Kipo mkuu.There is no such thing as HANA CHA KUPOTEZA.
Tizama hatua alofikia mwarabu na myahudi je zinafanana!??
Hatua waliofikia waarabu hata ukiwavisha suicide bombs wanakubali dakika sifuri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipo mkuu.There is no such thing as HANA CHA KUPOTEZA.
Ndio maana sitaki kujadiliana na wewe kwasababu huna unalojua.Hata Mimi nakuona umejaa store za alkasusu tu. Mnadanganyana tu kuwa hiyo jamii imeibuka 1947 tu. Fatia toka wanaenda utumwani misri walitokea wapi?. Na waliporudi kutoka misri kwa farao.
Ila kauwawa .Hio video imewafadhehesha US na Israel kujidai wana technology zakuona kila kitu, si ajabu hao askari watahukumiwa. Kwanini walichukua video yuko nje ya tunnels na pia yupo ana combat dress. Israel walitaka waonyeshe watu wamemuwa kwenye tunnels ili wasifie technology za US, Germany na UK zinaona kila kitu. Hio kumkuta pale tena walikuwa hata hawajui yupo pale ni aibu kwa Israel, US, UK. Germany hata hao India na France walio tuma drone zao kuspy Sinwar yuko wapi 😄
Vyombo vya habari vimeshaelezea na haya yote ya ukweli na tulishaleta ushahidi sana humu ndani.Haya uliyoyaandika hapa yote ndio matamanio yako
Hizbollah keshaua wanajeshi 300 wa IDF hadi sasa.Hata Hezbollah ulikuwa unawasifia hivi hivi. Ukawa unasema hao siyo hamas, lakin angalia kinachomkuta sasa hivi.
Asili ya Ozil ni TURKMENI!?Wadanganye wajinga wenzio,Wajerumani wapi hao wanaokimbilia Turkey ?labda hao wa Bosnia.. hebu tuambie Mehmet Scholl na Mesut Ozil waliocheza timu ya taifa ya Germany' kizazi chao kilifuata nini ujerumani km sio kufagia barabara ?
Wewe tunakujua,.Hizbollah keshaua wanajeshi 300 wa IDF hadi sasa.
Na IDF inaonekana kushindwa kusonga mbele kusini mwa Lebanon.
Sasa hivi wamejificha kwenye buffer zone ya UNIFIL.
Iran ndio usiguse kabisa maana unazungumzia taifa lenye historia kubwa ya vita kuliko nchi yeyote hapo mashariki ya kati.
Nchi iliyopigana vita na nchi kamili Iraq tena ya Saddam Hussein miaka nane mfululizo bila kupumzika.
Usifananishe ni nchi iliyopigana na kundi la warusha manati Hamas mwaka mmoja tu ikapata hasara ya wanajeshi na vifaa.
Yeah. Shari siku zote ni uharibifu.Mkuu mimi nakwepaga shari kwa gharama yeyote..
Yasser alikuwa kiongozi mkristo kuna mambo mengine ya ubaguzi wa kiimani hayakumgusaYasser Arafat hayupo tena, Both Waarabu na Israel watamkumbuka sana.
Yasser alikuwa kiongozi mkristo kuna mambo mengine ya ubaguzi wa kiimani hayakumgusaYasser Arafat hayupo tena, Both Waarabu na Israel watamkumbuka sana.
Kiongozi wa Kiarabu aliyejua kwenda vizuri na WaisraelAh nasikia jamaa alikua mpenda amani sana. Ngoja nikamsome zaidi.
Madhara ni makubwa sana!!Kwani wewe usipoamini kuna madhara gani kwa wengine ?
Kama watu mamilion kwa mamilion wanaamini Kuran imeshuka kutoka Mbinguni, unadhani ni sahihi ?Madhara ni makubwa sana!!
Kama wengine wanaamini kisichokweli huoni wanawekeza nguvu kwenye imani isiyosahihi!!?
Hakuna! Mpaka wafe wote tu!Dah! Anatia huruma sana.
Imetosha sasa. Nadhani kama ni somo watakuwa washalipata.
Wao [Hamas] ni non-state actors. Ni wanamgambo tu. Hawana tofauti na sungusungu.
Hawawezi kupambana na jeshi la Israel linalobebwa na Marekani, Uingereza, Ufaransa, na nchi zingine za magharibi.
Waislamu wenzao wa Misri, Saudia, na kwingineko, hawawaungi mkono vile ambavyo Israel inaungwa mkono na nchi za magharibi.
Taswira za vitoto vidogo vilivyolipuliwa na mabomu huko Gaza zinasononesha sana.
Mji wa Gaza umebaki kuwa magofu tu.
Waisraeli takribani 1,300 na ushee waliuliwa hiyo Oktoba 7, 2023.
Mpaka kufikia sasa, zaidi ya Wapalestina 40,000 wamekufa toka hii vita ianze.
Ni mpaka Wapalestina wangapi wafe ili Isael iridhike?
Wengi wa hao marehemu, si ajabu hata hawana uhusiano wowote ule na Hamas.
Enough is enough. This carnage has to end immediately.
Haijatosha wala nini! Kazi iendelee!Ukweli ni kwamba Israel imewanyanyasa sana Wapalestina huko Gaza.
Oktoba 7 haikutokea tu bila sababu. Huwezi kunyanyasa watu kwa muda wote huo halafu kusiwe na resistance.
Huyo Sinwar mwenyewe kazaliwa kwenye kambi ya wakimbizi ya Khan Yunis.
Maisha yake yote kayaishi chini ya manyanyaso ya Israel.
Siwalaumu Wapalestina kwa kupigania utu wao na heshima yao. Nao ni binadamu wanaostahili heshima kama ilivyo kwa binadamu wengine.
Hata wakiwaachia hao mateka, manyanyaso yataendelea tu.
Suluhisho hapo ni Israel kuacha kuwanyanyasa Wapalestina. Kuwaachia wafungwa wote wa Kipalestina. Hamas kuwaachia hao mateka.
Na kukubaliana kila mmoja awe na taifa lake lililo huru.
Imetosha sasa.
Jifariji tu we jamaa hua mnasema hivi hivi.Ukumbuke ugomvi haujaanza Oktoba 7.
Ulianza Agosti 23.
Israel aache ukorofi halafu uone kama atasumbuliwa.
Hayo makombora ya Iran sahau maana akithubutu utasahau kama kuna Israel.
Iran sio mwarabu ni muajemi.