joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Hizo zipo kwa ajili ya Africa na ukizingatia US taifa liloangamiza watu wengi duniani wapo nyuma yao ndio kabisa hamna kitakacho fanyika, UN nae mbwa mkubwa ila hana meno wala kucha.Kwa yanayoendelea Gaza, ICC wasipoanza uchukuaji wa vielelezo vya kuwapeleka Netanyahu na kundi lake la kigaidi kwenye mahakama ya kimataifa nchi za Afrika inabidi kujitoa.
Hii ni sababu ya double standard ya mahakama husika.
Kina Kenyatta na Ruto tu kesi ilikuja kibuduA veery complicated case!!
Kwani Putin "Russia" ni mwanachama wa hiyo ICC?
aunga mkono 100%. Zipo sababu 1000 za kuachana na mahakama za hivi.Kwa yanayoendelea Gaza, ICC wasipoanza uchukuaji wa vielelezo vya kuwapeleka Netanyahu na kundi lake la kigaidi kwenye mahakama ya kimataifa nchi za Afrika inabidi kujitoa.
Hii ni sababu ya double standard ya mahakama husika.
Hamas imewaponza sanaAnaweza kulipua ICC na bado watu wakaanza kushangilia kuwa Mungu yuko pamoja nao.
Majeruhi watatulia hata miaka 10 wakipata nafasi tena watajibu na tech itakuwa juu yenye uwezo wa kubypass iron dome.Hamas imewaponza sana
aunga mkono 100%. Zipo sababu 1000 za kuachana na mahakama za hivi.Kwa yanayoendelea Gaza, ICC wasipoanza uchukuaji wa vielelezo vya kuwapeleka Netanyahu na kundi lake la kigaidi kwenye mahakama ya kimataifa nchi za Afrika inabidi kujitoa.
Hii ni sababu ya double standard ya mahakama husika.
NI muda wa Palestina na waarabu (sizungumzii uislam hapa) kukomaa. Japo gharama itakuwa kubwa. Lakini mwisho palestina watapa nchi yao na mipaka ni ile ya 1947.Nonsense, pelekeni yale magaidi kina haniya huko ICC kwanza ndio mje kuwa gusa watoto wa Yakobo. Mungu yu pamoja na Israel, yeye awalindaye halali wala hasinzii.
Kwani Russia ni mwanachama wa icc?Ulishaambiwa israel ni mwanachama wa ICC? Hilo azimio la umoja wa mataifa la kupitisha israel ishitakiwe huko nani atalipitisha?
Acheni kulialia nyie Hamas wa Mbagala. Si mlijifanya vichwa ngumu? ShubaamitKwa yanayoendelea Gaza, ICC wasipoanza uchukuaji wa vielelezo vya kuwapeleka Netanyahu na kundi lake la kigaidi kwenye mahakama ya kimataifa nchi za Afrika inabidi kujitoa.
Hii ni sababu ya double standard ya mahakama husika.
Yale magaidi yaliyoivamia Israel yakawaua waisrael kwenye sherehe na kuwateka watoto na kuua watu je hawastahili kupelekwa ICC? Ila Israel anaonekanaKwa yanayoendelea Gaza, ICC wasipoanza uchukuaji wa vielelezo vya kuwapeleka Netanyahu na kundi lake la kigaidi kwenye mahakama ya kimataifa nchi za Afrika inabidi kujitoa.
Hii ni sababu ya double standard ya mahakama husika.
Madictator lazima waingizwe humo kwa ulinzi wa raia ndani ya ardhi (democrasia)Kwani Putin "Russia" ni mwanachama wa hiyo ICC?
Utasubiri sana, ICC ni ya wadhaifuKwa yanayoendelea Gaza, ICC wasipoanza uchukuaji wa vielelezo vya kuwapeleka Netanyahu na kundi lake la kigaidi kwenye mahakama ya kimataifa nchi za Afrika inabidi kujitoa.
Hii ni sababu ya double standard ya mahakama husika.
Utu unafuata baadae. Kipindi hicho tech itakuwa juu kwa watu wote. Iron dome zitaboreshwa au utakuja ulinzi mwingine mkali sana wa angaMajeruhi watatulia hata miaka 10 wakipata nafasi tena watajibu na tech itakuwa juu yenye uwezo wa kubypass iron dome.
Vita havimalizwi kwa vita na kufanya matukio ya kupandikiza visasi na chuki kwa race ya waarabu wote.
Majibu ya walichofanyiwa yamepitiliza utu.
Heee, mkuu ni ww umeandika hapa? Rudi Sunday school mkuuNonsense, pelekeni yale magaidi kina haniya huko ICC kwanza ndio mje kuwa gusa watoto wa Yakobo. Mungu yu pamoja na Israel, yeye awalindaye halali wala hasinzii.
😂😂Dah Tz mna mambo sana vita isikieni tu kwa watuAnaweza kulipua ICC na bado watu wakaanza kushangilia kuwa Mungu yuko pamoja nao.