let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 3,699
- 8,857
KWANZA: Sihataji kujifunza lugha ya kigeni ili kung'amua uongo.Nadhani nenda ksjifunze English, jeografia na historia kidogo Elimu haina mwisho ili utoe ujinga. Sina zaidi la kukusaidia.
Shatila na Sabra Kambi mbili za wakimbizi wa Kipalestina haziko Gaza, ziko Lebanon. Sikiliza clip hiyo vizuri. Na pia imeelezea wapiganaji wa kipalestina walikubali kuhama na Yasser Arafat kutoka Lebanon. Huo ni mwaka 1982.
Israel haisikitii ushauri wa Marekani kwa sababu wao ndio wanaikontrol na wanapata silaha za mabillioni ya fedha kuua ndo maana hawachoki. Lakini kila kitu kina mwisho. Historia itajirudia.
umeongopa,na baada ya kuwa cornered dhidi ya uongo wako, unataka kubadili story.
itabidi urudi kwenye post yako ya kwanza uihariri iendane na maelezo yako ya sasa,maana maelezo yako ya hawali unataka kuyaruka.
Jambo la zaidi ni kwamba: israel haipaswi ku- compromise Ulinzi wake kwa presha ya US.
Muhanga wa Ugaidi wa Hamas na Hezbollah ni Israel wakati pentagon kumetulia, tuli.hakuna hata Drone ye Hezbollah inayonusa hapo.
Israel ishikilie hapo hapo.