Israel watajutia milele kwa walichokifanya huko Iran

Netanyahu na wenzake wamefanya kosa kubwa sana.

Kinachoenda kufuata itabaki kuwa Story

Majibu ya Iran yataishangaza dunia

Kwasababu Iran wanaenda kumaliza kazi waliokua wanaingoja kwa hamu siku zote

Waliita Iran baba lao sasa wamemgusa kichwa cha Pweza

Yajayo yanasikitika, Hii ni vita ya ukanda nzima, dunia inaenda kushuhudia mazito masaa machache yajayo

Hili litakua ndo mwisho wa ubabe wa Israel hapa duniani ubabe uliodumu toka mwaka wa 1948

Soon kuna Suprise inakuja, tujiandae kwa Vita nzito

Hii ngoma haitokuwa ya kitoto.
Hakuna lolote, Iran hatakiwi kushupaza shingo kwa sasa hana uwezo wowote.
 
Huwezi ukawa unategemea hekaya za Allah alafu utegemee kuwashinda watu vichwa kama hawa👇

🇮🇱🇮🇷The Iranian army was rendered "blind, deaf and dumb" by the Israeli strike due to a massive cyber attack on the country's defense system, military observers at Bild suggest.

Apparently, Israel managed to disable Iranian radars until the morning, which is why the Iranian Air Force, which took off, simply did not see the targets. Strikes were recorded from only one Iranian air defense base.

"Hundreds of Iranian officers and pilots did not even know that anything was happening. This points to a massive cyberattack using electronic warfare, which probably began as the Israeli planes were taking off," the publication writes.

In addition, Israel apparently disabled communications between various air defense units and private communications systems - mobile phones, radios and pagers. Neither SMS, WhatsApp nor phone calls warned the attacked targets of the upcoming Israeli strike.
 
The Doomsday clock says, as of 2025, its 89 seconds to midnight.

It was 2 minutes to midnight in 2019.

It was 7 minutes to midnight in 1947.

What's the Doomsday Clock?

Founded in 1945 by Albert Einstein et al, scientists who helped develop the first atomic weapons created the Doomsday Clock using the imagery of apocalypse (midnight) and the contemporary idiom of nuclear explosion (countdown to zero) to convey threats to humanity and the planet.

The Doomsday Clock is set every year. The Clock has become a universally recognized indicator of the world’s vulnerability to global catastrophe caused by man-made technologies.

  • Thanks
Reactions: K11
Tunamuwinda Khumanei kwa Sasa....endeleeni kupiga kelele...sisi tunapiga targeted areas and people.....hii ni awamu ya kwanza imeondoka na magaidi wanne wa nafasi za juu sana kwenye mambo ya Nyuklia na jeshi ...Kuna awamu ya pili inakuja
 
The UN through "Agenda 2030" aims to achieve a better life for everyone by 2030.

Uki scroll hadi chini kwenye hii website unaona saa yao iko Live, countdown to 2030. Ilianza kuhesabu 2023.

Huwa naiangalia hii saa nakumbuka yale maneno tunayosikiaga, ya secret societies: Hidden in Plain Sight.

Huku wao wanawahi kujenga ma bunker yao ya kujificha.
 
Netanyahu na wenzake wamefanya kosa kubwa sana.

Kinachoenda kufuata itabaki kuwa Story

Majibu ya Iran yataishangaza dunia

Kwasababu Iran wanaenda kumaliza kazi waliokua wanaingoja kwa hamu siku zote

Waliita Iran baba lao sasa wamemgusa kichwa cha Pweza

Yajayo yanasikitika, Hii ni vita ya ukanda nzima, dunia inaenda kushuhudia mazito masaa machache yajayo

Hili litakua ndo mwisho wa ubabe wa Israel hapa duniani ubabe uliodumu toka mwaka wa 1948

Soon kuna Suprise inakuja, tujiandae kwa Vita nzito

Hii ngoma haitokuwa ya kitoto.
Ayatollah kimsboy nae kaichimba Mikwara Israel
 
  • Kicheko

Wew uko wapi (sehemu gani)mda huu? Hemu tuhabalishe hali ipoje kwa sasa hapo middle East
 
  • Kicheko
Reactions: K11
Netanyahu na wenzake wamefanya kosa kubwa sana.

Kinachoenda kufuata itabaki kuwa Story

Majibu ya Iran yataishangaza dunia

Kwasababu Iran wanaenda kumaliza kazi waliokua wanaingoja kwa hamu siku zote

Waliita Iran baba lao sasa wamemgusa kichwa cha Pweza

Yajayo yanasikitika, Hii ni vita ya ukanda nzima, dunia inaenda kushuhudia mazito masaa machache yajayo

Hili litakua ndo mwisho wa ubabe wa Israel hapa duniani ubabe uliodumu toka mwaka wa 1948

Soon kuna Suprise inakuja, tujiandae kwa Vita nzito

Hii ngoma haitokuwa ya kitoto.
Pole sana Israel itakua bure maana kwa kipondo cha leo na kwa maumivu iliyokupa lazima sukari, presha zitakuwa juu sana muda huu.
 
Netanyahu na wenzake wamefanya kosa kubwa sana.

Kinachoenda kufuata itabaki kuwa Story

Majibu ya Iran yataishangaza dunia

Kwasababu Iran wanaenda kumaliza kazi waliokua wanaingoja kwa hamu siku zote

Waliita Iran baba lao sasa wamemgusa kichwa cha Pweza

Yajayo yanasikitika, Hii ni vita ya ukanda nzima, dunia inaenda kushuhudia mazito masaa machache yajayo

Hili litakua ndo mwisho wa ubabe wa Israel hapa duniani ubabe uliodumu toka mwaka wa 1948

Soon kuna Suprise inakuja, tujiandae kwa Vita nzito

Hii ngoma haitokuwa ya kitoto.
Msemaji wa Ayatolah Khomenei
 
Pole sana.. Tumswalieee....Allahuakabar!!
 
Quran ndo imesema hivyo siyo!? Islamists bana!! Ayatollah Khamenei ndiyo huyooo mdogo mdogo, jeneza linakamilika
Screenshot_20250613_092805.jpg
 
Kama hadi wazikane ndio wajipanga, basi wajue kuwa kuzika wafu ni zoezi endelevu
Unaizungumzia Iran sio Syria.
Wacha tuzike mashahidi wetu Kesha tutizame palipovuja ndio tuone tunajibu vipi shambulizi.
Ila Iran kwa kujibu sasa hivi ni uongo .
 
Netanyahu na wenzake wamefanya kosa kubwa sana.

Kinachoenda kufuata itabaki kuwa Story

Majibu ya Iran yataishangaza dunia

Kwasababu Iran wanaenda kumaliza kazi waliokua wanaingoja kwa hamu siku zote

Waliita Iran baba lao sasa wamemgusa kichwa cha Pweza

Yajayo yanasikitika, Hii ni vita ya ukanda nzima, dunia inaenda kushuhudia mazito masaa machache yajayo

Hili litakua ndo mwisho wa ubabe wa Israel hapa duniani ubabe uliodumu toka mwaka wa 1948

Soon kuna Suprise inakuja, tujiandae kwa Vita nzito

Hii ngoma haitokuwa ya kitoto.
Ninafikiri ungejiuliza tu kataifa kadogo kama kale kanapata wapi ujasiri wa kupiga taifa kubwa kama Iran. Sasa kwa taarifa yako hakuna aliyeshindana na Israeli akawa salama. Hapo ndiyo ujue Mungu wa Israeli yu hai na atawatetea. Hawaitaji mtu yeyote wa kuwatetetea. Mungu wa Mbinguni aliyeumba mbingu na nchi yuko upande wao. Mwisho tu ni kuomba amani maana kila mtu including wewe na mimi tutaumia. Leo tu mafuta yamepanda kwa ajili ya haya yaliyotokea.
 
Back
Top Bottom