Israel wanazidi kutuchanganya, sasa wanajipanga kujiimarisha kwa Mashambulizi ya anga za juu

Israel wanazidi kutuchanganya, sasa wanajipanga kujiimarisha kwa Mashambulizi ya anga za juu

Tafuta sheikh ambaye ameenda shule akusomee akuelezee. Kwa kutumia makebo huwezi elewa hata kidogo. Mpaka sheikh Matopetope au Sheikh Kitinku akuelezee maana hapo unatumia makebo dogo. Mkiambia mwende shule mnajikita kwenye uchawi na uchawa.
Jibu swali tofauti ni ipi? Unachohitaji ni satellite za kuelekeza kombora na ICBM zote hutoka kwenye atmosphere na kurudi duniani so anayetuma bomu kutokea nje ya atmospehere na kombora ambalo linatoka ardhini na kwenda nje ya atmosphere na kurudi lina tofauti gani?

Eleza hapa tofauti za accuracy, precision, interception maneuver, stealth n.k sio blah blah wakati ndio umeleta mada kwa kitu ambacho tayri kipo.
 
Hawa jamaa watakutesa sana. Chuki humuumiza na kumtesa mjinga. Kiwango chao cha akili huwezi linganisha na kobaz sisi hata kidogo. Weee endelea kutumia makebo yako....
Chuki gani? Hizo akili zilikua wapi kipindi wayahudi million 6 wanateketezwa ujerumani? Na hapa tunaongelea utaifa sio dini, kama issue ni dini unajua kwa sasa 30% ya waisrael ni waislam? Maana yake mtu 1 kati ya 3 Israel ni muislam na wapo jeshini, serikalini na viwandani.

Usiingize dini kwenye Geopolitics
 
Jibu swali tofauti ni ipi? Unachohitaji ni satellite za kuelekeza kombora na ICBM zote hutoka kwenye atmosphere na kurudi duniani so anayetuma bomu kutokea nje ya atmospehere na kombora ambalo linatoka ardhini na kwenda nje ya atmosphere na kurudi lina tofauti gani?

Eleza hapa tofauti za accuracy, precision, interception maneuver, stealth n.k sio blah blah wakati ndio umeleta mada kwa kitu ambacho tayri kipo.
Je una habari Gaid Ayatollah Ali Khamenei Ana zikiwa wiki hii baada ya kuachiwa mzoga wake kutaka wa uzikwe tu hata Kama aliuliwa na Marubani wa kike wa Israel?
 
Attachments

  • IMG_2417.jpeg
    IMG_2417.jpeg
    173.8 KB · Views: 13
  • IMG_2452.jpeg
    IMG_2452.jpeg
    167.2 KB · Views: 7
  • 5641305789223674874.mp4
    749.3 KB
Hakuna kitu Kama hicho Iran Hana lolote kazi yake kubwa ni kubwabwaja tu na kuwapa kazi nyie Waarabu-Koko kubwabwaja kwa niaba yake!!
Hakuna nini? Inter-Continental Ballistic Missiles (ICBM) zote zinaenda nje ya atmosphere na kufanya re entry. Sasa unachobisha ni nini? Huwa unakera sana yaani elimu huna alafu libishi kwani hata youtube umeshindwa angalia video?
88804741-3c4f-4de6-bd22-3f7499e36149_992x639.jpg
 
Hakuna nini? Inter-Continental Ballistic Missiles (ICBM) zote zinaenda nje ya atmosphere na kufanya re entry. Sasa unachobisha ni nini? Huwa unakera sana yaani elimu huna alafu libishi kwani hata youtube umeshindwa angalia video?
View attachment 3618509
Acha kupotosha mada mjinga wewe!! Angalia picha hapo chini uelewa Bumunda wewe!!! Israel itakuwa Ina wapiga hao Pimbi toka anga za juu!!!
 
Attachments

  • IMG_5547.jpeg
    IMG_5547.jpeg
    197.1 KB · Views: 10
Dogo Zipporah Kabwela hujui kitu ngoja tukuambie sasa sisi wakali wa hizi kazi. Tunafahamu mengi si mpaka kuambiwa

Wayahudi wamekuwa wakiishi katika nchi nyingi duniani kwa zaidi ya miaka 2,000, hivyo michango yao imeenea katika nyanja nyingi.

Uvumbuzi mwingi ni wa timu za watafiti kutoka asili tofauti, si mtu mmoja.
Hata hivyo, hapa kuna baadhi ya michango mikubwa inayotambuliwa kimataifa:

Sayansi na Fizikia
Albert Einstein – Nadharia ya relativity.

Richard Feynman – Quantum electrodynamics.

Lise Meitner – Mchango muhimu katika kuelezea nuclear fission.

Robert Oppenheimer – Uongozi wa maendeleo ya bomu la kwanza la atomiki.

Hisabati na Kompyuta
John von Neumann – Muundo wa kompyuta za kisasa (von Neumann architecture).

Andrew Viterbi – Viterbi algorithm.
Sergey Brin – Mwanzilishi mwenza wa Google

Tiba
Jonas Salk – Chanjo ya polio.

Paul Ehrlich – Chemotherapy ya kisasa.

Selman Waksman – Ugunduzi wa streptomycin (antibiotic ya kifua kikuu).

Teknolojia
Israel imechangia sana katika:

Teknolojia ya umwagiliaji wa matone (drip irrigation).

Cybersecurity.

Teknolojia za matibabu.

Chip design na semiconductor.

Programu za urambazaji kama Waze
Uchumi

Milton Friedman – Nadharia za uchumi wa soko.

Daniel Kahneman – Behavioral economics.

Saikolojia
Sigmund Freud – Psychoanalysis.

Burudani na Mawasiliano
Mark Zuckerberg – Mwanzilishi wa Meta(Facebook).

Steven Spielberg – Mchango mkubwa katika tasnia ya filamu.

Tuzo za Nobel
Wayahudi ni chini ya 0.3% ya idadi ya watu duniani, lakini wamepata takribani 20% au zaidi ya tuzo za Nobel Prize katika historia, hasa katika fizikia, kemia, tiba na uchumi.
Unazungumzia uyahudi dini ama asili ya hao watu(ethnicity)...?

Israel si lolote si chochote, imeikuta US ni nchi yenye nguvu kijeshi, kiuchumi na kiushawishi, US anapambana WW2, Israel haikuwepo.

Ukizungumzia uyahudi kama dini basi wakristo, waislamu, wa budha na wasio na dini wana mchango mkubwa sana kuliko hao wayahudi kwenye suala zima la kiteknolojia na sayansi hapa duniani.

Ukizungumzia uyahudi kama ethnicity basi wazungu, watu wenye asili ya Afria, waarabu, wahindi, Wachina n.k wana mchango mkubwa kuliko hao wayahudi..

Israel ni overrated hata kwene list ya nchi yenye watu wenye IQ kubwa kwenye 10 bora hawapo, utawakuta Chinese, Japanese, Singapore n.k ndio wanashikilia hzo nafasi..
Ujinga tu..
 
Je una habari Gaid Ayatollah Ali Khamenei Ana zikiwa wiki hii baada ya kuachiwa mzoga wake kutaka wa uzikwe tu hata Kama aliuliwa na Marubani wa kike wa Israel?
Kwani nani ataishi milele? Mtu ana miaka 80 huko kwani si angekufa tu hata kwa ugonjwa.

Aliuwawa na ndege za USA, hao Israel hawana uwezo huo sijui nani kawadanganya.
 
Acha kupotosha mada mjinga wewe!! Angalia picha hapo chini uelewa Bumunda wewe!!! Israel itakuwa Ina wapiga hao Pimbi toka anga za juu!!!
Baada ya kushindwa vita sasa wanaleta story za kwenye ghahawa, by the way huyo Katz anazungumza baada ya kufeli kwenye hii vita na Iran, ni maneno ya kujipa moyo..

Halafu anaongea hayo who cares? ili dunia ifanye nini iwaogope, hio ni kauli ya kujipa u superior baada ya kufeli...

Watengeneze kwanza B2 zao binafsi wasiwe anategemea za US...

Walikuwa wanajitia wajuaji kweli na kuanza kujitangaza na laser air defense wakaiita iron beam, imewasaidia kipi kwenye hii vita? maana makombora yalikuwa yanatua kama kawaida matokeo yake wakazima hilo skrepa lao baada ya kugundua hakuna namna linasaidia..

sasa hata iron beam hawajakamilisha wanarukia tena kwenye mashambulizi ya anga... muambie Katz aamke kutoka usingizini atajikojolea...

Israel iwekeze kwanza kwenye technology ya kijeshi wapo nyuma kivitendo ila mdomoni wanaongoza duniani.. bomber ya maana yenyewe hawana mpaka wakaazime US... ujinga tu
 
Kwani nani ataishi milele? Mtu ana miaka 80 huko kwani si angekufa tu hata kwa ugonjwa.

Aliuwawa na ndege za USA, hao Israel hawana uwezo huo sijui nani kawadanganya.
Hata kama zilikuwa ni ndege za Burundi, Ayatollah alijitolea afe, wala halikuwa jambo la kushangaza, Ayatollah angetaka kujificha Iran, jinsi Iran ilivyo kubwa hata ingekwenda dunia nima kumtafuta wasingempata...

Pale Gaza Hamas waificha mateka, Israel kawatafuta karibu miaka miwili na hawajapata chochote, kaeneo ukubwa wa wilaya, hao mateka walikuwa wanakula, wanaoga , wanalala...

Sasa kwa nchi kubwa kama Iran nani angempata Ayatollah, Hamas hawafikii hata robo ya uwezo wa kiintelejensia walionao IRGC..

Kingine, Iran inaficha makombora maeneo ya siri, na Israel na US wameshindwa kuangamiza hayo makombora, je kama wameweza kuyaficha makombora wangeshindwa kumficha Ayatollah?

Mwisho, Iran ameficha urani yake zaidi ya kilo 400, haijulikani ilipo hata licha ya US kushambulia maeneo walipo hisi ipo, waliikosa, je ? kama walifcha urani walishindwa kuwaficha wale viongozi?

Ni ushabiki wa kijinga tu, isitoshe US alikuwa muongo kwa kuwadanganya Iran wap kwenye hatua za kufanya mazungumo, then wakawashambulia ghafla.. ndio maana hivi sasa Mojtaba kajificha na hawajui alipo na Iran hawaiamni US, ndio maana US akizingua tu Iran inapeleka moto, jamaa wamekuwa mbogo... hawataki michezo ya upuuzi tena.
 
Tuzo za Nobel
Wayahudi ni chini ya 0.3% ya idadi ya watu duniani, lakini wamepata takribani 20% au zaidi ya tuzo za Nobel Prize katika historia, hasa katika fizikia, kemia, tiba na uchumi
Tuzo ni za taasisi ambayo ni pro-israel sasa ulifikiri watampa nani hizo tuzo? Ni sawa na tuzo za TBC alafu ushangae kwanini wanapewa CCM pekee.
 
Wayahudi wamekuwa wakiishi katika nchi nyingi duniani kwa zaidi ya miaka 2,000, hivyo michango yao imeenea katika nyanja nyingi.
Nchi nyingi zipi? Unajua persian/Aechemenid empire imewahi tawala dunia? Israel imewahi tawala hata bara moja tu? Same can be said kwa ugiriki, uingereza, Mongolia, waitalia, waarabu, ottoman, wareno etc kwahiyo wana michango mikubwa kuliko hao wayahudi.
 
Uvumbuzi mwingi ni wa timu za watafiti kutoka asili tofauti, si mtu mmoja.
Hata hivyo, hapa kuna baadhi ya michango mikubwa inayotambuliwa kimataifa:
We hujitambui, umeniwekea wanasayansi wa karne ya 20 ilihali hao wairan walishavumbua Algebra na algorithm miaka zaidi ya 400 Kabla ya Yesu. Hata wagiriki, misri n.k walishavumbua mahesabu, madawa, teknolojia, kibao kabla hata ya Israel kuwepo. So msikuze sana influence ya Israel

Hao hawajavumbua kitu wameendeleza theory ambazo tayari zilikuwepo.
 
Robert Oppenheimer – Uongozi wa maendeleo ya bomu la kwanza la atomiki
Dogo kweli hujui kitu, bomu lilishaanza andaliwa na wajerumani chini ya Werner Heisenberg, in fact formula zao nyingi ndio zilitumika kwenye manhattan project.

Na ndio maana baada ya world war II wanasayansi zaidi ya 1500 wengi wakitokea utawala wa Hitler walichukuliwa na USA kudevelop rockets za kwenda mwezini na kupelekea kuanzishwa NASA chini ya usimamizi wa Wernher von Braun.

Sasa hao wayahudi kiliwashinda nini hadi kusubiri wajerumani?
 
Acha kupotosha mada mjinga wewe!! Angalia picha hapo chini uelewa Bumunda wewe!!! Israel itakuwa Ina wapiga hao Pimbi toka anga za juu!!!
Sasa tofauti ni ipi kulaunch bomu kutokea atmosphere na kutoa bomu ndani ya dunia kwenda atmosphere na kurudi duniani? Jibu hilo swali.

Maana tayari mabomu ya ICBM yanafika umbali huo wa satellite na kuacha lile propeller inabakia warhead inayofanya re entry sasa si yale yale.

Mbaya zaidi wewe unaleta picha wakati wairan na mataifa mengine kibao tu tayari wanatumia ICBM.

Elimu ni changamoto sana
 
Unazungumzia uyahudi dini ama asili ya hao watu(ethnicity)...?

Israel si lolote si chochote, imeikuta US ni nchi yenye nguvu kijeshi, kiuchumi na kiushawishi, US anapambana WW2, Israel haikuwepo.

Ukizungumzia uyahudi kama dini basi wakristo, waislamu, wa budha na wasio na dini wana mchango mkubwa sana kuliko hao wayahudi kwenye suala zima la kiteknolojia na sayansi hapa duniani.

Ukizungumzia uyahudi kama ethnicity basi wazungu, watu wenye asili ya Afria, waarabu, wahindi, Wachina n.k wana mchango mkubwa kuliko hao wayahudi..

Israel ni overrated hata kwene list ya nchi yenye watu wenye IQ kubwa kwenye 10 bora hawapo, utawakuta Chinese, Japanese, Singapore n.k ndio wanashikilia hzo nafasi..
Ujinga tu..
Chuki zako dhidi ya Wayahudi zitakutoa roho tu na wala hutaweza kubadiri chochote Israel itaendelea kuwa Mbabe Mashariki ya kati mpaka Uajemi.

Na israel ataendelea kuwa Gwiji wa teknolojia ulimwenguni kwa kelele zako haziwazuii wana wa Israel kuwa Magwiji wa teknolojia mbalimbali duniani!! Na wewe Mwarabu-koko unajisumbua na kuhangaika bure tu ujinga wako tu ndiyo unakusumbua!!!
 
Israel anaongoza kwenye teknolojia ipi? Hebu eleza hata kwenye military technology wanaongoza sehemu gani?
Twende kwa facts..
 
Kwani nani ataishi milele? Mtu ana miaka 80 huko kwani si angekufa tu hata kwa ugonjwa.
Hata kama siishi milele lakini kuangamizwa kwa Gaidi Ayatollah Ali Khamenei ni Jambo la kutukuka sana.

Miaka 80 si certificate ya kuwa Gaidi na kufadhili vikundi vya kigaidi bora kauliwa Mbwa huyo!!
Aliuwawa na ndege za USA, hao Israel hawana uwezo huo sijui nani kawadanganya.
Mtajitahidi sana kuficha ukweli lakini hili liko wazi Gaidi Ayatollah Ali Khamenei aliuwawa na marubani wa kike wa Israel na ndiyo maana hata mazishi yake yanahitaji dua maalumu!!
 
Baada ya kushindwa vita sasa wanaleta story za kwenye ghahawa, by the way huyo Katz anazungumza baada ya kufeli kwenye hii vita na Iran, ni maneno ya kujipa moyo..

Halafu anaongea hayo who cares? ili dunia ifanye nini iwaogope, hio ni kauli ya kujipa u superior baada ya kufeli...

Watengeneze kwanza B2 zao binafsi wasiwe anategemea za US...

Walikuwa wanajitia wajuaji kweli na kuanza kujitangaza na laser air defense wakaiita iron beam, imewasaidia kipi kwenye hii vita? maana makombora yalikuwa yanatua kama kawaida matokeo yake wakazima hilo skrepa lao baada ya kugundua hakuna namna linasaidia..

sasa hata iron beam hawajakamilisha wanarukia tena kwenye mashambulizi ya anga... muambie Katz aamke kutoka usingizini atajikojolea...

Israel iwekeze kwanza kwenye technology ya kijeshi wapo nyuma kivitendo ila mdomoni wanaongoza duniani.. bomber ya maana yenyewe hawana mpaka wakaazime US... ujinga tu
Baada ya Israel kuwaua viongozi karibu wote wa Iran wewe Bumunda unadai Iran kashinda labda kashinda njaa tu.

Hizo chuki zenu kwa Wayahudi hazitawasaidia chochote kile Israel itaendelea kuwa Mwamba huko Mashariki ya kati mpaka huko kwa waajemi utake usitake mtanyoika tu!!
 
Aisee?
Kumbe Israel kashinda hio vita dhidi ya Iran..

Mbona wanalia kuhusu nuclear, regime change na uwezo wa missiles wa Iran.. ?

Trump anasema Netanyahu ni tapeli, Trump anamgombeza Israel asiendelee na vita na kawaambia akiwa na kiherehere akifikiri US itamsaidia basi US itamuacha abondwe na Iran hadi apate adabu...
 
Hata kama zilikuwa ni ndege za Burundi, Ayatollah alijitolea afe, wala halikuwa jambo la kushangaza
Naona umekula Maharage ya Jana!!! Elewa Israel ina mikono mirefu Ayatollah ilibidi tu aangukie pua hakuna cha kujitolea hapo!! Mambo ya kujitolea kawaambie huko misikitini labda watakuelewa ujinga huu!!
 
Back
Top Bottom