Israel yaachia video mpya inayomuonesha Yahya Sinwar kwenye moments zake za mwisho akiwa ameumia na anajificha kwenye makochi!

Mkuu; Hizo nilizoandika sio fikra zangu finyu bali huo ndo ukweli.
1. Waorthodox na wengineo wengi hawaamini habari za Yesu.
2. Majengo ya kanisa huko Western Europe hayana watumiaji wanaosali humo na mengi yao yameuzwa au kugeuzwa matumizi. Naomba nikupe mifano ya hapa Tz labda itasaidia:
(a)Kanisa kuu la jimbo katoliki la Kondoa lililokuwa linatumika hapo mwanzoni sio hilo lililopo kwa sasa lakini jengo lile(kanisa) la zamani linatumika kwa kazi nyingine na sio kwa ajili ya sala.(b) Kanisa la jimbo Katoliki la Moshi lililopo kwa sasa sio lile la awali. Lile la mwanzoni sasa ni jengo la kibiashara.
3. Hakuna mtu awaye yeyote mwenye Open cheque au Kibali cha kutenda maovu. Ndo mana hata wale waliowachinja mitume wanahesabika ni Waliotenda maovu. Hata Hitler anahesabika alitenda maovu kwa kuwauwa Wayahudi mil 6. Hakuna anayeunga mkono Udhalimu huo.
 

Ayatolah anawaonea Wivu Magaidi wake anahisi Mabikra wazuri wazuri wote wameshachukuliwa yeye ataambulia vimbaumbau vya Ahera.

Ameshindwa kujizuia kwa wivu wa mahaba.
 
Haya uliyoyaandika hapa yote ndio matamanio yako
 
Netanyahu kasema hadi mateka warudi nyumbani ndio wataanza kufikiria namna ya kusitisha vita.

Pia kawaambia wa palestina hawatawaona hamas wakitawala Gaza tena
Kumbe ww ni mfuatiliaji mahiri wa kile kinachoendelea huko. Sasa huo ndo mtihani alotoa Neta. Wakiufaulu, Neta amesema kwa mdomo wake vita inaweza kuisha hata kesho (sikiliza clip yake). Ni ukweli HAMAS wanaelekea ukingoni kwani wachungaji wao(Viongozi mashuhuri) wote wamepigwa(neutralised) na kandoo wametawanyika. Sasa Nchi ya Palestina itasimama kama nchi huru na sio kama kundi la kigaidi.
 

Umegeukia Uinjilist tena!.
Kwa hiyo, kwa kuwa Wayahudi ni waovuo ndiyo inakuwa halali kuwasemea uongo?.

Mwenye haki yake apewe,hata kama ni shetani,mpe haki yake.
Usichukue Kuku ya mchawi kwasababu ni Mchawi.
wao kuua mitume haiwapi uhalali wa kuchukua Ardhi yao.
 

Enough is enough. Imetosha na kwa kweli, wahanga wa vita kama hizi wengi ni kwasababu wamezaliwa au imetokea pale ndio kwao.

Ujinga ujinga wa hawa watu wachache wanaodhani bunduki ina mbabe, watulie. Waje kulima au kusogoa huku na wajinga wajinga wenzao. Wanasababisha mateso yasiyohesabika kwa watu wasio na hatia
 
Hi stori yako sio sahihi kabisa imeja mihemko, sijui wa Tanzania tuna ushabiki wa kijinga sanaa........huyu jamaa aliua siku ya jtano katika majibizano ya lisasi na vikosi vya Israel nawenyewe hawakujua kama niyeye.
Kwa mujibu wa mahojiano kati ya jeshi la Israel na bbc ni kwamba.
Israel ilikuwa na taarifa za kiitelijensia juu ya mahali walipo viongozi wakuu wa Hamas, kisha wakablock njia kuu muhimu za mahandaki ya hamas waliyoyakaenga kwa zaidi ya miongo 2 iliyopita.

Baadae Sinwar alitoka kwenye handaki akapanda gholofani kwenye hiyo nyumba na kwa muda wote alikuwa anatembea kama mkimbizi.

Akiwa huko juu aliwafaytulia risasi wanajeshi wa israel, kifaru kikajibu na kusababisha hayo yaliyotokea.

Salamaleko shekh
 
Pia Ayatollah alipiga hesabu kwamba USA iko busy na Ukrain so Hamas watajipigia tu Israel kama ngoma.

Ayatollah mjinga sana.
Aisee! Halafu HAMAS nao walikuwa ni maduanzi kweli. Bila hata kujiuliza mara mbili-mbili, walipoona Ayatollah anawapa mizawadi ya AK 47 nyingi, RPG, mabomu, mafunzo n.k. vichwa vikavimba wakajitumbukizamo.
 
Aliyewashauri hawa jamaa wafanye lile shambulio la October 7 aliwaingiza chaka asee.

Mimi bado naamini kuna njia za amani za kumaliza huu mgogoro baina ya haya mataifa.
Oktoba 7 mwaka huu ama?
 
Ni uthibitisho kuwa Mungu wa Israel ni mkuu kuliko mungu wa magaidi
 
Iran inawashauri vibaya hawa wanamgambo, ila sasa itatosha vita imalizike. Lebanon nao wakatae kuingiliwa na Iran. Ni aibu sana wahuni wanaoungwa mkono na nchi nyingine wanakuwa na nguvu kuliko jeshi la nchi.
 
Dini yenu imebuniwa miaka 500 baada ya Yesu kuondoka, na kabla hajaondoka alitahadharisha kwamba kutakuja mpinga Kristo ambaye atachinja sana Wakristo, sasa hili tunalishuhudia mnavyochinja Wakristo
Imetabiriwa katika kitabu cha Daniel sikumbuki mstari lakini kuna maneno chukizo la uharibifu litajengwa mahali palipovunjwa hekalu
 
Iran inawashauri vibaya hawa wanamgambo, ila sasa itatosha vita imalizike. Lebanon nao wakatae kuingiliwa na Iran. Ni aibu sana wahuni wanaoungwa mkono na nchi nyingine wanakuwa na nguvu kuliko jeshi la nchi.
Sina uhakika kama Iran inawashauri vibaya.

Wanayo haki ya kuipigania nchi yao.

Tatizo lao hawaungwi mkono na ‘Waarabu’ wenzao.

Wangekuwa wanaungwa mkono na ‘Waarabu’ wenzao, naamini suluhisho lingekuwa limeshapatikana.
 
Ona unaanza kubwabwaja sasa kama umelishwa usembe!!
We nani kakwambia hatuna shukran!?
Mbona Spain ina uhusiano na mataifa mengi tu ya kiarabu na maisha yanaendelea vizuri.
As well as France.
Kwanini waarabu wamlalamikie USA,UK na Germany peke yake!?
Kwanini wazungu wengine hawalalamikiwi!?
Naona kama najadili na mpuuzi.
Wewe ni wapi umeona kuwa Allah amesema katuandalia pombe!?
Huo uongo ni wapi umeupata!?
Hata kama akiandaa HARAMU NA HALALI VIMETOKA KWAKE.
YEYE NDIYE MUANZILISHI WA KILA KITU.
ANGETAKA WANAUME TUZAE INGETOKEA.
Imekua Haram kwasababu Allah kasema na itakua Halali kwasababu Allah amesema.
Pia usisahau PALESTINE 90% YA MISAADA YAKE HUTOKEA QATAR NA MALAYSIA NA INDONESIA.
Hata hao Hamas anaowa fund ni mataifa ya kiarabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…