Israel yaachia video mpya inayomuonesha Yahya Sinwar kwenye moments zake za mwisho akiwa ameumia na anajificha kwenye makochi!

Israel yaachia video mpya inayomuonesha Yahya Sinwar kwenye moments zake za mwisho akiwa ameumia na anajificha kwenye makochi!

Nadhani nenda ksjifunze English, jeografia na historia kidogo Elimu haina mwisho ili utoe ujinga. Sina zaidi la kukusaidia.
Shatila na Sabra Kambi mbili za wakimbizi wa Kipalestina haziko Gaza, ziko Lebanon. Sikiliza clip hiyo vizuri. Na pia imeelezea wapiganaji wa kipalestina walikubali kuhama na Yasser Arafat kutoka Lebanon. Huo ni mwaka 1982.
Israel haisikitii ushauri wa Marekani kwa sababu wao ndio wanaikontrol na wanapata silaha za mabillioni ya fedha kuua ndo maana hawachoki. Lakini kila kitu kina mwisho. Historia itajirudia.
KWANZA: Sihataji kujifunza lugha ya kigeni ili kung'amua uongo.
umeongopa,na baada ya kuwa cornered dhidi ya uongo wako, unataka kubadili story.
itabidi urudi kwenye post yako ya kwanza uihariri iendane na maelezo yako ya sasa,maana maelezo yako ya hawali unataka kuyaruka.

Jambo la zaidi ni kwamba: israel haipaswi ku- compromise Ulinzi wake kwa presha ya US.

Muhanga wa Ugaidi wa Hamas na Hezbollah ni Israel wakati pentagon kumetulia, tuli.hakuna hata Drone ye Hezbollah inayonusa hapo.
Israel ishikilie hapo hapo.
 
Usichokifahamu mkuu waisrael wanaumia kama wanavyoumia waarabu.
Hivi unadhani jeshi kupata askari takriban elfu sabini walemavu wa viungo wa kudumu na elfu kumi na mbili walemavu wa akili wa kudumu ni jambo dogo!?
Wiki iliyopita tu Israel kapoteza askari 300 katika mapigano na Hizbollah.
Bandari ya Eilat haifanyi kazi kwasababu ya mashambulizi ya Houthi pale Red sea.
Meli moja imetekwa zingine zinazopeleka mizigo zinalipuliwa.
Takriban wayahudi laki tano wamekimbia nchi na hawajui kama watarudi.
Jumuiya nyingi za kimataifa zimeanza kuikana na kuitenga Israel.
Mataifa kama Uhispania,Ubelgiji,Ireland,Brazil n.k n.k zote hizo zimevunja uhusiano na Israel.
Imefikia hatua hadi Netanyahu kikao cha mwisho cha UNGA wajumbe wamesimama na kumsusia kikao akihutubia.
Raia hawakai kwa amani, kaskazini wamekimbia makazi na kuja kanda ya kati ya Israel,na haijulikani kama watarudi katika hayo makazi.
Asilimia kubwa ya wayahudi jamii ya Orthodox wanahama hadi sasa nchini Israel kwa kulazimishwa kuingia jeshini na IDF ilhali ni kinyume na miiko ya dini.
Israel imeshafunga makampuni na biashara nyingi tu hadi sasa,kinachomuokoa ni misaada ya kifedha isiyo na masharti kutoka USA,UK na Ujerumani.
Ila kama ingekua ni nchi inayosimama yenyewe basi ingekua ina hali ngumu sana.

Israel ni miaka mingi amekataa suluhu ya kidiplomasia yenye ameendekeza ubabe mashariki ya kati yote.
Ila sasa hivi amepata hasara kubwa na asipoangalia atapata anguko.
Maana anapigana na waarabu ambao HAWANA CHA KUPOTEZA.
There is no such thing as HANA CHA KUPOTEZA.
 
Mateka wakiokolewa vita inakuwa haina umuhimu.Kama.Israel anaweza akajua viongozi wa Hamas na Hizbullah walipo,unadhani hajui mateka wako wapi?
Akishawaokoa mateka vita inakosa relevancy
Haki ya Mungu huyo mchungaji wenu kiboko ya wachawi amewaharibu bongo zenu.

Yaani Israel aache mateka wengine wanauliwa na wengine kuteseka kwasababu aendelee na vita?😂😂

Yaani Netanyahu kiti hakikaliki Waisrael wanataka mateka warudishwe nyumbani wakiwa hai halafu wewe upo na jembe lako la mkono huko Machumu unasema hana shida na mateka? Ridiculous.
 
Usichokifahamu mkuu waisrael wanaumia kama wanavyoumia waarabu.
Hivi unadhani jeshi kupata askari takriban elfu sabini walemavu wa viungo wa kudumu na elfu kumi na mbili walemavu wa akili wa kudumu ni jambo dogo!?
Wiki iliyopita tu Israel kapoteza askari 300 katika mapigano na Hizbollah.
Bandari ya Eilat haifanyi kazi kwasababu ya mashambulizi ya Houthi pale Red sea.
Meli moja imetekwa zingine zinazopeleka mizigo zinalipuliwa.
Takriban wayahudi laki tano wamekimbia nchi na hawajui kama watarudi.
Jumuiya nyingi za kimataifa zimeanza kuikana na kuitenga Israel.
Mataifa kama Uhispania,Ubelgiji,Ireland,Brazil n.k n.k zote hizo zimevunja uhusiano na Israel.
Imefikia hatua hadi Netanyahu kikao cha mwisho cha UNGA wajumbe wamesimama na kumsusia kikao akihutubia.
Raia hawakai kwa amani, kaskazini wamekimbia makazi na kuja kanda ya kati ya Israel,na haijulikani kama watarudi katika hayo makazi.
Asilimia kubwa ya wayahudi jamii ya Orthodox wanahama hadi sasa nchini Israel kwa kulazimishwa kuingia jeshini na IDF ilhali ni kinyume na miiko ya dini.
Israel imeshafunga makampuni na biashara nyingi tu hadi sasa,kinachomuokoa ni misaada ya kifedha isiyo na masharti kutoka USA,UK na Ujerumani.
Ila kama ingekua ni nchi inayosimama yenyewe basi ingekua ina hali ngumu sana.

Israel ni miaka mingi amekataa suluhu ya kidiplomasia yenye ameendekeza ubabe mashariki ya kati yote.
Ila sasa hivi amepata hasara kubwa na asipoangalia atapata anguko.
Maana anapigana na waarabu ambao HAWANA CHA KUPOTEZA.
Huu ukweli kama jamaa hatakuelewa basi akili atakuwa amezikabidhi kwa mchungaji kiboko ya wachawi.

Israel anajitutumua tu haelewi ashike lipi aache lipi.
 
Kweli ni kitendo cha kuhuzunisha mno ukizingatia kwamba Yule kijana Mollel alikuwa hajui hili wala lile ya kinachoendelea tukio husika na maskini ya Mungu, dogo alikuwa hajui lugha ya Kiarabu halafu hata kwa rangi ni mtu mweusi tii- Hafanani rangi na Myahudi.
Sasa hao makatili bila ya huruma au kutumia akili au ubinadamu tu hawakuona hayo mambo na kumchunguza kwa undani -hata basi walau wangemchukua mateka kwa mahojiano zaidi; bali Makatili hao waliona matumizi ya kabali, kumkanyagia chini na kisu ndo kunamfaa zaidi na wakamwua. Shame upon them.
Inapendeza sana na tunapata faraja kitulizo cha roho tunapomwona Myahudi(IDF) akiwasigina na kuwachambua kama karanga.
Dogo aliondoka Tz 18 Sept, eti 7 Okt wanamuua. Ndio kwanza alikuwa na wiki 2 na kidogo, akiwa na matumaini tele kuwa labda maisha ndio yameanza kufunguka. Aliwakosea nini?

Screenshot_20241018_143652.jpg
 
Ila hapo alipo alikuwa pesa ndeefu mfukoni, ajabu sio Dola za kimarekani, ni shekel za kiyaudi😆
 
We ndio unadhani vile sababu akili zako haziko sawa. Israel yenyewe ina Kiri huyo ni shujaa na kwa kibahati bahati ndio wamemkuta pale, wala hawakutegemea atakuwa anapigana vita. Siku zote Israel anasema Sinwar yuko chini ya ardhi kumbe mwamba alikuwa ndio kwenye frontline. Kingine wanasema ni kifaru kilipiga ile sehemu, ndio kwa bahati mbaya kikapiga kichwa chake lakini mpaa mda wa mwisho aliweza kuwarushia boom na kuwauwa askari wa Israel.

We kapime akili zako endelea kuamini ujinga wako.

View: https://youtu.be/etchDrOG7Rc?si=IVwGqgBBdgQ8dbv0

KIBAHATI BAHATI ?we kilaza sana. So alikaa kama bwege amejianika? Au Israel walikuwa wanapita wanahesabu watu ndo wakamwona? Ndo Sheikh Kitinku kakuambia hivyo? Za kuambiwa changanya na zako usiwe kama mbayuwayu.
 
Mkuu; Bila kuathiri majibizano yenu hapo 👆 👆 , naomba Nanukuu: ...."Ndo maana unaamini watoto wateule waliomkanusha Yesu wakamuona kama Mwanaharamu, wanapiga mabomu kuvunja makanisa huko lebanon na Gaza hawautambui ukiristo....."!
Elewa kwamba:
1. Waliomkanusha na tena wanaomkanusha Yesu na kumuona kama Mwanaharamu (Bustard) wapo hadi leo na wataendelea kuongezeka kuwepo hapa duniani kote na ni wengi sana. Hilo sio Tatizo hata kidogo. Uwe na Amani kabisa usipate shida juu ya hilo.
Vitendo vya Kuvunja makanisa kwa kutumia mabomu, tingatinga, nyundo au kwa vyovyote vile, ingefaa ujue kwamba makanisa i.e. zile nyumba za kufanyia ibada kwa Wakristo ni nyumba kama zilivyo nyumba nyingine ila tu hizo ni nyumba maalum kwa ajili ya shughuli ya sala au kuabudia. Otherwise they are just Houses. Majengo ya Makanisa yanauzwa kama nyumba za kawaida au yanabadilishwa matumizi e.g. yanageuzwa nyumba/kumbi za starehe au za kibiashara n.k.
2. Watu au mtu Kutokuutambua Ukristo sio kitu cha kushangaza - ni kitu cha kawaida kwani kitendo cha mtu fulani kutokuutambua Ukristo au Uislam au Dini(Imani) nyingine hakufanyi Ukristo usiwepo au Uislam usiwepo. Hilo ni la kwake mwenyewe. Dini/Imani tofauti-tofauti zitaendelea kuwepo tuu. Sio lazima yy aziamini ndo zinakuwepokana kwamba yy ndo kigezo-Hapana.
Ni hayo tu. (Haya endeleeni na majibizano yenu. Samahani kwa kuwa-interfere)
Hamjawahi kuwa na shukrani kwa Taifa lolote mnaloamini ni la Kikafiri hata kama Taifa hilo litawatendeeni mema mengi.

Ndo maana tunasema Israel iendelee kutoa kipondo kikali zaidi.

Hayo mataifa mnayoona ni ndugu zenu yamewasaidia nini? Saudi Arabia yalipo Makuu ya Dini yenu imewasaidia nini hao ndugu zenu katika imani kule Palestina? Mna unafiki nyingi sana nyie maamuma.

Hata kwenye ulaji na unywaji tu mna unafiki. Mnasema pombe ni haramu ilhali Allah wenu amewaahidi mito ya pombe huko peponi. Si mnywe tu mkiwa duniani tujue moja? Hovyo kabisa hii dini.
Unaandika kutumia Hizo ni filra zako finyu. Sikulaumu maana kasumba ya watoto wateule inakutia wazimu. Je wateule wao walipewa open cheque ya maovu(?) kwani kweli wachinja mitume watashindwa kuua binadamu? Wakishiba damu watapumzika kidogo tu. Hii ndiyo utawanyo wao ulivyokuwa na utarudia tena ns tena. Mara ya mwisho alikuwa mkiristo mwenzio aitwae hitler mjerumani aliwaua million sita. Nchi su dola 1030
KWANZA: Sihataji kujifunza lugha ya kigeni ili kung'amua uongo.
umeongopa,na baada ya kuwa cornered dhidi ya uongo wako, unataka kubadili story.
itabidi urudi kwenye post yako ya kwanza uihariri iendane na maelezo yako ya sasa,maana maelezo yako ya hawali unataka kuyaruka.

Jambo la zaidi ni kwamba: israel haipaswi ku- compromise Ulinzi wake kwa presha ya US.

Muhanga wa Ugaidi wa Hamas na Hezbollah ni Israel wakati pentagon kumetulia, tuli.hakuna hata Drone ye Hezbollah inayonusa hapo.
Israel ishikilie hapo hapo.
nimekutumia clip hukutaka kujua. Sina la kubishana na mtu asiyetaka kufahamu
 
Dah! Anatia huruma sana.

Imetosha sasa. Nadhani kama ni somo watakuwa washalipata.

Wao [Hamas] ni non-state actors. Ni wanamgambo tu. Hawana tofauti na sungusungu.

Hawawezi kupambana na jeshi la Israel linalobebwa na Marekani, Uingereza, Ufaransa, na nchi zingine za magharibi.

Waislamu wenzao wa Misri, Saudia, na kwingineko, hawawaungi mkono vile ambavyo Israel inaungwa mkono na nchi za magharibi.

Taswira za vitoto vidogo vilivyolipuliwa na mabomu huko Gaza zinasononesha sana.

Mji wa Gaza umebaki kuwa magofu tu.

Waisraeli takribani 1,300 na ushee waliuliwa hiyo Oktoba 7, 2023.

Mpaka kufikia sasa, zaidi ya Wapalestina 40,000 wamekufa toka hii vita ianze.

Ni mpaka Wapalestina wangapi wafe ili Isael iridhike?

Wengi wa hao marehemu, si ajabu hata hawana uhusiano wowote ule na Hamas.

Enough is enough. This carnage has to end immediately.
Netanyahu kasema hadi mateka warudi nyumbani ndio wataanza kufikiria namna ya kusitisha vita.

Pia kawaambia wa palestina hawatawaona hamas wakitawala Gaza tena
 
Dogo aliondoka Tz 18 Sept, eti 7 Okt wanamuua. Ndio kwanza alikuwa na wiki 2 na kidogo, akiwa na matumaini tele kuwa labda maisha ndio yameanza kufunguka. Aliwakosea nini?

View attachment 3128670
Dahh kiilanikiiiona hiipicha na ile video,,kmmk waarabu nahao magaidi wacha tu Israeli iwapelekee moto mpaka kizazi chao kitokomee chote
 
Ukumbuke ugomvi haujaanza Oktoba 7.
Ulianza Agosti 23.
Israel aache ukorofi halafu uone kama atasumbuliwa.
Hayo makombora ya Iran sahau maana akithubutu utasahau kama kuna Israel.
Iran sio mwarabu ni muajemi.
Hata Hezbollah ulikuwa unawasifia hivi hivi. Ukawa unasema hao siyo hamas, lakin angalia kinachomkuta sasa hivi.
 
Hahaha kwanini MAJINI hayasaidii viumbe wa Allah wanapopigwa hadi kuuwawa? Niliwahi siki huyu jamaa alikuwa analindwa na majini asiuwawe, yalienda likizo?
Nilijiuliza sana Hilo suala halafu nikajiuliza uwezo wa majini
 
Ayatollah ndio aliwashauri na hii ilikuwa Israel apigwe mtungo ila Netanyau aliwashtukia mapema kwakuwa Hizbullah hakuwa na sababu ya kushambulia kama walivyofanya Hamas ndio maana alikuwa anawachokoza Israel ili ashambulie wapate sababu ya kuvamia kama wenzao lakin BIBi akaona awaache amalizane na Hamas kwanza Kisha atarudi kwao kama watakuwa bado wanaendelea kurusha rockets zao ndani ya Israel na ndio hiki tunachokishuhudia kikifanyika huko Lebanon.
Pia Ayatollah alipiga hesabu kwamba USA iko busy na Ukrain so Hamas watajipigia tu Israel kama ngoma.

Ayatollah mjinga sana.
 
Back
Top Bottom