Israel watajutia milele kwa walichokifanya huko Iran

Wamevuna walichopanda
20250614_111522.jpeg
20250614_111405.jpeg
 
Netanyahu na wenzake wamefanya kosa kubwa sana.

Kinachoenda kufuata itabaki kuwa Story

Majibu ya Iran yataishangaza dunia

Kwasababu Iran wanaenda kumaliza kazi waliokua wanaingoja kwa hamu siku zote

Waliita Iran baba lao sasa wamemgusa kichwa cha Pweza

Yajayo yanasikitika, Hii ni vita ya ukanda nzima, dunia inaenda kushuhudia mazito masaa machache yajayo

Hili litakua ndo mwisho wa ubabe wa Israel hapa duniani ubabe uliodumu toka mwaka wa 1948

Soon kuna Suprise inakuja, tujiandae kwa Vita nzito

Hii ngoma haitokuwa ya kitoto.
Sheikh wangu Tumepigwa vituo vyetu muhimu na Makamanda na wataalamu wameuliwa na wewe unakuja leta mzaha? Wewe utakuwa kafir unafurahia tunavyopigika huko. Inaniuma sana kuona haya wanayafanya Mayahudi na nyie mnashabikia. Tumedhalilishwa sana. Ndege 200 zinaingiaje na kutoka Iran?tungeangusha hata 50 basi.
Screenshot_2025-06-14-11-08-18-607_com.android.chrome.jpg
Screenshot_2025-06-14-11-07-50-054_com.android.chrome.jpg
 
Taarifa ya IDF yenyewe inasema missiles zilikuwa around 100, we unasema 150 zimepenya we unajua ballistic missiles 150 au wazisikia
Mbona una ubishi wa kijinga?
Madhara ya missile huangaliwa na uzito wa warhead uliofungwa.
Pia umetizama madhara yaliyotokea au unabisha bure?
 
Sheikh wangu Tumepigwa vituo vyetu muhimu na Makamanda na wataalamu wameuliwa na wewe unakuja leta mzaha? Wewe utakuwa kafir unafurahia tunavyopigika huko. Inaniuma sana kuona haya wanayafanya Mayahudi na nyie mnashabikia. Tumedhalilishwa sana. Ndege 200 zinaingiaje na kutoka Iran?tungeangusha hata 50 basi.
View attachment 3367937View attachment 3367938
Unaleta porojo za Mavi ya kale?
Israel imeungua vya kutosha huko.
 
Bwege wewe unafkiria wamekurupuka kulianzisha, mkiwaza ushuzi tu mnakuja kufungua thread hapa
 
Netanyahu na wenzake wamefanya kosa kubwa sana.

Kinachoenda kufuata itabaki kuwa Story

Majibu ya Iran yataishangaza dunia

Kwasababu Iran wanaenda kumaliza kazi waliokua wanaingoja kwa hamu siku zote

Waliita Iran baba lao sasa wamemgusa kichwa cha Pweza

Yajayo yanasikitika, Hii ni vita ya ukanda nzima, dunia inaenda kushuhudia mazito masaa machache yajayo

Hili litakua ndo mwisho wa ubabe wa Israel hapa duniani ubabe uliodumu toka mwaka wa 1948

Soon kuna Suprise inakuja, tujiandae kwa Vita nzito

Hii ngoma haitokuwa ya kitoto.
Vipi kazi wameimaliza au bado?
 
Maafa aliyopata sasa Israel hakuna aliyewahi kushuhudia,hata Oktoba 7 haiingii ndani.
Makao makuu ya jeshi yamegeuzwa kifusi.
Mpaka utakaponionyesha picha (au source ya hii habari) kwamba makao makuu ya jeshi la Israel yamegeuzwa kifusi, hii ni habari kutoka kijiweni

Ila fact ni kwamba Mkuu wa Jeshi la Iran keshakuwa assassinated along with very high ranking military commanders na Wanasayansi wa Nuclear 9
 
Picha zimerushwa sana humu aisee hadi watu wamechoka.
Bundle unalo nenda google utakuta picha kibao tu za maafa huko Israel.

Unaua viongozi sawa,ila je inakupatia faida gani?
Wameua viongozi still watu wakakaa mezani wakateua viongozi mbadala na kazi ikaendelea.
 
Israel was established in 1948.

It was named that so you would connect it to the Israel in the Bible, which it actually has nothing to do with.
 
Tatizo moja ukisoma usenge wa mwamedi unakuwa muongo mwanapropaganda na chembe chembe za ugaidi
 
Netanyahu na wenzake wamefanya kosa kubwa sana.

Kinachoenda kufuata itabaki kuwa Story

Majibu ya Iran yataishangaza dunia

Kwasababu Iran wanaenda kumaliza kazi waliokua wanaingoja kwa hamu siku zote

Waliita Iran baba lao sasa wamemgusa kichwa cha Pweza

Yajayo yanasikitika, Hii ni vita ya ukanda nzima, dunia inaenda kushuhudia mazito masaa machache yajayo

Hili litakua ndo mwisho wa ubabe wa Israel hapa duniani ubabe uliodumu toka mwaka wa 1948

Soon kuna Suprise inakuja, tujiandae kwa Vita nzito

Hii ngoma haitokuwa ya kitoto.
Hakuna kitu kama hicho!
 
Back
Top Bottom