Hujafahamu unajifanya chizi? Muislam akifa au akiua kwa ajili ya dini yake au haki yake huyo atakuwa amepigana Jihad. Na yeye mtu wa peponi. Ukitaka au usitake hio kazi kwakoHapo ndipo uchizi wenu ulipo yaani amri Usiue wewe unaua alafu uende peponi? Mnatia mashaka Sana na liimani lenu. Kwa haya mnayoandika na Kama kweli yapo kwenye Quran Basi mtume Mohammad atakua yupo jehanam pia.