kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,846
- 20,319
Israel kuonyesha kuchanganyikiwa washambulia Total Energies za mfaransa.
Katika kuonyesha kuchanganyikiwa Israel wameshambilia ofisi, maghala, na Sheli za kampuni ya Total Energies za mfaransa huko Beirut Lebanon.
Hii inajiri baada ya Macron kutangaza hawatowapa Israel silaha tena na kuzitaka nchi nyingine kufuata huo utaratibu.
Wakati huo huo Uingereza nayo inapanga kuvunja uhusiano na Israel na kuacha kabisa kupeleka silaha kwa Israel.
Hatua hii inaonekana kuwa mwiba kwa Israel ambayo tunaaminishwa kuwa ni nchi iliyoendelea, wavumbuzi na walogundua silaha zote duniani na tukaaminishwa silaha zote anatengeneza yeye na teknolojia zote mgunduzi ni yeye lakini kila kitu anategemea msaada,kumbe ni propaganda tu wameambiwa watanyimwa silaha wanatoa mlio hivyo.
Soma Pia: Israel yashambulia Lebanon kwa ndege za kivita na makombora. Maghala ya silaha na vituo vya kurushia roketi zaidi ya 100 zalipuliwa
Nilishasema hili Taifa likinyimwa msaada wiki mbili tu litakua limepotea duniani na walowezi wote washarudi Ulaya huko hakuna taifa pale ni mchongo tu na bado kuna "mikaa" ya huku Africa wanakuambia ni taifa teule
Wameanza kushambulia Total energies za mfaransa, mkiambiwa hawa watu hawabebeki muwe mnaelewa pili hawana shukurani wala hisani!!