Israel yaachia video mpya inayomuonesha Yahya Sinwar kwenye moments zake za mwisho akiwa ameumia na anajificha kwenye makochi!

KWANZA: Sihataji kujifunza lugha ya kigeni ili kung'amua uongo.
umeongopa,na baada ya kuwa cornered dhidi ya uongo wako, unataka kubadili story.
itabidi urudi kwenye post yako ya kwanza uihariri iendane na maelezo yako ya sasa,maana maelezo yako ya hawali unataka kuyaruka.

Jambo la zaidi ni kwamba: israel haipaswi ku- compromise Ulinzi wake kwa presha ya US.

Muhanga wa Ugaidi wa Hamas na Hezbollah ni Israel wakati pentagon kumetulia, tuli.hakuna hata Drone ye Hezbollah inayonusa hapo.
Israel ishikilie hapo hapo.
 
There is no such thing as HANA CHA KUPOTEZA.
 
Mateka wakiokolewa vita inakuwa haina umuhimu.Kama.Israel anaweza akajua viongozi wa Hamas na Hizbullah walipo,unadhani hajui mateka wako wapi?
Akishawaokoa mateka vita inakosa relevancy
Haki ya Mungu huyo mchungaji wenu kiboko ya wachawi amewaharibu bongo zenu.

Yaani Israel aache mateka wengine wanauliwa na wengine kuteseka kwasababu aendelee na vita?😂😂

Yaani Netanyahu kiti hakikaliki Waisrael wanataka mateka warudishwe nyumbani wakiwa hai halafu wewe upo na jembe lako la mkono huko Machumu unasema hana shida na mateka? Ridiculous.
 
Huu ukweli kama jamaa hatakuelewa basi akili atakuwa amezikabidhi kwa mchungaji kiboko ya wachawi.

Israel anajitutumua tu haelewi ashike lipi aache lipi.
 
Dogo aliondoka Tz 18 Sept, eti 7 Okt wanamuua. Ndio kwanza alikuwa na wiki 2 na kidogo, akiwa na matumaini tele kuwa labda maisha ndio yameanza kufunguka. Aliwakosea nini?

 
Ila hapo alipo alikuwa pesa ndeefu mfukoni, ajabu sio Dola za kimarekani, ni shekel za kiyaudi😆
 

KIBAHATI BAHATI ?we kilaza sana. So alikaa kama bwege amejianika? Au Israel walikuwa wanapita wanahesabu watu ndo wakamwona? Ndo Sheikh Kitinku kakuambia hivyo? Za kuambiwa changanya na zako usiwe kama mbayuwayu.
 
Unaandika kutumia Hizo ni filra zako finyu. Sikulaumu maana kasumba ya watoto wateule inakutia wazimu. Je wateule wao walipewa open cheque ya maovu(?) kwani kweli wachinja mitume watashindwa kuua binadamu? Wakishiba damu watapumzika kidogo tu. Hii ndiyo utawanyo wao ulivyokuwa na utarudia tena ns tena. Mara ya mwisho alikuwa mkiristo mwenzio aitwae hitler mjerumani aliwaua million sita. Nchi su dola 1030
nimekutumia clip hukutaka kujua. Sina la kubishana na mtu asiyetaka kufahamu
 
Netanyahu kasema hadi mateka warudi nyumbani ndio wataanza kufikiria namna ya kusitisha vita.

Pia kawaambia wa palestina hawatawaona hamas wakitawala Gaza tena
 
Dogo aliondoka Tz 18 Sept, eti 7 Okt wanamuua. Ndio kwanza alikuwa na wiki 2 na kidogo, akiwa na matumaini tele kuwa labda maisha ndio yameanza kufunguka. Aliwakosea nini?

View attachment 3128670
Dahh kiilanikiiiona hiipicha na ile video,,kmmk waarabu nahao magaidi wacha tu Israeli iwapelekee moto mpaka kizazi chao kitokomee chote
 
Ukumbuke ugomvi haujaanza Oktoba 7.
Ulianza Agosti 23.
Israel aache ukorofi halafu uone kama atasumbuliwa.
Hayo makombora ya Iran sahau maana akithubutu utasahau kama kuna Israel.
Iran sio mwarabu ni muajemi.
Hata Hezbollah ulikuwa unawasifia hivi hivi. Ukawa unasema hao siyo hamas, lakin angalia kinachomkuta sasa hivi.
 
Hahaha kwanini MAJINI hayasaidii viumbe wa Allah wanapopigwa hadi kuuwawa? Niliwahi siki huyu jamaa alikuwa analindwa na majini asiuwawe, yalienda likizo?
Nilijiuliza sana Hilo suala halafu nikajiuliza uwezo wa majini
 
Pia Ayatollah alipiga hesabu kwamba USA iko busy na Ukrain so Hamas watajipigia tu Israel kama ngoma.

Ayatollah mjinga sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…