Israel ya sasa ni ya waisrael au wazungu wanaojifanya waisrael?

Israel ya sasa ni ya waisrael au wazungu wanaojifanya waisrael?

Tafuta elimu ili usiulize maswali yasiyo na mantiki.
Kwanza ufahamu kuwa waisrael hawajawahi kuwa waarabu. Waisrael ni descendants wa Israel, yaani Yakobo ambaye alikuwa mtoto wa Isaka. Watoto 12 wa Yakobo ndiyo waliotengeneza makabila kumi na mawili ya Israel.

Hapo mashariki ya kati, tangu kale wamekuwepo hao wayahudi, waarabu, waajemi, wafilisti, wayunani, n.k.

Ungekuwa unajishugulisha kutafuta elimu usingeliuliza hili swali.

Kwa ufupi ufahamu kuwa migration ya wayahudi toka Cannani kuelekea Ulaya ilianza tangu kupigwa Yudea kingdom, yaani karne ya pili kabla ya Kristo. Toka wakati huo, wakati wa Roman empire, Ottoman empire, mpaka wakati wa ukoloni wa muingereza, wayahudi waliendelea kuondoka eneo la Cannan, na kuelekea Ulaya. Baada ya vita kuu ya pili ya Dunia, wayahudi wengi walitoka Ulaya na kukimbilia Marekani.

Migration ya wayahudi kutoka Cannan na kwenda Ulaya na America, iliwapa nafasi waarabu kuyachukua na kuyamiliki maeneo karibia yote waliyokuwa wakimiliki wayahudi wa kale. Ufahamu kuwa Cannan ya kale, ambayo ndiyo lilikiwa Taifa la wayahudi lilijumuisha Israel ya leo, sehemu ya Jordan, Misri, Lebanon, Syria na Iraq.

Kitu ambacho kilichochea sana wayahudi waliokuwepo Ulaya kurudi kwenye ardhi ya Baba zao, ni uharamia wa Adolf Hitler aliyedhamiria kuwamaliza wayahudi wote, falsafa sawa na ya Ayatollah wa Iran lakini yenye sababu tofauti.
Si kweli. Kilichosababisha yote hayo ni zaidi ya hicho. Hitler aliwakuta na akawashughulikia baada ya kugundua ni wabaguzi. Hivyo, usemayo ni uongo na uzushi wa kawaida.
 
Tupe ushahidi wa Waisrael kuwa weusi? Si mmesema walikuwa waarabu, mara hii wamekuwa weusi tena!? Kweli madrasa na ujinga ni hivi...
Soma book of deutoromy Jacob na nduguye Easau, Esau alielezwa kuwa alikuaje wakati wa kuzaliwa lakini Jacob hawajasema possibly walichekecha, wajihi Wana wa Jacob walikua Brown au chocolate not whites, Ingia chatgpt utapata uhalisia
 
Benjamin ni jina la Kiyahudi linalotumika Ulaya hadi na nyie wamatumbi.
Hata huelewi ninachojaribu kusema na Wala hujaelewa kwanini Benjamin Netanyahu hatumii tena Ubini wa Miliekowsky. Ni kawaida Kwao ku hebraized majina pindi walivyofanya hizo migration.

Unakurupuka sana Mzee.
 
Soma book of deutoromy Jacob na nduguye Easau, Esau alielezwa kuwa alikuaje wakati wa kuzaliwa lakini Jacob hawajasema possibly walichekecha, wajihi Wana wa Jacob walikua Brown au chocolate not whites, Ingia chatgpt utapata uhalisia
Hizo ni hadidhi za alinacha tu
 
Ni wale wale ambao ni Uzao wa Ibrahimu,Isaka na Yakobo (Israel).
Ukisoma Biblia kwa makini utaona hilo siyo swala la kuuliza.
Kwa kifupi:
Ni Taifa lilioundwa zaidi ya miaka 3000 iliyopita likiwa Misri.
Limekuwepo hata wakati wa Yesu alipokuwa hapa duniani.
Baada ya Yesu kuondoka mnamo mwaka 70 AD Taifa lilivamiwa na Warumi na kutawanyika Mataifa mbali mbali duniani.
Mwaka 1948 Taifa hilo lilirudi katika mipaka yake,na mpaka leo ni zaidi ya Miaka 70 Taifa hilo lipo na litaendelea kuwepo daima.
USIPOIPENDA ISRAEL MUNGU ANAIPENDA KAMA ANAVYOYAPENDA MATAIFA MENGINE!
 
Mpinga kristo ni allah na Muhamad ni Mtume wake.
Hakuna na Nabii wala mtume aliwai mpinga Mungu na mitume isipokuwa Muhamad.
Sitaki nikupeleke mbali. Fungua chatGPT iulize uislam unamzungumzia vipi yesu na uyahudi unamzungumzia vipi yesu. Baada ya hapo tafuta kitabu cha wazionist kinaitwa Talmud halafu urudi hapa jf kufuta utumbo wako
 
Ukisoma historia ya waisrael, ni waarabu wenye dini tofauti baina yao na waarabu wenzao ambao ni waislam nao wayahudi. Ila ukaingalia wengi wanaojiita waisrael kama akina Netanyahu, unagundua kuwa ni wazungu tu waliotoka huko kwao na kuja kujifanya wayahudi. Je ndiyo maana wazungu wenzao wanawapa umuhimu ili kuendelea kuwatisha, kuwaumiza, na kuwaibia waarabu hasa ikizingatiwa wana utarjiri wa mafuta?
Sio kweli wayahud kutokana na historia ya kutawaliwa na tawala tofauti tofauti wapo kila race. Wapo wazungu, waarabu, wairan, wairaq, wa Azerbaijan, wa Ethiopia, wahindi, wa Afghan, nk nk. So race zote zipo na ndio wanaosaidia hawa jamaa kwenye ujasusi wanafanikiwa mapema.
 
Back
Top Bottom