Israel yaachia video mpya inayomuonesha Yahya Sinwar kwenye moments zake za mwisho akiwa ameumia na anajificha kwenye makochi!

There is no such thing as HANA CHA KUPOTEZA.
Kipo mkuu.
Tizama hatua alofikia mwarabu na myahudi je zinafanana!??
Hatua waliofikia waarabu hata ukiwavisha suicide bombs wanakubali dakika sifuri.
 
Asee ila bongo kuna watu ni wachambuzi asee😅😅

Mtu anaandika stori ya kilichotokea kwa uhakika kabisa utafkiri nae alikuwepo akati hayo mambo ya ugomvi wa vita hayajaanza kumbe ni kusoma tu mitandaoni na kuona yanayosemwa na vyombo vya habari tu 😅😅

Dah asee mko vizuri asee me acha niendelea kusoma comments tu..😎
 
Hata Mimi nakuona umejaa store za alkasusu tu. Mnadanganyana tu kuwa hiyo jamii imeibuka 1947 tu. Fatia toka wanaenda utumwani misri walitokea wapi?. Na waliporudi kutoka misri kwa farao.
Ndio maana sitaki kujadiliana na wewe kwasababu huna unalojua.
Hapa inazungumziwa jamii ya wana wa Israel sio taifa la Israel.
Hakuwahi kukuwa na taifa la Israel.
Mwaka 1920 ilikuja proposal ya kuunda taifa la kiarabu na kiyahudi UK ambaye ndiye alikua anaitawala eneo zima alikataa kuundwa kwa taifa la kiyahudi na akaendelea na Mandatory state of Palestine.
Hadi kufikia 1947 ndio resolution ikaletwa ndio akakubali kuundwa kwa taifa la kiyahudi.
Ila kulikua na jamii yao.
Bro nakuomba usini quote ngojea niku block.
 
Ila kauwawa .
 
Hata Hezbollah ulikuwa unawasifia hivi hivi. Ukawa unasema hao siyo hamas, lakin angalia kinachomkuta sasa hivi.
Hizbollah keshaua wanajeshi 300 wa IDF hadi sasa.
Na IDF inaonekana kushindwa kusonga mbele kusini mwa Lebanon.
Sasa hivi wamejificha kwenye buffer zone ya UNIFIL.
Iran ndio usiguse kabisa maana unazungumzia taifa lenye historia kubwa ya vita kuliko nchi yeyote hapo mashariki ya kati.
Nchi iliyopigana vita na nchi kamili Iraq tena ya Saddam Hussein miaka nane mfululizo bila kupumzika.
Usifananishe ni nchi iliyopigana na kundi la warusha manati Hamas mwaka mmoja tu ikapata hasara ya wanajeshi na vifaa.
 
Wadanganye wajinga wenzio,Wajerumani wapi hao wanaokimbilia Turkey ?labda hao wa Bosnia.. hebu tuambie Mehmet Scholl na Mesut Ozil waliocheza timu ya taifa ya Germany' kizazi chao kilifuata nini ujerumani km sio kufagia barabara ?
Asili ya Ozil ni TURKMENI!?
Embu kafuatilie wasanii wakubwa wa Uturuki waimbaji na waigizaji kama hawana asili ya Ujerumani.
Hata kama wamekimbilia huko je hao wajerumani waliokuja Uturuki wakapata uraia na carrier ya sanaa walifuata nini Uturuki?
Si wangebaki Ujerumani!?
Unadhani unaongea na mtu asiyejielewa hapa!?
Mpuuzi wewe.
 
Wewe tunakujua,.

Basi tufanye Israel inashindwa na Hamas huko Gaza.
 
Yasser Arafat hayupo tena, Both Waarabu na Israel watamkumbuka sana.
Yasser alikuwa kiongozi mkristo kuna mambo mengine ya ubaguzi wa kiimani hayakumgusa
 
Yasser Arafat hayupo tena, Both Waarabu na Israel watamkumbuka sana.
Yasser alikuwa kiongozi mkristo kuna mambo mengine ya ubaguzi wa kiimani hayakumgusa
 
Haya yametokea sana km history....
Acha wajifariji, lakini nani yupo ktk hasara inajulikana
 
Madhara ni makubwa sana!!

Kama wengine wanaamini kisichokweli huoni wanawekeza nguvu kwenye imani isiyosahihi!!?
Kama watu mamilion kwa mamilion wanaamini Kuran imeshuka kutoka Mbinguni, unadhani ni sahihi ?
 
Hakuna! Mpaka wafe wote tu!
 
Haijatosha wala nini! Kazi iendelee!
 
Ukumbuke ugomvi haujaanza Oktoba 7.
Ulianza Agosti 23.
Israel aache ukorofi halafu uone kama atasumbuliwa.
Hayo makombora ya Iran sahau maana akithubutu utasahau kama kuna Israel.
Iran sio mwarabu ni muajemi.
Jifariji tu we jamaa hua mnasema hivi hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…