Israel wanapiga hadi Marekani wameanza kuwaomba waache sasa

Israel wanapiga hadi Marekani wameanza kuwaomba waache sasa

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Kwa kweli kiaina hata mimi nimeanza kupata kaukakasi fulani, jameni mpaka sasa sidhani kama kuna yeyote hajapata adabu yake pale Gaza, hata hao HAMAS kama kuna siku nyingine wataichokoza Israel nitawakubali kweli ni ving'ang'anizi.

Watu wa Gaza wameteseka vya kutosha, wamepigika na kubamizwa mpaka basi tu. Itoshe sasa, Israel wakubali kuingia kwenye mazungumzo.

============

Israel’s military response in the Gaza Strip to the shock October 7 attack by Hamas has been “over the top,” US President Joe Biden says.

“I’m of the view, as you know, that the conduct of the response in Gaza, in the Gaza Strip, has been over the top,” he tells reporters at the White House during an evening address that was announced only about two hours earlier.

The president adds that he’s “pushing very hard now” to get a sustained pause in fighting that could also free the remaining hostages in Gaza abducted from Israel on October 7.

Source: Times of Israel
 
Muislam akifa au akimua mkiristo au yahudi wakati anapigania ardhi au Mali yake huyo mtu wa peponi tena ktk pepo ya juu kabisa. Lkn mkiristo akifa na ukiristo wake huyo motoni kabisa

Hehehe jamaa huwa unachekesha sana, yaani muarabu angejua namna huwa unang'ang'ania hiyo dini yake, angekupa tuzo, sema waarabu huwaona kama mbwa yeyote asiye muarabu kwenye hiyo dini....

screenshot_20220521-114037_gallery-jpg.2240761
 
Kwa kua hiyo Pepo umeijenge wewe... Hovyo kabisa.
Historia ya Uislamu haikuanza na Mtume Muhammad kama wanavyofikiria watu wengi bali imeanza tangu alipoletwa nabii wa kwanza ulimwenguni, ambaye kwa mujibu wa Waislamu ni Nabii Adamu alipoteremshwa ulimwenguni na kupewa mwongozo na Mwenyezi Mungu wa namna gani kuishi hapa duniani kwa njia nzuri ya wema na hisani kwa kushikamana na mafunzo yake Mwenyezi Mungu na kujiepusha na makatazo yake
 
Umeanza uongo wako mkuu?
Historia ya Uislamu kadiri ya wafuasi wa dini hiyo haikuanza na Mtume Muhammad kama wanavyofikiria watu wengi bali imeanza tangu alipoletwa nabii wa kwanza ulimwenguni, ambaye kwa mujibu wa Waislamu ni Nabii Adamu alipoteremshwa ulimwenguni na kupewa mwongozo na Mwenyezi Mungu wa namna gani kuishi hapa duniani kwa njia nzuri ya wema na hisani kwa kushikamana na mafunzo yake Mwenyezi Mungu na kujiepusha na makatazo yake
 
Kwa hiyo kilikuwepo ambacho hakikuwepo?Utata.
 
Back
Top Bottom