Israel watajutia milele kwa walichokifanya huko Iran

Israel watajutia milele kwa walichokifanya huko Iran

Netanyahu na wenzake wamefanya kosa kubwa sana.

Kinachoenda kufuata itabaki kuwa Story. Majibu ya Iran yataishangaza dunia
Netanyahu, Mossad na IDF in its totality sio mafala na wanajua wanachokifanya. Vita ofcourse huwa ina madhara kwa pande zote lakini mwisho wa siku, Israel watashinda

Usiku wa leo wanakwenda kurusha vitu vizito zaidi. Perhaps targetting Makamanda wa Vita na Wanasayansi wengine. Pigo za Israel zipo targetted panapouma zaidi
 
Acheni taarabu, pigeni kazi.

Hadi mkuu wa majeshi anauliwa bado mnaimba taarabu tu.

Mnataka mpaka afe Ayatollah ndio muanze vita. Drone 100 na kitu zimepopolewa bado tu mnatunga mashairi ya taarabu.

Aaaaaahgy mnakera, kwanza tunawadai Promise 3
 
Mashambulizi yenyewe karibu missiles zote zimedakwa, huwezi compare na ile ya taifa la Mungu walipiga kama vile wanawapiga watoto yatima
We mbona unaropoka kijana?
Unamdanganya nani dunia hii?
90% ya makombora yamepenya.
Israel ameshaanza kutoa milio kuwa Iran ameshambulia maeneo ya raia.
Usituchukilie sisi watoto wewe,Kila mtu kaona Tel Aviv ikiungua.
 
Netanyahu, Mossad na IDF in its totality sio mafala na wanajua wanachokifanya. Vita ofcourse huwa ina madhara kwa pande zote lakini mwisho wa siku, Israel watashinda

Usiku wa leo wanakwenda kurusha vitu vizito zaidi. Perhaps targetting Makamanda wa Vita na Wanasayansi wengine. Pigo za Israel zipo targetted panapouma zaidi
Mkuu Iran sio Syria.
Jiulize kwanini 2018 Trump alipeleka battle ship Kesha akaigeuza njiani.
Iran ili sustain vita ya miaka 8 dhidi ya Iraq yenye jeshi kubwa Middle east ya Saddam Hussein,Iran ikiwa na jeshi dhaifu la mapinduzi toka 1979.
Iran sio Syria,hapo Israel ameingia chaka.
Na soon utanambia Mimi USA ataingilia kati kutafuta suluhu.
Maafa aliyopata sasa Israel hakuna aliyewahi kushuhudia,hata Oktoba 7 haiingii ndani.
Makao makuu ya jeshi yamegeuzwa kifusi.
 
Acheni taarabu, pigeni kazi.

Hadi mkuu wa majeshi anauliwa bado mnaimba taarabu tu.

Mnataka mpaka afe Ayatollah ndio muanze vita. Drone 100 na kitu zimepopolewa bado tu mnatunga mashairi ya taarabu.

Aaaaaahgy mnakera, kwanza tunawadai Promise 3
We kalio unaongea nini??
Tel Aviv watu wameungua Jana usiku,wengine wamenasa kwenye mahandaki ya kujifichia asubuhi hii ndio wanavutwa.
Makao makuu ya jeshi yamelipuliwa.
Israel inaomboleza huko muda huu.
 
We mbona unaropoka kijana?
Unamdanganya nani dunia hii?
90% ya makombora yamepenya.
Israel ameshaanza kutoa milio kuwa Iran ameshambulia maeneo ya raia.
Usituchukilie sisi watoto wewe,Kila mtu kaona Tel Aviv ikiungua.
Acha uongo ballistic karibu mia si Israel ingekuwa kifusi kifupi, nyie juzi mlipangangua ngapi, na za chinichini kawafata tena awaonye
 
[emoji298]️[emoji1130][emoji1134]JUST IN:

The results of one of Iran’s strikes on Tel Aviv, central Israel

So far, at least 3 settlers have been reported dead and more than 80 injured overall since the start of Iran’s response according to the Likud-run Health Ministry.
 
Acha uongo ballistic karibu mia si Israel ingekuwa kifusi kifupi, nyie juzi mlipangangua ngapi, na za chinichini kawafata tena awaonye
Video zimeletwa na chombo Cha usalama Cha Israel kimesema makombora 150 yamepenya.
Wewe matako mmoja unabisha nini?
 
Hawa watoto wa form six watarudi chuo lini?? Ujinga mwingi ona huyu mtoa mada anaota ndoto za Alnacha
 
Zishatumwa humu na nakurushia picha sasa hivi za ushahidi.
Taarifa ya IDF yenyewe inasema missiles zilikuwa around 100, we unasema 150 zimepenya we unajua ballistic missiles 150 au wazisikia
 
Walionywa hawakuskia
20250614_110029.jpeg
 
Back
Top Bottom