PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 14,521
- 46,663
Hii technology inafanyaje kazi ?
Nimeona Huko duniani wameanza kuipa promo kubwa Sana endapo itafanikiwa
Nimeona Huko duniani wameanza kuipa promo kubwa Sana endapo itafanikiwa
Unaweza kudhibitisha uongo wako huo?
Ni kama missiles zinakuwa kwenye satellite, muda wowote zinaweza kushuka na kupiga target, Israel wamewaza hivyo baada ya early warning radar za kwao zote kupigwa na Iran hapo middle East ....Hii technology inafanyaje kazi ?
Nimeona Huko duniani wameanza kuipa promo kubwa Sana endapo itafanikiwa
Shukran Sana mkuu Kwa elimu hii.Ni kama missiles zinakuwa kwenye satellite, muda wowote zinaweza kushuka na kupiga target, Israel wamewaza hivyo baada ya early warning radar za kwao zote kupigwa na Iran hapo middle East ....
Hivyo Iran inarusha missiles zinapiga Israel muda wowote mahala popote pasipo kizuizi ama kabla Israel kujiandaa...
Israel kujibu inabidi wasogeze ndege vita kama F35s, F15s n.k ambapo hizo ndege hazijaonyesha maajabu yeyote sansana zimepigwa , ndege za US, pasipo ceasefire tungezungumza mengine...
Baada ya US kufahamu hilo, wakaomba ceasefire... Kuomba ceasefire ni kukubali kuingia kwenye matakwa ya Iran, simple definition...
Ndio maana Israel anatishia kuja na hio tech kwamba itakuwa vizuri kuliko ya US... Ni kama Israel wanafanya kejeli kwa US... Maana wana bifu sasa... Iran sio mchezo..
Hii inatosha kudhibitisha kuwa habari hii ni ya MICHONGO Eti HawahesabikiHao wanaofanya covert ops wamekamatwa na kunyongwa hawahesabiki,
Habari za kuokoteza hazina kichwa wala miguu ni habari za kujifariji tu kuficha kipigo wanachopata Iran kutoka kwa Taifa Teule la Israel!!!!!Kufanya covert operation ukikamatwa ni juu yako..ni kama Eli Cohen alivyonyongwa pale Syria, Israel hawakwenda kumuokoa....
Kipindi unasema viongozi wa Iran wameuawa ujue pia Mossad wengi wamekamatwa na kunyongwa....
Iranians tu waliotumika na Mossad wameuawa zaidi ya 700 na hao walikuwa ndani ya mfumo...
Usiichukulie poa Iran wangekuwa wazembe mafuta yasingepanda hadi huko uliko...
Waliolengwa ndani ya Israel ndipo usiseme kabisa... Ni kilio...