Israel washambulia Total Energies za Mfaransa

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
9,846
Reaction score
20,319
Israel kuonyesha kuchanganyikiwa washambulia Total Energies za mfaransa.

Katika kuonyesha kuchanganyikiwa Israel wameshambilia ofisi, maghala, na Sheli za kampuni ya Total Energies za mfaransa huko Beirut Lebanon.

Hii inajiri baada ya Macron kutangaza hawatowapa Israel silaha tena na kuzitaka nchi nyingine kufuata huo utaratibu.

Wakati huo huo Uingereza nayo inapanga kuvunja uhusiano na Israel na kuacha kabisa kupeleka silaha kwa Israel.

Hatua hii inaonekana kuwa mwiba kwa Israel ambayo tunaaminishwa kuwa ni nchi iliyoendelea, wavumbuzi na walogundua silaha zote duniani na tukaaminishwa silaha zote anatengeneza yeye na teknolojia zote mgunduzi ni yeye lakini kila kitu anategemea msaada,kumbe ni propaganda tu wameambiwa watanyimwa silaha wanatoa mlio hivyo.

Soma Pia: Israel yashambulia Lebanon kwa ndege za kivita na makombora. Maghala ya silaha na vituo vya kurushia roketi zaidi ya 100 zalipuliwa

Nilishasema hili Taifa likinyimwa msaada wiki mbili tu litakua limepotea duniani na walowezi wote washarudi Ulaya huko hakuna taifa pale ni mchongo tu na bado kuna "mikaa" ya huku Africa wanakuambia ni taifa teule

Wameanza kushambulia Total energies za mfaransa, mkiambiwa hawa watu hawabebeki muwe mnaelewa pili hawana shukurani wala hisani!!
 
Israel kuonyesha kuchanganyikiwa washambulia Total Energies za mfaransa

Katika kuonyesha kuchanganyikiwa Israel wameshambilia ofisi,maghala, na Sheli za kampuni ya Total Energies za mfaransa huko Beirut Lebanon

Hii inajiri baada ya Macron kutangaza hawatowapa Israel silaha tena na kuzitaka nchi nyingine kufuata huo utaratibu

Wakati huo huo Uingereza nayo inapanga kuvunja uhusiano na Israel na kuacha kabisa kupeleka silaha kwa Israel

Hatua hii inaonekana kuwa mwiba kwa Israel ambayo tunaaminishwa kuwa ni nchi iliyoendelea, wavumbuzi na walogundua silaha zote duniani na tukaaminishwa silaha zote anatengeneza yeye na teknolojia zote mgunduzi ni yeye lakini kila kitu anategemea msaada,kumbe ni propaganda tu wameambiwa watanyimwa silaha wanatoa mlio hivyo

Nilishasema hili taifa likinyimwa msaada wiki mbili tu litakua limepotea duniani na walowezi wote washarudi Ulaya huko hakuna taifa pale ni mchongo tu na bado kuna "mikaa" ya huku Africa wanakuambia ni taifa teule

Huu mgogoro niliacha kuutilia maanani baada ya kuona comment moja myu anasema hata usa anamuogopa muisrael
 
Lebanon maeneo ambayo Hezbollah walijitengea wao yanawaka moto

View: https://x.com/israelifihther/status/1842983774688047387
 
Israel kuonyesha kuchanganyikiwa washambulia Total Energies za mfaransa.

Katika kuonyesha kuchanganyikiwa Israel wameshambilia ofisi,maghala, na Sheli za kampuni ya Total Energies za mfaransa huko Beirut Lebanon.

Hii inajiri baada ya Macron kutangaza hawatowapa Israel silaha tena na kuzitaka nchi nyingine kufuata huo utaratibu.

Wakati huo huo Uingereza nayo inapanga kuvunja uhusiano na Israel na kuacha kabisa kupeleka silaha kwa Israel.

Hatua hii inaonekana kuwa mwiba kwa Israel ambayo tunaaminishwa kuwa ni nchi iliyoendelea, wavumbuzi na walogundua silaha zote duniani na tukaaminishwa silaha zote anatengeneza yeye na teknolojia zote mgunduzi ni yeye lakini kila kitu anategemea msaada,kumbe ni propaganda tu wameambiwa watanyimwa silaha wanatoa mlio hivyo.

Soma Pia: Israel yashambulia Lebanon kwa ndege za kivita na makombora. Maghala ya silaha na vituo vya kurushia roketi zaidi ya 100 zalipuliwa

Nilishasema hili taifa likinyimwa msaada wiki mbili tu litakua limepotea duniani na walowezi wote washarudi Ulaya huko hakuna taifa pale ni mchongo tu na bado kuna "mikaa" ya huku Africa wanakuambia ni taifa teule

Wameanza kushambulia Total energies za mfaransa, mkiambiwa hawa watu hawabebeki muwe mnaelewa pili hawana shukurani wala hisani!!
Mimi nasema hao Wafaransa ni wanafik, wanafanya mchezo wa kuigiza tu na mazayuni.

Wafaransa, Waingereza, Marekani na NATO yote. Waturuki wakiwemo, ni waanafik na hawawezi kwenda kinyume na mazayuni na wao ndiyo wanawapa nguvu mazayuni.
 
Awa wafaransa na Israel wanamgogolo asa baada ya kubainika Israel inaingilia siasa za wafaransa,,, wayahudi walifosi kupachika mtuwao⁶ lkn ilibainika.
 
Israel kuonyesha kuchanganyikiwa washambulia Total Energies za mfaransa.

Katika kuonyesha kuchanganyikiwa Israel wameshambilia ofisi,maghala, na Sheli za kampuni ya Total Energies za mfaransa huko Beirut Lebanon.

Hii inajiri baada ya Macron kutangaza hawatowapa Israel silaha tena na kuzitaka nchi nyingine kufuata huo utaratibu.

Wakati huo huo Uingereza nayo inapanga kuvunja uhusiano na Israel na kuacha kabisa kupeleka silaha kwa Israel.

Hatua hii inaonekana kuwa mwiba kwa Israel ambayo tunaaminishwa kuwa ni nchi iliyoendelea, wavumbuzi na walogundua silaha zote duniani na tukaaminishwa silaha zote anatengeneza yeye na teknolojia zote mgunduzi ni yeye lakini kila kitu anategemea msaada,kumbe ni propaganda tu wameambiwa watanyimwa silaha wanatoa mlio hivyo.

Soma Pia: Israel yashambulia Lebanon kwa ndege za kivita na makombora. Maghala ya silaha na vituo vya kurushia roketi zaidi ya 100 zalipuliwa

Nilishasema hili taifa likinyimwa msaada wiki mbili tu litakua limepotea duniani na walowezi wote washarudi Ulaya huko hakuna taifa pale ni mchongo tu na bado kuna "mikaa" ya huku Africa wanakuambia ni taifa teule

Wameanza kushambulia Total energies za mfaransa, mkiambiwa hawa watu hawabebeki muwe mnaelewa pili hawana shukurani wala hisani!!
Kwa hiyo tuwa support Hezbollah na Taleban na Alqaida tuachane na Israel kwa kuwa kanyimwa silaha na Ufaransa na kashambulia total energy? Nenda kwa familia ya Joshua Mtanzania aliyeuwawa na Hamas bila hatia ukawa ambie huu uhalo usikie majibu yao
 
Japo kapicha ka Total energy kaliko lipuliwa. Au ndio tujiunge na group lako la whatsap MKUU kupata PICHA.
All the best
 
  • Thanks
Reactions: al1
Huu mgogoro niliacha kuutilia maanani baada ya kuona comment moja myu anasema hata usa anamuogopa muisrael
usiogope Israeli, Bali ogopa Mungu wa Israeli.

Tenga muda fuatilia historia ya taifa la Israeli lilikopita na kufika hapo lilipo. Limepigana vita vingi sana, pasi na kuhitaji msaada wa mwanadamu, Mungu wa Israeli ndiye huwashindia.
 
huu ni ujanja tu wa kivita.hiyo total ya ufaransa mmiliki wa huko ni nani.kanuni moja hatari ya kivita ni kutokumpa/ kujua adui mipango yako.hivyo usiwaamini wazungu hata sikumoja.
hawajawahi hata sikumoja kusema wanamsaidia mwizirael kumpa au muuzia siraha.iweje leo waseme hawampi?
 
usiogope Israeli, Bali ogopa Mungu wa Israeli.

Tenga muda fuatilia historia ya taifa la Israeli lilikopita na kufika hapo lilipo. Limepigana vita vingi sana, pasi na kuhitaji msaada wa mwanadamu, Mungu wa Israeli ndiye huwashindia.
Sasa kwanini netanyahu kamuwakia vikali macron kisa sakata la kuuziwa silaha mkuu? Iran anatuma missles wanakesha nato, us, uk, jordan. Hii imekaaje mkuu?

Mungu wa israel kama karuhusu yale yanayofanywa na netanyahu mimi naweka nukta mkuu kila la kheri.

A lot of jews wanasema this is not what we are. Wewe unasema mungu wa waisarael na anatekeleza vile
 
what I told u is, Tenga muda fuatilia historia ya taifa la Israeli. Anza na maagano ambayo Mungu Mwenyenzi aliagana nao, kuanzia Baba wa Imani Ibrahimu. maagano ya milele. Mungu wa Ibrahimu Isaka na Yakobo (Israeli)

sio ishu ya kidini, Bali ni ishu ya mahusiano ya Mungu na wanadamu. soma KITABU cha MWANZO na KUTOKA
 
Israel kuonyesha kuchanganyikiwa washambulia Total Energies za mfaransa.

Katika kuonyesha kuchanganyikiwa Israel wameshambilia ofisi, maghala, na Sheli za kampuni ya Total Energies za mfaransa huko Beirut Lebanon.

Hii inajiri baada ya Macron kutangaza hawatowapa Israel silaha tena na kuzitaka nchi nyingine kufuata huo utaratibu.

Wakati huo huo Uingereza nayo inapanga kuvunja uhusiano na Israel na kuacha kabisa kupeleka silaha kwa Israel.

Hatua hii inaonekana kuwa mwiba kwa Israel ambayo tunaaminishwa kuwa ni nchi iliyoendelea, wavumbuzi na walogundua silaha zote duniani na tukaaminishwa silaha zote anatengeneza yeye na teknolojia zote mgunduzi ni yeye lakini kila kitu anategemea msaada,kumbe ni propaganda tu wameambiwa watanyimwa silaha wanatoa mlio hivyo.

Soma Pia: Israel yashambulia Lebanon kwa ndege za kivita na makombora. Maghala ya silaha na vituo vya kurushia roketi zaidi ya 100 zalipuliwa

Nilishasema hili Taifa likinyimwa msaada wiki mbili tu litakua limepotea duniani na walowezi wote washarudi Ulaya huko hakuna taifa pale ni mchongo tu na bado kuna "mikaa" ya huku Africa wanakuambia ni taifa teule

Wameanza kushambulia Total energies za mfaransa, mkiambiwa hawa watu hawabebeki muwe mnaelewa pili hawana shukurani wala hisani!!
Hawa wanaelekea kuchokwa....
 
Mimi nasema hao Wafaransa ni wanafik, wanafanya mchezo wa kuigiza tu na mazayuni.

Wafaransa, Waingereza, Marekani na NATO yote. Waturuki wakiwemo, ni waanafik na hawawezi kwenda kinyume na mazayuni na wao ndiyo wanawapa nguvu mazayuni.
Kinachowafanya France kuwa ndumi la kuwili pamoja na Turkiye ni kitu kimoja tu ama viwili.NATO na EU.
Kama wasingekua member wa hizo organization basi ungejionea ukinzani mwingi sana.
Hasa huyo France Israel ilimuulia mfanyakazi wake wa balozi huko Palestina,unatarajia atakua ana hamu naye!?
Israel inavuka mipaka kila kukicha,USA ndio inamuokoa licha nchi nyingi hazimpendi hata za Ulaya.
 
Israel kuonyesha kuchanganyikiwa washambulia Total Energies za mfaransa.

Katika kuonyesha kuchanganyikiwa Israel wameshambilia ofisi, maghala, na Sheli za kampuni ya Total Energies za mfaransa huko Beirut Lebanon.

Hii inajiri baada ya Macron kutangaza hawatowapa Israel silaha tena na kuzitaka nchi nyingine kufuata huo utaratibu.

Wakati huo huo Uingereza nayo inapanga kuvunja uhusiano na Israel na kuacha kabisa kupeleka silaha kwa Israel.

Hatua hii inaonekana kuwa mwiba kwa Israel ambayo tunaaminishwa kuwa ni nchi iliyoendelea, wavumbuzi na walogundua silaha zote duniani na tukaaminishwa silaha zote anatengeneza yeye na teknolojia zote mgunduzi ni yeye lakini kila kitu anategemea msaada,kumbe ni propaganda tu wameambiwa watanyimwa silaha wanatoa mlio hivyo.

Soma Pia: Israel yashambulia Lebanon kwa ndege za kivita na makombora. Maghala ya silaha na vituo vya kurushia roketi zaidi ya 100 zalipuliwa

Nilishasema hili Taifa likinyimwa msaada wiki mbili tu litakua limepotea duniani na walowezi wote washarudi Ulaya huko hakuna taifa pale ni mchongo tu na bado kuna "mikaa" ya huku Africa wanakuambia ni taifa teule

Wameanza kushambulia Total energies za mfaransa, mkiambiwa hawa watu hawabebeki muwe mnaelewa pili hawana shukurani wala hisani!!
Waisrael watandahimba nawashangaaga sana wanavyojipendekezaga kwa hii jamii Ashkenazi hawa si binadam hata kidogo Hitler kwa sasa dunia inamuelewa alikuwa na maana gani kuifuta hii jamii...wana laana ya asili wenyewe wana amini hii dunia ni wao tu ndio wanaostahili kuishi sio wengine
 
usiogope Israeli, Bali ogopa Mungu wa Israeli.

Tenga muda fuatilia historia ya taifa la Israeli lilikopita na kufika hapo lilipo. Limepigana vita vingi sana, pasi na kuhitaji msaada wa mwanadamu, Mungu wa Israeli ndiye huwashindia.
We muda si mrefu utaanza kupewa dawa ya kutuliza changamoto ya afya ya akili, Huyo Mungu wa Israel alieandikwa Kwenye hivyo vitabu hivyo vitabu waliandika kina nani, si hao hao Waisrael ulitaka wakuandikie mungu yupi kama sio wa kwao? Au kuna mahali popote kwenye hicho kitabu kuna saini ya huyo Mungu kwamba hayo maneno aliyatamka yeye!?
 
Back
Top Bottom