Israel wanazidi kutuchanganya, sasa wanajipanga kujiimarisha kwa Mashambulizi ya anga za juu

Safari hii Kobaz mmeshikwa pabaya mtasoma mpaka Albadri Israel haipoi wala haiboi anyway endeleeni kuilalamikia Marekani lakini Israel iko palepale!!
 
Hiyo ni lesson learnt katika vita vyao na Iran. Bado wanamvizia tu ili siku moja wamtandike kama Lebanon
 
Kwaninj wewe hutakufa?
Bora sana kwa Gaidi Ayatollah Ali Khamenei kufa maana alikuwa Janga la dunia!!!

Sidhani hata hao Mabikira 72 mnaodanganywa atawapata maana hata mwanae Majitaka Khamenei ni Shoga!!!!
 
Bora sana kwa Gaidi Ayatollah Ali Khamenei kufa maana alikuwa Janga la dunia!!!

Sidhani hata hao Mabikira 72 mnaodanganywa atawapata maana hata mwanae Majitaka Khamenei ni Shoga!!!!
Shoga baba yako Alinacha yule na ndoto zake za mchana mpaka anakufa hana kitu
 
Israel imewekeza vipaji vya hali ya juu ili kukuza uwezo huu na inakusudia kuwa nchi ya kwanza yenye uwezo wa kuanzisha mashambulizi kutoka angani kwenda kwa adui,
Dah,
Kuna watu watapigwa kama ngoma. Wale wenye ndoto za kufuta wengine juu ya uso wa dunia hakika watafutwa wao
 
We Ni
Mpumbavu tu wewe,Mimi sina Imani ZA mashariki YA Kati huko,Mimi Ni muafrika namuabudu Mungu Waafrika...wewe endelea kuamini uteule wa Israel
 
ikiwa ni pamoja na uwezo wa baadaye wa kurusha mashambulizi dhidi ya maadui zake kutokea kwenye mzunguko wa dunia (orbit).
We kweli mshamba, kwani hizi ICBM za Iran si huwa zinatoka nje ya earth atmosphere na kuacha ile outer shell inabakia warhead pekee ambayo ndio inarudi duniani kwa spidi kuanzia Mach 16 na kupiga target za Israel. Kwani kipi kipya?
 
Hv n Kwann wanadumu na kufanikiwa zaidi kuliko hao wasio na dhambi? 😎
Pesa za mmarekani ukitaka kujua hawana lolote kipindi wanapambana na Hitler mbona walipukutishwa au hizo akili hawakuwa nazo? Cha ajabu baada ya kupata misaada ya US eti ndio wanafanikiwa? Hujiulizi
 
Hayo maarifa mengi wamevumbua mambo gani makubwa duniani?
Iran tokea Persia imevumbua vifuatavyo;
1. Mifumo ya umwagiliaji wa chini ya ardhi ama Qanat
2. Utunzaji baridi (Refrigeration) iliitwa Yakhichal
3. Mifumo ya kutuma mizigo na barua (postal systems)
4. Air conditioners iliitwa Bagdir
5. Kuvuna upepo na kutumia kuvuta maji (wind Mills)
6. Pia hesabu za algebra ilivumbuliwa na mathematician Muhammad ibn Musa al-Khwarizmi ambaye ni muiran. Niambie nani hatumii algebra dunia hii?
7. Walivumbua algorithm ambayo AI, Internet na mifumo yote ya kompyuta inatumia.
8. Pia walivumbua sulfuric acid na ndio hiyo leo Israel inatumia kutengenezea mabomu ya sulfur kuua watu Gaza.
9. Hapo sijaongelea mchango wao kwenye madawa na famasia
 
We kweli mshamba, kwani hizi ICBM za Iran si huwa zinatoka nje ya earth atmosphere na kuacha ile outer shell inabakia warhead pekee ambayo ndio inarudi duniani kwa spidi kuanzia Mach 16 na kupiga target za Israel. Kwani kipi kipya?
Tafuta sheikh ambaye ameenda shule akusomee akuelezee. Kwa kutumia makebo huwezi elewa hata kidogo. Mpaka sheikh Matopetope au Sheikh Kitinku akuelezee maana hapo unatumia makebo dogo. Mkiambia mwende shule mnajikita kwenye uchawi na uchawa.
 
Pesa za mmarekani ukitaka kujua hawana lolote kipindi wanapambana na Hitler mbona walipukutishwa au hizo akili hawakuwa nazo? Cha ajabu baada ya kupata misaada ya US eti ndio wanafanikiwa? Hujiulizi

Hawa jamaa watakutesa sana. Chuki humuumiza na kumtesa mjinga. Kiwango chao cha akili huwezi linganisha na kobaz sisi hata kidogo. Weee endelea kutumia makebo yako....
 


Dogo Zipporah Kabwela hujui kitu ngoja tukuambie sasa sisi wakali wa hizi kazi. Tunafahamu mengi si mpaka kuambiwa


Wayahudi wamekuwa wakiishi katika nchi nyingi duniani kwa zaidi ya miaka 2,000, hivyo michango yao imeenea katika nyanja nyingi.

Uvumbuzi mwingi ni wa timu za watafiti kutoka asili tofauti, si mtu mmoja.
Hata hivyo, hapa kuna baadhi ya michango mikubwa inayotambuliwa kimataifa:

Sayansi na Fizikia
Albert Einstein – Nadharia ya relativity.

Richard Feynman – Quantum electrodynamics.

Lise Meitner – Mchango muhimu katika kuelezea nuclear fission.

Robert Oppenheimer – Uongozi wa maendeleo ya bomu la kwanza la atomiki.

Hisabati na Kompyuta
John von Neumann – Muundo wa kompyuta za kisasa (von Neumann architecture).

Andrew Viterbi – Viterbi algorithm.
Sergey Brin – Mwanzilishi mwenza wa Google

Tiba
Jonas Salk – Chanjo ya polio.

Paul Ehrlich – Chemotherapy ya kisasa.

Selman Waksman – Ugunduzi wa streptomycin (antibiotic ya kifua kikuu).

Teknolojia
Israel imechangia sana katika:

Teknolojia ya umwagiliaji wa matone (drip irrigation).

Cybersecurity.

Teknolojia za matibabu.

Chip design na semiconductor.

Programu za urambazaji kama Waze
Uchumi

Milton Friedman – Nadharia za uchumi wa soko.

Daniel Kahneman – Behavioral economics.

Saikolojia
Sigmund Freud – Psychoanalysis.

Burudani na Mawasiliano
Mark Zuckerberg – Mwanzilishi wa Meta(Facebook).

Steven Spielberg – Mchango mkubwa katika tasnia ya filamu.

Tuzo za Nobel
Wayahudi ni chini ya 0.3% ya idadi ya watu duniani, lakini wamepata takribani 20% au zaidi ya tuzo za Nobel Prize katika historia, hasa katika fizikia, kemia, tiba na uchumi.

 
We kweli mshamba, kwani hizi ICBM za Iran si huwa zinatoka nje ya earth atmosphere na kuacha ile outer shell inabakia warhead pekee ambayo ndio inarudi duniani kwa spidi kuanzia Mach 16 na kupiga target za Israel. Kwani kipi kipya?
Hakuna kitu Kama hicho Iran Hana lolote kazi yake kubwa ni kubwabwaja tu na kuwapa kazi nyie Waarabu-Koko kubwabwaja kwa niaba yake!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…