe nukuu ya agano la kale inayosema kuna nabii alifuata hizo nguzo tano.
Naamini unaelimu ya dini yako hivyo hapa hutajiabisha wala kuabisha Watu wa dini yako.

Niambie ni nabii yupi alifuata nguzo tano za uislamu kuachana na Muhammed?
Nakuruhusu utoe references sehemu yoyote
 
1. Funga: manabii wote walifunga
2. Kumuamini Allah. Manabii wote walimuamini Allah.
3. Zaka: manabii wote walitoa Zaka.
4. Nabii ibrahim alianzisha Alkaaba
Unalo swali?
 
Innallillah wainnah raajiun. Hulazimishi mtu ktk uislam. Unapewa tahadhari ukifa nje ya uislam wewe ni motoni
Wale boko haram walichinja watu 100( wakristo) siku ya Christmas kule sio kulazimishana kuwa waislamu?
 
1. Funga: manabii wote walifunga
2. Kumuamini Allah. Manabii wote walimuamini Allah.
3. Zaka: manabii wote walitoa Zaka.
4. Nabii ibrahim alianzisha Alkaaba
Unalo swali?

Nitajie hao manabii usijekuwa unataja wakina Mwamposa hapa. Au unataja manabii wa uongo.
Taja nabii na reference, mbona rahisi sana.

Leo ndio siku ya kuonyesha kuwa wewe kwenye dini yako ni mweupe na unaamini usichokijua. Ndio maana unakiherehere kwani wenye viherehere mara nyingi kichwani ni debe tupu
 
Nina phd ktk elimu ya dunia. Na mashallah nimekunja got ktk elimu ya akhera kuitafuta
 
Nabii Issa alifunga siku 40
 
Nina phd ktk elimu ya dunia. Na mashallah nimekunja got ktk elimu ya akhera kuitafuta

Dhihirisha usemacho kwa kujibu ulichoulizwa. Kushindwa kujibu swali hilo ni kuutangazia umma wa JF wewe ni muongo, na hakukuwa na Nabii muislamu kabla ya Muhammed
 
Historia ya Uislamu haikuanza na Mtume Muhammad kama wanavyofikiria watu wengi bali imeanza tangu alipoletwa nabii wa kwanza ulimwenguni, ambaye kwa mujibu wa Waislamu ni Nabii Adamu alipoteremshwa ulimwenguni na kupewa mwongozo na Mwenyezi Mungu wa namna gani kuishi hapa duniani kwa njia nzuri ya wema na hisani kwa kushikamana na mafunzo yake Mwenyezi Mungu na kujiepusha na makatazo yake
Hivi hata kama sisi ni mazuzu lakini usitudanganye kiasi hiki ww tangu lini adam akawa muislam na alikua anasali swala tano maana neno islam ni la kiarabu sasa adam alikua anaongea kiarabu na shaaada alitoa kiaje[emoji3060][emoji3060]Kuna upuuzi mwingine ukiusikia unachoka harafu unakuta jitu limekomaaa kutetea uongo wa wazi wazi.kuna maswali zaidi ya mia nikikuuliza hutanijibu utaleta uongo tu.
 
Weye mwehu kweli. Dah.
Unajua zamani mtz alikua haongei kiswahili. Akiongea lugha gani? Jee sio mtazania? Akili hizi ndio maana akitokea mchungaji mjanja anakutapeli kirahisi mno
 
Una maswali ya kitoto? Tanzania zamani kusoms Diploma zamani ilikua miaka 2. Hivi sasa 3. Swali huyo aliesoma miaka 2 sio mtanzania?

Unaelewa nini maana ya Mtaala?

Kwa hiyo Uislamu kwa Mujibu wa uislamu unabadilika?
Nini kimebadilika kwenye uislamu wa enzi za Muhammad na Zama hizi kwa Mujibu wa Quran?
 
Back
Top Bottom