Israel yaachia video mpya inayomuonesha Yahya Sinwar kwenye moments zake za mwisho akiwa ameumia na anajificha kwenye makochi!

Kwa hiyo walijua alipo

Hawakujua Mkuu! Ilikuwa routine Patrol tu! Ukiangalia hata kwente Satellite images BBC ni magofu tu mahali hapo! Sinwar inaonyesha katika kipindi hiki alikuwa anaishi kwenye magofu! Ambayo ni good trick, maana hakuna watu wata , pita pita maeneo kama hayo, hao askari wakaona Sinwar ( hawakumtambua) na watu wake wanahama toka jengo moja kwenda jingine, in actually sense hawakutaka kuanzisha kupigana, Askari wa Israel wakalipiga jengo hilo, Walifanya hivyo Jumatano, wakaacha, Alhamis wakaja kuangalia waone ni nani sasa walikuwepo katika jengo hilo! Ndio wakaona ni kama Sinwar!
 
Hapo mkono wa kulia ushaondoka. Yupo kwenye maumivu makali sana na haijulikani km anamiguu yote hapo.
DΓ ah af baadae wakamrushia bomu lingine ili kumsambaratisha kabisa.
Israel mtoa roho ni NYOKO!
Mtoto akililia wembe mpe

Kaupata Mkuu!...Sisi katuacgia msiba Tanzania....Joshua Mollel....

 
yaani mpigania uhuru asiye na nchi amekuwa mwiba kwa Taifa teule la Marekani??

Mwiba umekatwa! He was just a lunatic! Kapata nini sasa....Hata futi moja ya Israel hajapata.....Sana sana anafanya Wapelestina waanze moja tena....Israel imeziba Philadephi Corridor......Hii inaa maana hata mapigano yakisimama.....Hawana tena kupata Silaha na vitu vingine toka Egypt.....Israel imewabana kooni vibaya mno.....Anywa wamejitakia...

 
Ukumbuke ugomvi haujaanza Oktoba 7.
Ulianza Agosti 23.
Israel aache ukorofi halafu uone kama atasumbuliwa.
Hayo makombora ya Iran sahau maana akithubutu utasahau kama kuna Israel.
Iran sio mwarabu ni muajemi.

Are you serious Mkuu...! Kuna siku Israel itasahaulika...NBjozi za mchana kweli ni mbaya! Rudia Historia!
 

Accumen upo? Pole na msiba Mkuu.....! Anyway Sinwar anafurahia mabikira! Nasrala pia....list is endless!
 
Kweli kabisa Hamas hawana tofauti na jeshi la kinjekitile ngwale
Bange wanazovuta zinawapa confidence watapotea
 
Hamas hawana tofauti na jeshi la kinjekitile ngwale
Bange wanazovuta zinawapa confidence watapotea
 
Hadi unatia huruma.
 
Busu la shavu au kiganja au padi la uso ni la heshima na upendo.
Ila kwa mafirauni kama wewe huwa mnawaza mambo machafu tu siku zote.
Hayo mambo machafu yenyewe yameanzia huko kwenu.
 
Huyo hajapigana, kapigwa!
 
Huu ukweli kama jamaa hatakuelewa basi akili atakuwa amezikabidhi kwa mchungaji kiboko ya wachawi.

Israel anajitutumua tu haelewi ashike lipi aache lipi.
Kujifariji hakuondoi hali halisi. Mtapigwa tu!
 
Amani haiwezi kupatikana toka kwa upande mmoja tu.

Wapalestina hawajawa hivyo walivyo bila sababu.

Israel imewanyanyasa sana kwa muda mrefu.

Pande zote mbili zinawajibika katika kuleta amani.
Pande mbili zinawajibika vipi wakati umeshachukua upande wako?
 
Hio video sio Israel kachia hio ni aibu kwao walisema jamaa anajificha kumbe aliwauwa askari hapo wengi tu wa Israel kabla ya yeye kuliwa. Walitaka ajisalimishe akakataa mpaa wakamuwa na hapo alikuwa kisha umia .
Dah wavaa makobazi kazi mnayo kujitetea πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…