gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 3,915
- 6,272
Kodi yako sh 200 hata kulipa mishahara mwaka mzima haitoshiKodi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kodi yako sh 200 hata kulipa mishahara mwaka mzima haitoshiKodi
Israel imeonesha nia ya kusaidia Tanzania katika mchakato wa kuondoa chumvi kwenye maji ya Bahari ya Hindi ili kukidhi mahitaji yanayoongezeka ya maji kwa matumizi ya binadamu, majumbani, na viwandani, hasa katika maeneo ya pwani kama Tanga na Dar es Salaam.
Mpango huu unalenga kushughulikia uhaba wa maji wa sasa na wa baadaye ambao nchi inakabiliana nao.
Ujumbe huo ulitolewa na Bwana Michael Lotem, balozi wa Israel nchini Kenya, Uganda, Malawi, na Shelisheli, ambaye pia anashughulikia masuala ya kidiplomasia ya Tanzania.
=====================
Arusha. Israel has expressed its willingness to assist Tanzania in desalinating Indian Ocean waters to meet growing human, domestic, and industrial needs, particularly in coastal areas such as Tanga and Dar es Salaam.
This initiative aims to address both current and future water shortages faced by the country.
The message was delivered by Mr Michael Lotem, Israel's envoy to Kenya, Uganda, Malawi, and Seychelles, who oversees Tanzanian diplomatic matters
![]()
Israel offers assistance in desalination efforts to combat water shortages in Tanzania
Israel has expressed its willingness to assist Tanzania in desalinating Indian Ocean waters to meet growing human, domestic, and industrial needswww.thecitizen.co.tz
Hahaha subiri mradi ukianza tu utawasikia CCM watabadilisha watasema SSH katoa PESA. Miradi yote tunaambiwa SSH katoa pesa, Hakuna mradi tunatumia pesa za wafadhili nchi hii.Tutasaidiwa mpaka lini
Mkuu 'Carlos'; hilo la "maziwa matatu" tusiyo juwa jinsi ya kuyatumia ni moja.Nchi yenye vichwa maji .
Una maziwa makuu matatu , hujayatumia bado unawaza kutumia Mabilioni ya Pesa kutumia Maji bahari??.
Wa Israel wanawafuata Wa Iran hapa Tanzania
Jibu chungu sana hili😭Tutakapo acha kuimba...
View attachment 3152523
Na tutawadhibiti wasifanye hiviView attachment 3152524
Naomba mnichague niwe rais.😂 kuna mtu alitaka kuupewa kwa muda akaukataa.. Angepewa madelu sijui ingekuwajeHahaha subiri mradi ukianza tu utawasikia CCM watabadilisha watasema SSH katoa PESA. Miradi yote tunaambiwa SSH katoa pesa, Hakuna mradi tunatumia pesa za wafadhili nchi hii.
Donor wanachangia bujeti, tunapewa misaada, tunakopa,Makampuni yanatoa gawio, sijui pesa zetu huwa zinaenda wapi.
Tunaambiwa TRA wamevunja rekodi ukusanyaji kodi kila mwezi, lakini deni la nchi la ndani na nje linaongezeka kila siku.
Naomba mnichague niwe rais.
Nami naungana na wewe. Huyo Balozi atakuwa anafurahisha kikao tu na hakuna lolote lililo kwenye mpango wa utekelezaji.Desalination Ina gharama kubwa sana za kujenga na inahitaji nishati kubwa. Tanzania Bado Ina vyanzo vya kutosha sana vya maji matamu ni kujikita kwenye usambazaji tu
Huyo balozi bwege anaropoka tu
Hahaha mimi angenipa nisinge vunga, ninge mrudishia baada ya mwezi.Naomba mnichague niwe rais.😂 kuna mtu alitaka kuupewa kwa muda akaukataa.. Angepewa madelu sijui ingekuwaje
Kwa kweli hii inaweza kuwa ni aibu. Yan tumesaidiwa tangu vyakula vyenye virutubishi, ujenzi wa vyoo na sasa eti hata maji ya kutawadhia? Dah! Mito na maziwa (Lakes) maji yake yanashida gani kutumia?Tutasaidiwa mpaka lini
Sasa hayo maji yenu ya mito na maziwa mmetumiaje?kuna wanawake wananamiwa mkojo wa ng'ombe hapo Simiyu hawana maji yoka Uhuru. Unasema wabaguzi. Wangekuwa wabaguzi wangekupa ushauri huo wa msaada? Usipaniki dogo.hujiwezi unategemea misaada. Huna mbele wala nyuma....😂Haruhitaji hawa maharamia wabaguzi. Waende wakasaidie ndugu zao Palestina kwanza. Wanatuona mazwazwa. Maji yote kila mito na maziwa bado tunahitaji maji ya bahari kweli!!! Au ni kwa vile tunatawaliwa na chawa na machawa?
Kilichokosekana ni Utashi wa kuamua kuthubutu kuanza kutumia tulichonacho.Sijapanga kutumia maji ya bahari kwa sababu ni gharama kubwa.
Nimeainisha vyanzo na vyote tunavyo, kilichokosekana ni akili na maarifa ya kutumia hadi tunategemea misaada (ulemavu wa fikra).
Yes Exactly.Tuanze kwanza kutumia maji yote ya mito inayoingia baharini, kusiwepo hata na tone la maji ya mto kuingia baharini kisha ndio tuwaze hayo
Tatizo kuna wenye nafasi za maamuzi wasiotaka, wasiothubutu au kujiongeza.Sasa hayo maji yenu ya mito na maziwa mmetumiaje?kuna wanawake wananamiwa mkojo wa ng'ombe hapo Simiyu hawana maji yoka Uhuru. Unasema wabaguzi. Wangekuwa wabaguzi wangekupa ushauri huo wa msaada? Usipaniki dogo.hujiwezi unategemea misaada. Huna mbele wala nyuma....😂
Mashehe watasema si maji HalalIsrael imeonesha nia ya kusaidia Tanzania katika mchakato wa kuondoa chumvi kwenye maji ya Bahari ya Hindi ili kukidhi mahitaji yanayoongezeka ya maji kwa matumizi ya binadamu, majumbani, na viwandani, hasa katika maeneo ya pwani kama Tanga na Dar es Salaam.
Mpango huu unalenga kushughulikia uhaba wa maji wa sasa na wa baadaye ambao nchi inakabiliana nao.
Ujumbe huo ulitolewa na Bwana Michael Lotem, balozi wa Israel nchini Kenya, Uganda, Malawi, na Shelisheli, ambaye pia anashughulikia masuala ya kidiplomasia ya Tanzania.
=====================
Arusha. Israel has expressed its willingness to assist Tanzania in desalinating Indian Ocean waters to meet growing human, domestic, and industrial needs, particularly in coastal areas such as Tanga and Dar es Salaam.
This initiative aims to address both current and future water shortages faced by the country.
The message was delivered by Mr Michael Lotem, Israel's envoy to Kenya, Uganda, Malawi, and Seychelles, who oversees Tanzanian diplomatic matters
![]()
Israel offers assistance in desalination efforts to combat water shortages in Tanzania
Israel has expressed its willingness to assist Tanzania in desalinating Indian Ocean waters to meet growing human, domestic, and industrial needswww.thecitizen.co.tz
Safi kabisa,njooni mfyeke mijusi hukuIsrael imeonesha nia ya kusaidia Tanzania katika mchakato wa kuondoa chumvi kwenye maji ya Bahari ya Hindi ili kukidhi mahitaji yanayoongezeka ya maji kwa matumizi ya binadamu, majumbani, na viwandani, hasa katika maeneo ya pwani kama Tanga na Dar es Salaam.