Israel wanapiga hadi Marekani wameanza kuwaomba waache sasa

Kama uislamu ulikuwepo tangu kale kwanini majority ya dini pale Spain ni wakristo?

Na katika takwimu zinazotaja idadi ya waislamu kwanini zinasema ni kutokana na migrants?
 
Kama uislamu ulikuwepo tangu kale kwanini majority ya dini pale Spain ni wakristo?

Na katika takwimu zinazotaja idadi ya waislamu kwanini zinasema ni kutokana na migrants?View attachment 2899455
Hata wakati Ussr inatawala sehemu kubwa ya dunia ilikua inafata system ama mfumo wao wa kiutawala kwasasa ubepari unatawala ndio sehemu kubwa inafata mfumo wao (nimekupa mfano huu rahisi nadhani utaelewa kama hutaelewa nipo tayari kukuelewesha)

Wanaosema kama uislamu unakua kwa sababu eti ya uhamiaji hawana hoja yamsingi
Wanasema uislamu ndio dini itakayokua na wafuasi wengi mpaka kufikia 2050
Sasa jiulize hao wanao shift kutoka sehemu moja kwenda nyengine kama ndio wangekua sababu ya kua wengi je kule wanapotoka napo uislamu si ungekua unapungua sababu ya wao kuhama
Yaani mfano moroko kuna waislam milioni moja wakahama laki tano ikija kupigwa sensa si inatakiwa wapatikane laki tano wengine wamehamia spain laki tano
Ila ukija Spain pamoja na wale laki tano walo hamia na mwanzo walikua laki tano unakuta kuna waislam milioni tatu hawa million mbili waloongezeka wametoka wapi
Ulaya na America waislamu wanaongezeka kwa kuslimu wala sio kwa kuhamia
 
Kwanza hujajibu swali langu.

Kwanini Spain ambayo umedai kuwa ilitawaliwa na dola ya kiislamu iwe na idadi ndogo ya waisilamu kuliko wakristo?

Na kwanini katika hiyo idadi ndogo ya waisilamu wawe ni waisilamu kutoka mataifa mengine waliokuja kama wahamiaji??

Na kwanini katika maeneo yenye waisilamu wengi yawe ni maeneo yaliyopo karibu na mipaka ya Morroco ambayo ni taifa la kiisilamu??

Huko kwenye uislamu kuwa ni dini inayokuwa tutakuja kujadili baadaye ila kwa sasa nipe majibu hayo
 

Wamarekani wamebuni nchi yao juzi tu miaka 200 iliyopita, Wayahudi wamepambana na maadaui wa kila aina hata kabla huyo muarabu wenu hajabuni hiyo dini, na mpaka leo hawajawai kushindwa.
 
Kama umejinibu basi jibu lako ndio limueleweshe Malaria 2 kuwa Manabii kabal ya Muhammad hawakuwa waislamu kwa sababu hawakuwa wanamfuata Muhammed kwani hakuwepo.

Umejibu sahihi
Uislam siyo kumfuata Muhammad,acha ujinga na kujifanya kujua, uislam ni kujisalimisha/nyenyekeza kwa Mungu/Allah,kila nabii alijinyenyekeza kwa Mungu na Quran inasema manabii wote wametumwa na Mungu/Allah,Sasa wanakuwaje siyo waislam!?
 
Nilikupa jibu la ussr kwa kudhani labda utajiongeza ila umeshindwa kujiongeza
Nikwamba baada ya kuanguka kwa iliokoa khalifa ya waislam pale cordoba (uhispania yasasa) utawala ulokuja ulitumia nguvu sana kupambana na waislamu ikiwemo kuwaua nakupoteza ama kuharibu utambuzi wao (hata wewe sita shangaa kua toka uumbwe ndio kwanza leo kupitia mie umejua kua uhispania kuna wakati ilikua sehemu ya khalifa ya uislamu sababu haya mambi shuleni hamfundishwi yaani)

Idadi ndogo kua ni waislam sababu uislamu unapigwa vita uhispania tokea baada ya kuanguka khalifa ya uislamu pale uhispania inaongoza pakubwa kwa Islamophobia yaani hata wakitaka kujenga misikiti kwao kikwazo kikubwa shule kikwazo madrasa nk nk

Valencia katalunya Madrid na Andalusia katika hii mji upi upo karibu na moroko maana hio ndio miji inayo host waislam wengi kwa pale uhispania nyie vijana mna shida gani aseee?

Nadhani hapa ntakua nimejibu maswali yako kama ulivyo uliza
 
Ibrahim hakuwa muisrael Wala myahudi,yesu hakuwa muisrael kwa kuwa hakuwa na baba wa kibinaadam Wala mama yake si muisrael,maana waisrael ni uzao wa yakobo na Maryam Hana ukoo nao,Adam hakuwa muisrael
Unasema hawakuwahi kufungwa Wala kufika Makkah,rejea ikiwa nini!?
 
Sawa Sheikh ila naomba uniambie kwanini sehemu yenye population ya waislamu wengi nchini Spain ni maeneo ya boarders kati ya Morroco na Spain?
Usichotaka ni nini!?.. waislam/waarabu walitawala Spain kwa zaidi ya Karne mbili ikiwemo Madrid,walipoanza kupigana wenyewe kwa wenyewe ulimwengu wa kiislam ndipo mzururaji mmoja wa kizungu akafikisha habari Hispania kwamba msiwaogope,kwao wanapigana na wamegawanyika,ndipo wahispania wakaanzisha maasi dhidi ya waislam,wakachukua hatamu za nchi na wakapiga marufuku Imani ya kiislam,ndiyo uislyulivyopotea Hispania,hapo Kuna jamii Hadi Leo Hispania hawali nguruwe,ni vitu vya kugugo na kusoma,we unavyomuona guardiola,xavi,fabregas na kocho wa PSG na David villa ..ni wazungu wale!?
 
Muislam akifa au akimua mkiristo au yahudi wakati anapigania ardhi au Mali yake huyo mtu wa peponi tena ktk pepo ya juu kabisa. Lkn mkiristo akifa na ukiristo wake huyo motoni kabisa
Umepandwa na maruhani pepo tokaaaaaaaaaaaa
 
Mbona unajichanganya,Mara waisrael hapo kwao kitambo,Mara waisrael na waarabu wote siyo kwao walitoka Iraq!?..we unavyomuona netanyahu ni msemitiki au mzungu wa Poland!?..ana tofauti gani na lewandoski!?..siyo kila muislam kwao Saudi Arabia,uyahudi Kama Imani,siyo kila myahudi kwao Israel/Judea,hao akina netanyahu ni waturuki na wazungu wa ulaya mashariki waliofuata Imani ya kiyahudi,wenye nchi ni wa kanaani, wapalestine by DNA test ni wakanaan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…