Israel wapo tayari kutatua tatizo la maji Tanzania

Israel wapo tayari kutatua tatizo la maji Tanzania

Nani aliwaambia Tanzania kuna tatizo la maji.

Tanzania tuna maji ya kukidhi mahitaji na ziyada, waondoke hapa.
 
Nani aliwaambia Tanzania kuna tatizo la maji.

Tanzania tuna maji ya kukidhi mahitaji na ziyada, waondoke hapa.
 
Hilo Ni Jambo Lisilowezekana Kamwe Yaani CCM Itatue Tatizo La Maji Nchini Halafu Watapataje PesA Za Ujanja Ujanja
Kuondoa Tatizo Popote Tanzania Ni Kuuwa Miradi Ya Watu Wachache
Maji Mengi Yanayotiririka Yanaishia Baharini
Kutoka Mbeya, Kilimanjaro, Kagera,
Ndiyo Tuwaze Kutoa Chumvi
FUKUZA Mbali CCM Inayotunyonya Na Miradi Hewa
 
Nani aliwaambia Tanzania kuna tatizo la maji.

Tanzania tuna maji ya kukidhi mahitaji na ziyada, waondoke hapa.
 
Israel imeonesha nia ya kusaidia Tanzania katika mchakato wa kuondoa chumvi kwenye maji ya Bahari ya Hindi ili kukidhi mahitaji yanayoongezeka ya maji kwa matumizi ya binadamu, majumbani, na viwandani, hasa katika maeneo ya pwani kama Tanga na Dar es Salaam.

Mpango huu unalenga kushughulikia uhaba wa maji wa sasa na wa baadaye ambao nchi inakabiliana nao.

Ujumbe huo ulitolewa na Bwana Michael Lotem, balozi wa Israel nchini Kenya, Uganda, Malawi, na Shelisheli, ambaye pia anashughulikia masuala ya kidiplomasia ya Tanzania.

=====================
Arusha. Israel has expressed its willingness to assist Tanzania in desalinating Indian Ocean waters to meet growing human, domestic, and industrial needs, particularly in coastal areas such as Tanga and Dar es Salaam.

This initiative aims to address both current and future water shortages faced by the country.

The message was delivered by Mr Michael Lotem, Israel's envoy to Kenya, Uganda, Malawi, and Seychelles, who oversees Tanzanian diplomatic matters

Mradi ukikamilika na wao kuondoka chumvi nayo itarudi kwenye maji toka Israeli.
Tujikumbushe, mama alitulingishia na mitambo mipya ya kuchimba visima, mpaka leo hatujaona manufaa kama tulivyoaminishwa.
 
Kama Star Link za Elon Musk zilifanyiwa zengwe, zikaishia juu/juu, hivi huu mradi mnategemea utafika popote?
Screenshot_20241115-095114.jpg

Just an update fellow JF member
 
Kwani ni shi ngap kubadili hayo maji tukatwe kodi kila siku yabadilishwe kuliko wanaharamu kujiletaleta hapa? Hata kama yatatumiwa na vitukuu vyetu tujenge wenyewe tujifunze utamaduni wa kujipambania mambo yetu wenyewe. Pia tunahitaji miradi mikubwa ya sola Power nayo bora tukatane huko TANESCO
 
Wanaharamu ni nyie,,, Israel will last forever
 
Kwani ni shi ngap kubadili hayo maji tukatwe kodi kila siku yabadilishwe kuliko wanaharamu kujiletaleta hapa? Hata kama yatatumiwa na vitukuu vyetu tujenge wenyewe tujifunze utamaduni wa kujipambania mambo yetu wenyewe. Pia tunahitaji miradi mikubwa ya sola Power nayo bora tukatane huko TANESCO
Nchi haina dini, ukiwa na visababu vyako dhidi ya Israeli hiyo haituhusu. Ingekuwa hivyo, tungekataa na misaada ya visima ya Saud Arabia.
 
Mradi ukikamilika na wao kuondoka chumvi nayo itarudi kwenye maji toka Israeli.
Tujikumbushe, mama alitulingishia na mitambo mipya ya kuchimba visima, mpaka leo hatujaona manufaa kama tulivyoaminishwa.
Hilo litakuwa tatizo la watanzania sio waisraeli
 
Vyeti vingi kuliko akili
Mtakuwa mnapewa misaada tu mpaka akili ziwakae sawa
 
Nchi yenye vichwa maji .

Una maziwa makuu matatu , hujayatumia bado unawaza kutumia Mabilioni ya Pesa kutumia Maji bahari??.

Wa Israel wanawafuata Wa Iran hapa Tanzania
Utakuwa mradi wa upigaji - white elephant - hata kwa akili ya aliyehitimu kidato cha IV na ufaulu wa D 2.
Maji ya Z. Tanganyika pekee yanatosha kuondoa changamoto ya maji karibia 3/4 ya nchi, tena kwa gharama nafuu za uendeshaji - hakuna gharama kubwa za usafishaji.
 
Back
Top Bottom