Israel wanapiga hadi Marekani wameanza kuwaomba waache sasa

Israel wanapiga hadi Marekani wameanza kuwaomba waache sasa

Nilikujibu kwamba Allah kamleta Muhammad kuelekeza alo ya amrisha na kuyakataza
Yupo sahihi kabisa adam na manabii wengine walikua waislamu

Basi kwa vile mwenzako kashidwa kujibu akakimbia. Umefanya vizuri kuja kumsaidia.

Tuambie, ili mtu awe muislamu anatakiwa afanye nini? Yaani kipi kinachomtambulisha muislamu?
 
Basi kwa vile mwenzako kashidwa kujibu akakimbia. Umefanya vizuri kuja kumsaidia.

Tuambie, ili mtu awe muislamu anatakiwa afanye nini? Yaani kipi kinachomtambulisha muislamu?
Ahsante ni tajibu qadri ya uwezo wangu
Inatakiwa umuamini Allah s.w na Mtume wake au mitume yake(maana mitume ilikua mingi sana ila hapa tutamuongelea s.a.w kwakua ndio tupo kwenye wakati ama zama zake)
 
Kwa uelewa wako Issa, Yakobo, Ibrahim, Muda, Yunus walimuamini Allah na Mohamed?
Hao manabii hawamjui sio huyo Allah wala sio huyo Mohamed. Iweje useme walimuamini?
 
Manabii wote kabla ya Muhammad hawajawahi kushika nguzo tano za uislamu.
Issa
Musa
Yakobo
Ibrahim
Adamu
N.k
Una ushahidi kama hawakutekeleza nguzo tano kama Muhammad s.a.w ama umeamua tu kusema leta ushahidi kama hawakutekeleza hizo nguzo kama unavyodai
 
Kwa uelewa wako Issa, Yakobo, Ibrahim, Muda, Yunus walimuamini Allah na Mohamed?
Hao manabii hawamjui sio huyo Allah wala sio huyo Mohamed. Iweje useme walimuamini?
Alokwambia kama Muhammad hakua anajulijana na manabii walopita nani hao
Wakati kuna manabii walikua wanatamani kua watu tu wakawaida katika ummat Muhammad kuliko kua manabii katika umma zao
 
Hehehe jamaa huwa unachekesha sana, yaani muarabu angejua namna huwa unang'ang'ania hiyo dini yake, angekupa tuzo, sema waarabu huwaona kama mbwa yeyote asiye muarabu kwenye hiyo dini....

screenshot_20220521-114037_gallery-jpg.2240761
Aione non arabu wetu FaizaFoxy .mmeitwa mbwa
 
Kwa uelewa wako Issa, Yakobo, Ibrahim, Muda, Yunus walimuamini Allah na Mohamed?
Hao manabii hawamjui sio huyo Allah wala sio huyo Mohamed. Iweje useme walimuamini?
Ntakupa mfano mdogo tu maana unaonekana hujui vingi kijana
Allah alipomuamrisha Muhammad kufunga alimwambia kama katuamrisha sisi kufunga kama alivyo waamrisha walokua kabla yetu unadhani walokua kabla yetu hapa walikua kina nani
 
hata hao HAMAS kama kuna siku nyingine wataichokoza Israel nitawakubali kweli ni ving'ang'anizi
Watarudi ku avenge vifo vya watoto na Mama zao so mapigano yatarudi upya!! Violence doesn't end Violence
 
Una ushahidi kama hawakutekeleza nguzo tano kama Muhammad s.a.w ama umeamua tu kusema leta ushahidi kama hawakutekeleza hizo nguzo kama unavyodai

1. Wote hawakuwahi kufunga mwezi wa Ramadhani. Na uelewe kuwa hao wengi wao ni matajiri(waisraeli) na waisraeli hawana huo mwezi wa ramadhani na hawana huo utamaduni wa kufunga katika mwezi fulani.

2. Wote hawakuwahi kufika Makka. Achilia mbali kuja kuhijji kwenye lile jiwe.

3. Wote hawamuamini wala hawamjui Allah zaidi wanakuamini na kumuabudu Yahweh.

4. Wote hawajawahi kuswali swala tano. Mpaka hivi leo huo utamaduni wa swala tano wayahudi na waisrael hawana hata kwenye vitabu vya kihistoria.

5. Wanatoa zaka na sadaka kwa utaratibu wa Sheria ya Muda( Torati) wakati muislamu hatoi zaka na sadaka kwa kufuata Torati
 
Back
Top Bottom