Israel wanazidi kutuchanganya, sasa wanajipanga kujiimarisha kwa Mashambulizi ya anga za juu

Aisee?
Kumbe Israel kashinda hio vita dhidi ya Iran..

Mbona wanalia kuhusu nuclear, regime change na uwezo wa missiles wa Iran.. ?

Trump anasema Netanyahu ni tapeli, Trump anamgombeza Israel asiendelee na vita na kawaambia akiwa na kiherehere akifikiri US itamsaidia basi US itamuacha abondwe na Iran hadi apate adabu...
Kwa kupoteza majemadari wa vita zaidi ya 600 kwa akili yako kiduchu wewe unashabikia Iran kashinda hii vita? Endelea kujifariji kwa ujinga na Upumbavu wako!!!!
 
Attachments

  • IMG_3419.jpeg
    IMG_3419.jpeg
    35.8 KB · Views: 6
  • IMG_3414.jpeg
    IMG_3414.jpeg
    197.7 KB · Views: 10
  • IMG_3405.jpeg
    IMG_3405.jpeg
    65.3 KB · Views: 6
  • IMG_3404.jpeg
    IMG_3404.jpeg
    72.7 KB · Views: 7
  • IMG_3403.jpeg
    IMG_3403.jpeg
    130 KB · Views: 6
  • IMG_3402.jpeg
    IMG_3402.jpeg
    112.9 KB · Views: 5
  • IMG_3401.jpeg
    IMG_3401.jpeg
    59.9 KB · Views: 9
  • IMG_3406.jpeg
    IMG_3406.jpeg
    68.7 KB · Views: 7
Israel anaongoza kwenye teknolojia ipi? Hebu eleza hata kwenye military technology wanaongoza sehemu gani?
Twende kwa facts..
Unataka Fact gani mjinga wewe?
 
Attachments

  • v14044g50000cs4h5dvog65nqdr0h52g.mp4
    10.1 MB
  • telegram_video.mp4
    16.7 MB
  • v10044g50000cmtc4i7og65u7gmujesg.mp4
    12.1 MB
  • v24044gl0000d48429fog65omdsej6eg.mp4
    12 MB
  • export_1782797930228.mov
    5.2 MB
Kwa kupoteza majemadari wa vita zaidi ya 600 kwa akili yako kiduchu wewe unashabikia Iran kashinda hii vita? Endelea kujifariji kwa ujinga na Upumbavu wako!!!!
Kumbe ukiua majemedari 600 wa nchi fulani unashinda vita.. Sikufahamu.
Ok, hivyo Hormuz kumbe ipo chini ya US na Israel..
 
Unataka Fact gani mjinga wewe?
Aisee, kumbe pasipo Israel iPhone na Samsung zisingekuwepo..

Halafu unaweka picha za maghorofa , hivi ukiulizwa katika nchi zimejengeka utaitaja Israel, Asia hapo kuna nchi zipo vizuri hio Israel ni uchafu...

Kwenye hio iPhone Taiwan ndio wanafyatua nanometer semiconductors hata hio chip ya A series, archicture ya ARM kwenye chip ni UK, sensor za camera ni Japan(sony) , Kioo ni South Korea(samsung), Germany na Switzerland wame design motion sensors... n.k

Ukigusa Samsung ndipo utashangaa, hio Israel inaongoza kwenye tech ipi? Jibu swali..
 
Endelea kuteseka sana na Taifa Teule!!!
 
Kumbe ukiua majemedari 600 wa nchi fulani unashinda vita.. Sikufahamu.
Ok, hivyo Hormuz kumbe ipo chini ya US na Israel..
Safari hii unarukaruka Kama Maharage jikoni!!!! Endelea kuteseka sana na Taifa Teule la Israel!!!

Jeshi linalopoteza viongozi waandamizi 600 vitani hilo ni Jeshi lililoshindwa maana huwezi kushinda vita wakati umepoteza viongozi wa Jeshi waandamizi wengi kiasi hicho
 
Ndoto za Mwendawazimu hizo Iran hana ubavu huo labda watumie Albadili
Kwa taarifa yako persian wamebaki na identity yao ya toka enzi,wana akili vibaya mno,jewish waliopo sasa si wale waliongelewa kwenye vitabu vya dini,wamepoteza identity,jewish wengi wa sasa ni toka europe sema wanatembelea upepo wa jewish walioongelewa kwenye vitabu,jewish wa sasa bila msaada wa marekani ni aibu na dunia ishaanza kuwashtukia
 
Waziri wa Ulinzi wa Israel, Israel Katz, ametangaza kwamba moja ya malengo makuu ya kijeshi ya nchi hiyo ni kufikia ukubwa wa kimaandazi katika ulinzi na mashambulizi ya anga za juu, ikiwa ni pamoja na uwezo wa baadaye wa kurusha mashambulizi dhidi ya maadui zake kutokea kwenye mzunguko wa dunia (orbit).

Kwa mujibu wa waziri huyo, Israel inawekeza kiasi kikubwa cha fedha katika teknolojia za kisasa na kuajiri wanasayansi mashuhuri ili kuendeleza uwezo wa kuanzisha mifumo ya anga za juu, ikiwemo ile iliyoundwa kuvuruga satelaiti za maadui na, hapo baadaye, kufanya mashambulizi ya makombora au silaha nzito kutokea huko juu.

---------
My take
Sasa hapa Maarabu yatakuwa na hali ngumu. Israel wanataka sasa wawe wanashusha moto from the space. Yaani wanashusha kipondo toka space.

Mmekaa zenu za makusanyiko yanashushwa makombolelo toka space. Hawapoi hawaboi.

===========
Defense Minister Israel Katz on Thursday committed Israel to becoming the leading global player in space-attack capabilities.

“One of the central goals which the prime minister [Benjamin Netanyahu] and I set is that we are recruiting the best minds,” since “as of today, no country has the ability to mount attacks in space. We must be the leading country in the world with this capability,” said Katz.

The defense minister continued, “If we achieve this, it will ensure the advantage of deterrence, of the ability to attack, destroy, and all of the other matters versus our enemies with large resources.”

Overall, it seemed clear that Katz was referring to Iran.
This is especially true since, during the 2026 war with Iran, Israel struck multiple Iranian spacewar-related facilities, including those working on developing capabilities to attack satellites in space.

It was unclear if he indirectly also wanted to deter Russia and China from assisting Iran in developing these capabilities and in other spheres.

However, Katz’s statement was not entirely accurate. Both Russia and China have performed test attacks on their own satellites in prior years and managed to destroy their test targets.

Source: The Jerusalem Post & Middleast 24
Mayahudi ni mashetani
 
Safari hii unarukaruka Kama Maharage jikoni!!!! Endelea kuteseka sana na Taifa Teule la Israel!!!

Jeshi linalopoteza viongozi waandamizi 600 vitani hilo ni Jeshi lililoshindwa maana huwezi kushinda vita wakati umepoteza viongozi wa Jeshi waandamizi wengi kiasi hicho
Kumbe ndio maana ya kushinda vita... Sikuelewa hii.. Ahsante sana kunijulisha..
 
Kwa taarifa yako persian wamebaki na identity yao ya toka enzi,wana akili vibaya mno,jewish waliopo sasa si wale waliongelewa kwenye vitabu vya dini,wamepoteza identity,jewish wengi wa sasa ni toka europe sema wanatembelea upepo wa jewish walioongelewa kwenye vitabu,jewish wa sasa bila msaada wa marekani ni aibu na dunia ishaanza kuwashtukia
Endelea kuteseka na Chuki zako dhidi ya Wayahudi ambao Utamaduni wao umedumu miaka nenda rudi!!

Watu wajinga Kama wewe hamkosi visingizio na Marekani keshakuwa Mungu wenu kila kitu ni Marekani tu Waarabu-koko sijui tu Nani aliyewaroga!!
 
Waziri wa Ulinzi wa Israel, Israel Katz, ametangaza kwamba moja ya malengo makuu ya kijeshi ya nchi hiyo ni kufikia ukubwa wa kimaandazi katika ulinzi na mashambulizi ya anga za juu, ikiwa ni pamoja na uwezo wa baadaye wa kurusha mashambulizi dhidi ya maadui zake kutokea kwenye mzunguko wa dunia (orbit).

Kwa mujibu wa waziri huyo, Israel inawekeza kiasi kikubwa cha fedha katika teknolojia za kisasa na kuajiri wanasayansi mashuhuri ili kuendeleza uwezo wa kuanzisha mifumo ya anga za juu, ikiwemo ile iliyoundwa kuvuruga satelaiti za maadui na, hapo baadaye, kufanya mashambulizi ya makombora au silaha nzito kutokea huko juu.

---------
My take
Sasa hapa Maarabu yatakuwa na hali ngumu. Israel wanataka sasa wawe wanashusha moto from the space. Yaani wanashusha kipondo toka space.

Mmekaa zenu za makusanyiko yanashushwa makombolelo toka space. Hawapoi hawaboi.

===========
Defense Minister Israel Katz on Thursday committed Israel to becoming the leading global player in space-attack capabilities.

“One of the central goals which the prime minister [Benjamin Netanyahu] and I set is that we are recruiting the best minds,” since “as of today, no country has the ability to mount attacks in space. We must be the leading country in the world with this capability,” said Katz.

The defense minister continued, “If we achieve this, it will ensure the advantage of deterrence, of the ability to attack, destroy, and all of the other matters versus our enemies with large resources.”

Overall, it seemed clear that Katz was referring to Iran.
This is especially true since, during the 2026 war with Iran, Israel struck multiple Iranian spacewar-related facilities, including those working on developing capabilities to attack satellites in space.

It was unclear if he indirectly also wanted to deter Russia and China from assisting Iran in developing these capabilities and in other spheres.

However, Katz’s statement was not entirely accurate. Both Russia and China have performed test attacks on their own satellites in prior years and managed to destroy their test targets.

Source: The Jerusalem Post & Middleast 24
Akishaasema hivyo basi unadhania imehaatokea tiari tech sio rahis hivyo
 
Jibu swali tofauti ni ipi? Unachohitaji ni satellite za kuelekeza kombora na ICBM zote hutoka kwenye atmosphere na kurudi duniani so anayetuma bomu kutokea nje ya atmospehere na kombora ambalo linatoka ardhini na kwenda nje ya atmosphere na kurudi lina tofauti gani?

Eleza hapa tofauti za accuracy, precision, interception maneuver, stealth n.k sio blah blah wakati ndio umeleta mada kwa kitu ambacho tayri kipo.

Ukiendelea kutumia makebo, ashki na mihemko huwezi ukaelewa. Tuachie sisi wanaume.
 
Tuzo ni za taasisi ambayo ni pro-israel sasa ulifikiri watampa nani hizo tuzo? Ni sawa na tuzo za TBC alafu ushangae kwanini wanapewa CCM pekee.

Back
Top Bottom