Israel wapo tayari kutatua tatizo la maji Tanzania

ILAN RAMON

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
9,698
Reaction score
4,488
Israel imeonesha nia ya kusaidia Tanzania katika mchakato wa kuondoa chumvi kwenye maji ya Bahari ya Hindi ili kukidhi mahitaji yanayoongezeka ya maji kwa matumizi ya binadamu, majumbani, na viwandani, hasa katika maeneo ya pwani kama Tanga na Dar es Salaam.

Mpango huu unalenga kushughulikia uhaba wa maji wa sasa na wa baadaye ambao nchi inakabiliana nao.

Ujumbe huo ulitolewa na Bwana Michael Lotem, balozi wa Israel nchini Kenya, Uganda, Malawi, na Shelisheli, ambaye pia anashughulikia masuala ya kidiplomasia ya Tanzania.

=====================
Arusha. Israel has expressed its willingness to assist Tanzania in desalinating Indian Ocean waters to meet growing human, domestic, and industrial needs, particularly in coastal areas such as Tanga and Dar es Salaam.

This initiative aims to address both current and future water shortages faced by the country.

The message was delivered by Mr Michael Lotem, Israel's envoy to Kenya, Uganda, Malawi, and Seychelles, who oversees Tanzanian diplomatic matters

Haruhitaji hawa maharamia wabaguzi. Waende wakasaidie ndugu zao Palestina kwanza. Wanatuona mazwazwa. Maji yote kila mito na maziwa bado tunahitaji maji ya bahari kweli!!! Au ni kwa vile tunatawaliwa na chawa na machawa?
 
Tutasaidiwa mpaka lini
Tutakapo acha kuimba...
IMG-20241007-WA0000.jpg

Na tutakapowadhibiti wasifanye hivi
download.jpeg
 
Wakati wenzetu wa Mozambique kwa kupitia Rais wao mtarajiwa Venancio mondlane wakipiga hesabu baada ya miaka 4 uchumi wao kupanda baada ya kuuangusha utawala mbovo wa Frelimo sisi tunafikilia misada
 
Kukosa maji ni ujinga au ulemavu wa fikra. Maji ya asili yapo (mito, maziwa, mvua na hata bahari inaweza ikatumika reverse osmosis plant).
Kushindwa kuweka miundombinu ili yawafikie wananchi ni upuuzi tu, hata jamii za zamani zilizokuwa na fikra nzuri zilitengeneza mifereji ya matumizi ya majumbani na hata umwagiliaji. Siasa, za maji ni changamoto.
 
Yaani tujaribu kuangalia Ramani ya Tanzania ilivyo na mito na maziwa halafu unapanga kutumia maji ya baharini kwakweli CCM must go
 
Israel imeonesha nia ya kusaidia Tanzania katika mchakato wa kuondoa chumvi kwenye maji ya Bahari ya Hindi ili kukidhi mahitaji yanayoongezeka ya maji kwa matumizi ya binadamu, majumbani, na viwandani, hasa katika maeneo ya pwani kama Tanga na Dar es Salaam.

Mpango huu unalenga kushughulikia uhaba wa maji wa sasa na wa baadaye ambao nchi inakabiliana nao.

Ujumbe huo ulitolewa na Bwana Michael Lotem, balozi wa Israel nchini Kenya, Uganda, Malawi, na Shelisheli, ambaye pia anashughulikia masuala ya kidiplomasia ya Tanzania.

=====================
Arusha. Israel has expressed its willingness to assist Tanzania in desalinating Indian Ocean waters to meet growing human, domestic, and industrial needs, particularly in coastal areas such as Tanga and Dar es Salaam.

This initiative aims to address both current and future water shortages faced by the country.

The message was delivered by Mr Michael Lotem, Israel's envoy to Kenya, Uganda, Malawi, and Seychelles, who oversees Tanzanian diplomatic matters

Aiseee mpaka maji , hii nchi bila kuitoa ccm hali itakuwa mbaya sana
 
Yaani tujaribu kuangalia Ramani ya Tanzania ilivyo na mito na maziwa halafu unapanga kutumia maji ya baharini kwakweli CCM must go
Sijapanga kutumia maji ya bahari kwa sababu ni gharama kubwa.
Nimeainisha vyanzo na vyote tunavyo, kilichokosekana ni akili na maarifa ya kutumia hadi tunategemea misaada (ulemavu wa fikra).
 
Israel imeonesha nia ya kusaidia Tanzania katika mchakato wa kuondoa chumvi kwenye maji ya Bahari ya Hindi ili kukidhi mahitaji yanayoongezeka ya maji kwa matumizi ya binadamu, majumbani, na viwandani, hasa katika maeneo ya pwani kama Tanga na Dar es Salaam.

Mpango huu unalenga kushughulikia uhaba wa maji wa sasa na wa baadaye ambao nchi inakabiliana nao.

Ujumbe huo ulitolewa na Bwana Michael Lotem, balozi wa Israel nchini Kenya, Uganda, Malawi, na Shelisheli, ambaye pia anashughulikia masuala ya kidiplomasia ya Tanzania.

=====================
Arusha. Israel has expressed its willingness to assist Tanzania in desalinating Indian Ocean waters to meet growing human, domestic, and industrial needs, particularly in coastal areas such as Tanga and Dar es Salaam.

This initiative aims to address both current and future water shortages faced by the country.

The message was delivered by Mr Michael Lotem, Israel's envoy to Kenya, Uganda, Malawi, and Seychelles, who oversees Tanzanian diplomatic matters

Nafurahi kuona haya yanaanza kutekelezwa. Pia soma: Ujenzi wa Vituo vya Kuvuna Maji ya Bahari ya Hindi na Ziwa Victoria Kama Njia ya Kutatua Tatizo la Maji Tanzania
 
Ila waafrica sijui tuna upumbavu kuasi gani yaani nchi imejaa maziwa,mito,mabwawa kila sehemu ya nchi alafu sasa hivi tunaanza kuwaza mambo ya kipumbavu?
Mm nadhani hapa kinatafutwa kichaka cha upigaji.
Kwanza gharama za kuyachuja maji ya baharini hatuziwezi.
 
Back
Top Bottom