Waziri wa Ulinzi wa Israel, Israel Katz, ametangaza kwamba moja ya malengo makuu ya kijeshi ya nchi hiyo ni kufikia ukubwa wa kimaandazi katika ulinzi na mashambulizi ya anga za juu, ikiwa ni pamoja na uwezo wa baadaye wa kurusha mashambulizi dhidi ya maadui zake kutokea kwenye mzunguko wa dunia (orbit).
Kwa mujibu wa waziri huyo, Israel inawekeza kiasi kikubwa cha fedha katika teknolojia za kisasa na kuajiri wanasayansi mashuhuri ili kuendeleza uwezo wa kuanzisha mifumo ya anga za juu, ikiwemo ile iliyoundwa kuvuruga satelaiti za maadui na, hapo baadaye, kufanya mashambulizi ya makombora au silaha nzito kutokea huko juu.
---------
My take
Sasa hapa Maarabu yatakuwa na hali ngumu. Israel wanataka sasa wawe wanashusha moto from the space. Yaani wanashusha kipondo toka space.
Mmekaa zenu za makusanyiko yanashushwa makombolelo toka space. Hawapoi hawaboi.
===========
Defense Minister Israel Katz on Thursday committed Israel to becoming the leading global player in space-attack capabilities.
“One of the central goals which the prime minister [Benjamin Netanyahu] and I set is that we are recruiting the best minds,” since “as of today, no country has the ability to mount attacks in space. We must be the leading country in the world with this capability,” said Katz.
The defense minister continued, “If we achieve this, it will ensure the advantage of deterrence, of the ability to attack, destroy, and all of the other matters versus our enemies with large resources.”
Overall, it seemed clear that Katz was referring to Iran.
This is especially true since, during the 2026 war with Iran, Israel struck multiple Iranian spacewar-related facilities, including those working on developing capabilities to attack satellites in space.
It was unclear if he indirectly also wanted to deter Russia and China from assisting Iran in developing these capabilities and in other spheres.
However, Katz’s statement was not entirely accurate. Both Russia and China have performed test attacks on their own satellites in prior years and managed to destroy their test targets.
Source: The Jerusalem Post & Middleast 24