OSEFUKANY
JF-Expert Member
- Jan 16, 2011
- 2,437
- 3,896
Mkuu; Hizo nilizoandika sio fikra zangu finyu bali huo ndo ukweli.Unaandika kutumia Hizo ni filra zako finyu. Sikulaumu maana kasumba ya watoto wateule inakutia wazimu. Je wateule wao walipewa open cheque ya maovu(?) kwani kweli wachinja mitume watashindwa kuua binadamu? Wakishiba damu watapumzika kidogo tu. Hii ndiyo utawanyo wao ulivyokuwa na utarudia tena ns tena. Mara ya mwisho alikuwa mkiristo mwenzio aitwae hitler mjerumani aliwaua million sita. Nchi su dola 1030
1. Waorthodox na wengineo wengi hawaamini habari za Yesu.
2. Majengo ya kanisa huko Western Europe hayana watumiaji wanaosali humo na mengi yao yameuzwa au kugeuzwa matumizi. Naomba nikupe mifano ya hapa Tz labda itasaidia:
(a)Kanisa kuu la jimbo katoliki la Kondoa lililokuwa linatumika hapo mwanzoni sio hilo lililopo kwa sasa lakini jengo lile(kanisa) la zamani linatumika kwa kazi nyingine na sio kwa ajili ya sala.(b) Kanisa la jimbo Katoliki la Moshi lililopo kwa sasa sio lile la awali. Lile la mwanzoni sasa ni jengo la kibiashara.
3. Hakuna mtu awaye yeyote mwenye Open cheque au Kibali cha kutenda maovu. Ndo mana hata wale waliowachinja mitume wanahesabika ni Waliotenda maovu. Hata Hitler anahesabika alitenda maovu kwa kuwauwa Wayahudi mil 6. Hakuna anayeunga mkono Udhalimu huo.